Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

Walimu mmeshaanza vibweka vyenu na mikopo.Mtatusumbua vilabuni kwa mikopo yenu hadi tushike adabu zetu.
NB:Msisahau vishkwambi vyenu vilabuni au kuviwekeza mkopeshwe komoni lita mbili.
 
Acha kuharibu biashara za watu BOA hawana shida kabisa wewe utakua unavipengele
 
Utakua hupendi maisha yako, yaani loan kule inasoma disbursed ila huioni kwenye akaunti yako na bado uko kwenye mitandao unachat, badala ukeshe kwenye majengo maana hapo ni hatari itakua unapigwa
 
Utakua hupendi maisha yako, yaani loan kule inasoma disbursed ila huioni kwenye akaunti yako na bado uko kwenye mitandao unachat, badala ukeshe kwenye majengo maana hapo ni hatari itakua unapigwa
sio mm n mshikaji wangu mkuu
 
Back
Top Bottom