Usiseme nitampenda Kesho

Usiseme nitampenda Kesho

ni kwel aiseeeee mkuuu! sisi binadam tuna tabia ya kuthamin kitu kisipokuwepoooo kabisaaaa
 
Thread hii ni nzuri nimeipenda sana. Kuna watu hata uwaombe msahama vipi hutasamehewa. Najua binadamu sababu ya dhambi hatuko kamili ndio maana msahama ukaja juu yetu. Tukumbuke kusamehe na kusahau kile kilichotokea, tujishushe hata kama tukidharaulika, tufanye sehemu yetu kuomba msamaha hata pale tukosewapo maana mtenda kosa anaweza kuona yukl sahihi na hivyo hawezi omba msahama. Pia kujiona kunasababisha ugumu wa kuomba msamaha, tujitahidi kujishusha, maisha ya hapa duniani ni mapito
 
andybird314

Amen rafiki....umenena vema sana dhambi ya kutojishusha inatusumbua wengi sana
 
Last edited by a moderator:
Mkandara
Hahahah...ndo mmenuniana mpaka leo lol
 
Last edited by a moderator:
Pole sana my dia,mi na my sister tulikuwa kama hivo hazipandi,but baada ya wote kuishi sehemu mbali mbali tumejikuta tukielewana mpaka now tunaelewana vizuri
 
Pole sana my dia,mi na my sister tulikuwa kama hivo hazipandi,but baada ya wote kuishi sehemu mbali mbali tumejikuta tukielewana mpaka now tunaelewana vizuri

U are lucky...mimi nilikuwa nasubiria wakati kama huo bahati mbaya haukufika
 
ujumbe mzuri

nina kaka yangu hatuko vizuri kwa muda mrefu tu

nadhani nitajishusha tu yaishe japo mie ndio nlokosewa
 
andybird314

Ebu mnisaidie kwa huyu rafiki yangu anayekwazika sana ebu nikupe story mnisaidie. Mwenza wake amekuwa mara nyingi akimuumiza moyo wakekwa maneno mengi ambayo kwa kiasi kikubwa ni ya kufikirika mfano: mara nyingi anasema aheshimiwi kwa kuwa yeye anakazi nzuri na mmewe kipato chake ni cha kushuka na kupanda nk. Hivi karibuni kamwambia kuna kitu amemfanyia ndo maana anafilisika mara kwa mara . Kwa maana nyingine yeye ana mkosi.Hivyo mumewe anaweza akawa mbali naye hata miezi sita ua mwaka then akipata shida anakuja (Baniani mbaya kiatu chake Dawa).

Juzi kanifuata anasema kwa kweli kama kumvumlia kamvumilia sana sasa imefika mwisho hawezi tena. Nimejaribu sana kumsihi arudishe moyo lkn nimeshindwa.
 
Last edited by a moderator:
Qsm waweza msaidia kwa kumwambie ajaribu kuangalia wapi anakosea na hata kama anahisi yuko sahihi ajaribu kujishusha na kuomba msamaha, msamaha na kujishusha huepusha mengi ambayo yanaweza tokea endapo msamaha hautatokea.
Hata kama anahisi haheshimiwi aombe msamaha na waongee waweke mambo yao sawa
 
Last edited by a moderator:
yaani ndugu yangu ulichoongea hapa ni sahihi kabisa tena kabisa
kuna watu hata uombe msamaha kwa kugalagala na kujipinda pinda
lakini ni wagumu kusamehe bestito yamenikuta

mm nimeomba msamaha sana hadi kujipinda na kujiradieti lakini wapi yaani
ndo kwanza naambiwa ninakuchukia sana tena sana sijui mtu ufanyeje ili
uweze patana na mshtaki wako labda maombi ndo yatasaidia maana its too much
yaani inafikia mahali hata salamu no,

maandiko yanasema jitahidi kupatana na mshtaki wako mapema kabla ya jua kuzama
lakini kwa wengine inakuwa ni tofauti kabisa bestito


andybird314
 
Last edited by a moderator:
ujumbe mzuri

nina kaka yangu hatuko vizuri kwa muda mrefu tu

nadhani nitajishusha tu yaishe japo mie ndio nlokosewa

Jishushe tu wii...ila mi kwa upande wangu nakiri kuna mambo mengi tu nlikuwa namkosea bro
 
ladyfurahia

Mtu asiyependa suluhu we muombee tu...usilazimishe kuwa nae karibu wakati ana chuki bado atazidi kukuchukia...kaa nae mbali kabisa na kama inawezekana usiwe unaonana nae kabisa ila ikitokea umeonana nae we jishushe tu msalimie asipojibu usimaindi wala nini...ipo siku atajirudi mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom