Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

saizi wana interest ya 17 , kitu kama hicho
Times 10 equal to 170%
Utasikia eti ni reducing interest ni uongozi mtupu wanaona kama vile watu hawajui reducing interest na flat interest rates. Isipokuwa shida ndo inamfanya tu mtu kwenda kukopa hana mbadala. It's agony
 
tatizo ni hzi harakati zetu za kujitafuta
 
Mtoa mada,uyo jamaa ni wewe alafu unaonekana wewe ni mwalimu!
Kwanza unatakaiwa kujua mkopo siyo haki yako ndo maana yanaitwa maombi!
Nilifikiri labda umesema uliweka pesa wakakataa kukupa ela yako ndo ungeleta malalamiko.!
 
sawa mimi ni mwalimu, unaelewa maana ya "complete disbursed? . ndio tuanzie hapo kama ni haki ama sio haki yangu mkuu
 
Kwa jinsi ulivo mjuaji inaonekana wamekataa kukupa mkopo maana wanajua utaenda kulewea wote na malaya!
Ushaambiwa nenda ofisini au tawi lolote.
 
Complete disbursed" means that the full amount of money allocated for a specific purpose has been released and is now available to the recipient. This signifies that all conditions for the payment have been met Nilipe nisepe
 
Back
Top Bottom