Mtu asiyependa suluhu we muombee tu...usilazimishe kuwa nae karibu wakati ana chuki bado atazidi kukuchukia...kaa nae mbali kabisa na kama inawezekana usiwe unaonana nae kabisa ila ikitokea umeonana nae we jishushe tu msalimie asipojibu usimaindi wala nini...ipo siku atajirudi mwenyewe
Ni ndugu yake atii...kwa nini asimtaje
Nashukuru nitajitahidi kwa kurudia tena kwani nilishamweleza toka awaliQsm waweza msaidia kwa kumwambie ajaribu kuangalia wapi anakosea na hata kama anahisi yuko sahihi ajaribu kujishusha na kuomba msamaha, msamaha na kujishusha huepusha mengi ambayo yanaweza tokea endapo msamaha hautatokea.
Hata kama anahisi haheshimiwi aombe msamaha na waongee waweke mambo yao sawa
ananiboa mke mwenza maana kila dakiki ntuzu ntuzu ntuzu ntuzuuuuu haaa
kwani hakuna watu wengine wa kuwataja taja si basi anitaje na mie nifurahi bestito
Mweh mweh Miss Kim vibaya hivyoo...
Seriously! I'ld rather watch them burn to death than have them live one more day....kuna mijitu inatufundisha kuwa na roho za kinyama eti, mtu hata umpende vipi hapendeki, umejitahidi kumsamehe ila they take you for a ride & toy around with your emotions, si bora wafie mbali tu,khaaaa! Some things are easier said than done, wengine tuna roho ndogo sana jamani!
Mbona nawe umemtaja hapo tena unamuita? Ngoja aje sasa msameheane ili mrudiane!ananiboa mke mwenza maana kila dakiki @ntuzu @ntuzu @ntuzu ntuzuuuuu haaa
kwani hakuna watu wengine wa kuwataja taja si basi anitaje na mie nifurahi bestito
Hahahah bas ntamwambia awe anakutaja. Usimkasirikie bwana shemeji yetu huyoo..
Mbona nawe umemtaja hapo tena unamuita? Ngoja aje sasa msameheane ili mrudiane!