Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

Songea nzima hakuna shida ya maji hujitokeza malachache mwezi wa kumi kwakuw jua kali
Swali jingine ndugu!
Hali ya ukijani ikoje Songea, je mboga na matunda ni vya kutosha huko..je ni matunda gani ni mengi sana huko, vyakula gani vinalimwa kwa wingi?
 
Swali jingine ndugu!
Hali ya ukijani ikoje Songea, je mboga na matunda ni vya kutosha huko..je ni matunda gani ni mengi sana huko, vyakula gani vinalimwa kwa wingi?
Huku ND unaongea elimu sio ule utopolo wa Uzi wako
 
Back
Top Bottom