miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ueanza tabia yako ya kuwa kama kitenesi... Khantwe njooo hapa uone mwenzio anafanya nini?
Omba Mungu akuondolee hyo kitu ni mbaya sn.
Mi nilikuwa hivyo pia lkn ss Namshukuru Mungu ukiachilia na mambo yanaenda vzr
Hahahaaa....i kno, i kno...
Usinikumbushe dada yangu....anaweza kukukumbusha neno uliloongea mwaka 2006 ukabaki unashangaa
Nitafunga na kuomba mamy,yaani kwangu kitu kinaweza maliza miaka na kikasahauliwa ila mie ninacho moyoni tu!!
Ahsante.
Maisha ni mafupi sana kupoteza muda kugombana na watu...kuishi na binadamu mwenzio kwa amani haikupunguzii kitu zaidi utapata amani ndani ya moyo wako hata itapotokea mpo mbali.
Upendo ni amri kuu
miss chagga I miss you so much!
Hahahaha sr bachelor mi sio mrembo kama unavyodhani ni mtu wa kawaida tu.....af hii ni avatar tu hainiwakilishi kwa chochote