Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
......maelezo meeengi, Sumaye aliomba shamba la Kilimo (Agricultural) full stop. Na hakuna kitu analima.Andika arable farming and hasbandry,
Kuliama mazao na kufuga wanyama,
Alichotakiwa lukuvi kusema ,ni kumfundisha sumaye kumiliki eneo dogo tu la ardhi ,lingetosha kwa ufugaji,maana angeweza kufuga kisasa (cedentary) .unakua na eneo dogo una dril kisima cha Maji na eneo la kukuzia majani lisilozidi hekta 15 anavuna majani na kuhifadhi kwaajiri ya kiangazi.
Serkali inatakiwa itoe elimu ya kilimo cha ufugaji hadi kwa wasukuma na wamasai wanaofuga mifugo mingi isio na faida mwisho wakati wa kiangazi wanakufa au wanasababisha vita na wakulima wadogo(subsistance).
Sent using Jamii Forums mobile app