Usiseme nitampenda Kesho

Usiseme nitampenda Kesho

Pole sana, ni kweli kabisa wakati ukuta,hutajua umuhimu wa kitu ni mpaka kitakapokuwa hakipo tena kwako.
 
Maisha ni mafupi sana kupoteza muda kugombana na watu...kuishi na binadamu mwenzio kwa amani haikupunguzii kitu zaidi utapata amani ndani ya moyo wako hata itapotokea mpo mbali.

Upendo ni amri kuu

Ni kweli mkuu ila muda mwingine huwa tunajitoa ufahamu...tunajifanya hatujali tukija kustuka too late aisee
 
Dah! Umenigusa maana nina tatizo la kuwa na kinyongo.
Ahsante kwa ukumbusho mamy.
 
Pole sana kwa hili na uliyoyaandika ni kweli tupu. Unaweza kudhani kwamba siku za usoni mtapata nafasi ya kukaa chini na kuongea kwa kituo ili kujenga mahusiano mazuri ukijastuka unasikia mtu hayuko tena duniani, ni ushauri mzuri nimeupenda.
 
Kweli unatamani upewe chans nyingine

Na bahati mbaya huwa hizo Chans haziji tena,mi nina kaka yangu mmoja kipindi baba yetu yuko hai alikuwa akituonya sana juu ya kuwa na tabia njema,na kiasi kikubwa sana amesumbua wazazi,basi sasa hivi amekuwa addicted moja kwa moja anakunywa pombe akilewa analia sana anayasema yote yale baba alokuwa anamuonya,anajaza watu ile mbaya,sasa tumwambia kama ndo unajuta basi muenzi kwa kubadilika lakini mpka leo maisha yake ndo yahivyo hivyo utafikir ana laana.
 
touching na ni kweli
pole kwa kumpoteza kaka
hakuna kitu kibaya kama mtu afariki and mlikuwa kwenye bad terms
Tujaribu kuishi kwa amani
Lets not take people for granted
 
umetisha umeongea ukweli mtupu hadi nakutamani nikufanye mchepuko............i like wanawake wenye brains
 
Very good thread Khantwe. ...educative indeed...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom