Usiseme nitampenda Kesho

Usiseme nitampenda Kesho

Khantwe umeongea ukweli mtupu inasikitisha, wakati mwingine tunazani tunacontrol maisha tunakuwa tunapostpone vitu vya maana kama kumpenda mtu na kumjulisha kuwa unampenda akiwa bado anapumua.
Ni vizuri kumsifia mtu akiwa hai, kumjulisha kuwa unamkubali.​
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hapa ninaweza kusema ya kuwa hii ni moja ya thread nzuri na yenye mafunzo mema! Hadi namuonea wivu Ntuzu kwa kupata mke safi! Thanks Khantwe !
 
Last edited by a moderator:
Duuh hii mim imenigusa sana binafsi mimi na dada angu tulikuwa hatuns maelewano mazuri ilifika kipindi akawa hata nikimsalimia haitiki basi namimi nikawa nachuna ila nilikuwa najisikia vibaya sana alikuwa na kinyongo kilichopitiliza halaf sasa tumezaliwa wawili tu mimi na yeye..............ila namshukuru mungu sana sasa tuko okeeey siri kubwa ni kujishusha
 
Na bahati mbaya huwa hizo Chans haziji tena,mi nina kaka yangu mmoja kipindi baba yetu yuko hai alikuwa akituonya sana juu ya kuwa na tabia njema,na kiasi kikubwa sana amesumbua wazazi,basi sasa hivi amekuwa addicted moja kwa moja anakunywa pombe akilewa analia sana anayasema yote yale baba alokuwa anamuonya,anajaza watu ile mbaya,sasa tumwambia kama ndo unajuta basi muenzi kwa kubadilika lakini mpka leo maisha yake ndo yahivyo hivyo utafikir ana laana.

Aisee everlenk inasikitisha Mungu atusamehe kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa kuondokewa na kaka yako mpendwa.

Katika maisha jifundishe kutowekeana vinyongo, hapa ni kwa yeyote au kwa wale wote wanaoependa vinyongo mana kuna watu wana vinyongo sana hawajui kusahau na kusonga mbele na maisha yao ya kila siku
 
huwa sipendi kusoma stori za kuhuzunisha sitaki tena kuhuzunika

Pole mo11... Ni vizuri ukakubali kuhuzunika siku moja ili ujifunze kwa siku zijazo
 
Mpaka hapa ninaweza kusema ya kuwa hii ni moja ya thread nzuri na yenye mafunzo mema! Hadi namuonea wivu Ntuzu kwa kupata mke safi! Thanks Khantwe !

muuza ubuyu mimi sisemi neno! Maana Khantwe Huyu anataka Kua mama mchungaji kabisa!

Khantwe Hongera sn kwa thread nzuri yenye kutujenga kwenye upendo wa kweli maana upendo wa kweli hauesabu mabaya!
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hapa ninaweza kusema ya kuwa hii ni moja ya thread nzuri na yenye mafunzo mema! Hadi namuonea wivu Ntuzu kwa kupata mke safi! Thanks Khantwe !

Hakika umenena..mimi nimesoma hii thread bila kujua nani kapost..ikabidi nirudi juu kuangalia nani kapost...very unique..sounds true without reasonable doubt. ..
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hapa ninaweza kusema ya kuwa hii ni moja ya thread nzuri na yenye mafunzo mema! Hadi namuonea wivu Ntuzu kwa kupata mke safi! Thanks Khantwe !

1 John 4:7,8,11

Beloved, let us love one another, for love is of God; and everyone who loves is born of God and knows God

He who does not love does not know God, for God is love.

Beloved, if God so loved us, we also ought to love one another.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa....nakumbuka maka 2006 kuna rafiki yangu aligombana na mpz wake.......and kabla hawajasolve tofauti zao mpz wake huyo alisafr kuelekea mwz lkn safr yao iliishia pale singida basi liliungua lote na moto......na kati ya waliofariki ni huyo mpz wake.Mpaka kesho huwa anaumia sana.
 
Khantwe umeongea ukweli mtupu inasikitisha, wakati mwingine tunazani tunacontrol maisha tunakuwa tunapostpone vitu vya maana kama kumpenda mtu na kumjulisha kuwa unampenda akiwa bado anapumua.
Ni vizuri kumsifia mtu akiwa hai, kumjulisha kuwa unamkubali.​

Kweli kabisa mkuu maana ukichelewa utakuta umeshachelewa
 
Last edited by a moderator:
Duuh hii mim imenigusa sana binafsi mimi na dada angu tulikuwa hatuns maelewano mazuri ilifika kipindi akawa hata nikimsalimia haitiki basi namimi nikawa nachuna ila nilikuwa najisikia vibaya sanaalikuwa na kinyongo kilichopitiliza halaf sasa tumezaliwa wawili tu mimi na yeye..............ila namshukuru mungu sana sasa tuko okeeey siri kubwa ni kujishusha

Hongera mkuu inapendeza sana kama watu mnakosana then mnapatana....huo ndo upendo
 
Back
Top Bottom