Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

hili ni jukwaa kubwa ,wahusika watakua wameliona hope watalifnyia kazi
 
mkuu, simu yao ya kiofisi kabisa then hawa toi ushirikiano, nikaenda kwenye instagram page yao nako wana lalamikiwa sana na wateja kuwa hawatoi loan zaidi ya 2weeks sasa. kitu ambacho ni tofauti na Nmb,crdb nk
Wewe umeamua kushupaza shingo , na hata huo mkopo ukipewa utaishia kutombea ombaomba, umeambiwa fika ofisini ni rahisi kusolve hiyo kesi ana kwa ana ila unang'ang'ana namba zao ziko Facebook mara Instagram..Bure kabisa
 
oyah chief punguza jazba!
 
ili nifundisho kwa wengine pia, maana changamoto sio za mtu mmoja. chukua tahadhari
 
Kuna access a.k.a selcom sahivi nao hawaeleweki mikopo wanatoa au hawatoi, au kuna crisis ya chini chini huko kwenye mabank hawaisemi?
 
Sio hao tu ni shida mabenki mengi hata STANBIC bank. Waombaji wanapiga simu kwa maofisa mikopo majibu ni rahisi na hakuna kinachofanyiwa kazi. Shida iko hapa
1. Mameneja wa matawi Wana mahusiano sio na maofisa mikopo ikiwemo ngono
2. Rushwa ni dalili ya usumbufu unaotokea ukikubali kutoa au kuahidi kutoa fasta mzigo unawekwa
3. Motisha ndogo kwa maofisa mikopo hatimaye kuwa na ari ndogo ya kujituma.
4.Kurizika kwa mabenki hasa ambao wana wateja watumishi kwani masharti ya mikopo inawalinda mabenki na kuwanyonya wakopaji mfano kupandisha riba wakati mkataba umeshafungwa
 
sijui mkuu, bora wajitoe kwenye loan providers list wakiona hawana bajeti ya kueleweka kuliko kusumbuana kama hvi
 
  • Thanks
Reactions: naa
Sio hao tu ni shida mabenki mengi hata STANBIC bank. Waombaji wanapiga simu kwa maofisa mikopo majibu ni rahisi na hakuna kinachofanyiwa kazi. Shida iko hapa
1. Mameneja wa matawi Wana mahusiano sio na maofisa mikopo ikiwemo ngono
2. Rushwa ni dalili ya usumbufu unaotokea ukikubali kutoa au kuahidi kutoa fasta mzigo unawekwa
3. Motisha ndogo kwa maofisa mikopo hatimaye kuwa na ari ndogo ya kujituma.
4.Kurizika kwa mabenki hasa ambao wana wateja watumishi kwani masharti ya mikopo inawalinda mabenki na kuwanyonya wakopaji mfano kupandisha riba wakati mkataba umeshafungwa
noted chief,kumbe ni kilio cha wengi!!
 
sio poah na jamaa ana kipengele balaa cha kukitoa
 
noted chief,kumbe ni kilio cha wengi!!
Mabenki yote ni ya kinyonyaji kwa watumishi na kila serikali ikiona watumishi wanafanikiwa na hiyo mikopo masharti ya kuwabana yanaongezwa. Fuatilia CRDB walianza na riba ya ngapi wakati wanajitangaza na sasa inasoma ngapi
 
Mabenki yote ni ya kinyonyaji kwa watumishi na kila serikali ikiona watumishi wanafanikiwa na hiyo mikopo masharti ya kuwabana yanaongezwa. Fuatilia CRDB walianza na riba ya ngapi wakati wanajifangaza na sasa inasoma ngapi
saizi wana interest ya 17 , kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom