Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

Vipi huko huduma za maji namaanisha, nje ya mji maji yanapatikana kirahisi au maji ya kununua kuna sehemu Tanzania hii maji shida huwezi hata kulima kwenye backyard
 
Kwema anko...Shangazi anaendeleaje.?

Dah anko, sio mbaya karibu tena wakati mwingine usinisahau mjukuu
Mungu ni mwema tupo vizuri.
Utanishtua mtaa wa kubisha hodi, maana huwa nafikia karibu na hospitali ile ya barabara (makutano) ya kulia ukitokea Bombambili kwenda mjini
 
Vipi huko huduma za maji namaanisha, nje ya mji maji yanapatikana kirahisi au maji ya kununua kuna sehemu Tanzania hii maji shida huwezi hata kulima kwenye backyard
Songea nzima hakuna shida ya maji hujitokeza malachache mwezi wa kumi kwakuw jua kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…