Usiseme nitampenda Kesho

Usiseme nitampenda Kesho

Khantwe dah! Sina la kusema ila acha nizidi kujitahidi kufanyia kazi hili swala Maana I am in that situation na braza wangu na mimi ndio nina kinyongo naye for what he did to me and what he has been doing to my parents

Ila undugu kazi jamani,uliyosema ni kweli but kuna ndugu zetu wanakera aisee. Hata ujitahidi vipi hawa badiliki,mbaya zaidi ni watu wazima lkn hawasomi alama za nyakati,aaaaaah!

Thanks kwa hii thread,imenipa nguvu ya kuhakikisha naweka mambo sawa.Sorry for your loss.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah sr bachelor unanionea bwana
Kweli tena khantwe..umetoa message moja ambayo ni nzuri na positive mno..na hapo kwenye avator katafutepicha moja ya mwanamke mrembo ambaye mnafanana, najua lazima utakuwa mrembo tu, uiweke hapo, then unasonga mbele, usiogope kutongozwa maana tukionaga avator nzuri tunapata kiwewe..
 
xfactor
Jitahidi kadri uwezavyo xfactor kinyongo hakisaidii zaidi sana utabaki na majuto maishani mwako....utabaki kusema NINGEJUA
 
Last edited by a moderator:
Kweli tena khantwe..umetoa message moja ambayo ni nzuri na positive mno..na hapo kwenye avator katafutepicha moja ya mwanamke mrembo ambaye mnafanana, najua lazima utakuwa mrembo tu, uiweke hapo, then unasonga mbele, usiogope kutongozwa maana tukionaga avator nzuri tunapata kiwewe..

Hahahaha sr bachelor mi sio mrembo kama unavyodhani ni mtu wa kawaida tu.....af hii ni avatar tu hainiwakilishi kwa chochote
 
Last edited by a moderator:
@ Khantwe huu ujumbe wako umenitonesha na umenifanya asubuhi ya leo niianze kwa fikra mpya.

Nina kumbukumbu ya mtu wangu wa karibu sana na aliyechangia kwa kiasi kikubwa kuyafanya maisha yangu ya leo kua na nafuu na yenye muelekeo. Katika harakati za kimaisha kulitokea tofauti za kifamilia zilizopelekea wanafamilia kuwa mbalimbali.
Basi wakati huo wa mtafaruku ndipo ndugu huyu alikutana na tatizo zito ambalo lilihitaji msaada wa familia, lakini kutokana na hali iliyokuwepo alishindwa kuliweka wazi jambo liliopelekea kuchelewa kupata msaada mapema. Mpaka familia ilipokuja kufahamu kinachomsibu na kuanza kuhangaika, tulikuwa tayari tumechelewa na matokeo yake tulimpoteza mtu muhimu na mpendwa wetu.
Mpaka leo kila mtu roho inamuuma kwa sababu mambo madogo madogo yalipelekea kumpoteza mpendwa wetu kwa jambo ambalo tulikuwa na uwezo wa kumsaidia.
Namuomba Mola siku zote anisamehe kwa upungufu huo na kunipa ujasiri wa kuweza kuyamaliza matatizo yote na ndugu zangu.

Samahani wanajamvi kwa maelezo marefu.
Hikma
 
Hikma

Aiseeee....am so touched tatizo tunagundua wakati mambo yameshaharibika...laiti tungeijua kesho..!
 
Last edited by a moderator:
Mh...Thanks Khantwe , ngoja nimtafute yule dada sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom