Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
- Thread starter
- #61
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa....nakumbuka maka 2006 kuna rafiki yangu aligombana na mpz wake.......and kabla hawajasolve tofauti zao mpz wake huyo alisafr kuelekea mwz lkn safr yao iliishia pale singida basi liliungua lote na moto......na kati ya waliofariki ni huyo mpz wake.Mpaka kesho huwa anaumia sana.
Uuuh so touching my Khantwe!!!
Tusiwekeane vinyongo as long as tunaweza tukakaa chini na kumaliza tofauti zetu. Na tujifunze kujishusha wakati mwingine. Mwingine hata aombwaje msamaha ni hatosamehe milele
Tupendane kadri tutakavyoweza as if leo ndo siku ya pekee tuliyonayo coz hatujui ya kesho. Ili tusije tukasema daaah angekuwepo ningejitahidi kumuonesha kuwa nampenda sana. Muoneshe kuwa unampenda sana leo hii hii.
unipende au hadi VISA yangu ya USA nikiipata ndo utaanza kuzidisha?
Hongera sana Ntuzu! Pia nimeona picha zenu za siku ya harusi yenu mlipendeza sana na mama mchungaji! Mama mchungaji ( Khantwe ) na Baba mchungaji mmetokelezea! Mojawapo mama mchungaji kaiweka kama avatar yake!muuza ubuyu mimi sisemi neno! Maana Khantwe Huyu anataka Kua mama mchungaji kabisa! Khantwe Hongera sn kwa thread nzuri yenye kutujenga kwenye upendo wa kweli maana upendo wa kweli hauesabu mabaya!