Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI,
hauitaji Rocket Science kujua hilo, angalia michango mbalimbali juu ya FURSA za kujiongezea kipato ama mafanikio ama kutajirika utagundua jambo hilo.
Katika utafiti wangu usio rasmi, asilimia 70 ya comment kuhusu topic hizo huwa ni NEGATIVE, nimekuwa najiuliza ni kwanini???
Mwanafalsafa mmoja aliwai sema, namnukuu, "What you can't address, you cant arrest"
Frank Loyd Wright anasema "The thing always happens that you really believe in; and the belief in a thing makes it happen."
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][/FONT]
Hii yamaanisha nini, kwamba ukiamini kushindwa, umasikini ndivyo vitakutokea, pia usipoweza kuwa na fikra chanya kuhusu UTAJIRI, MAFANIKIO au PESA, uwezi kutajirika, uwezi pata mafanikio na uwezi pata pesa, hata Biblia yathibitisha hilo inaposema "aonavyo mtu rohoni mwake ndivyo alivyo"
Najua nitawakwaza baadhi yenu, nisameheni, lakini nimeonya kuwa USISOME kama una ALEJI na vitu hivyo.
Mbarikiwe nyote, asiye na ALEJI anitafute tupeane mawazo 0176927070, Siku Njema na Idd Njema pia.