Usiseme nitampenda Kesho

Usiseme nitampenda Kesho

wala roho hainiumi kwa ajili yake kwani ninaye Tized anayenijali kuzidi yeye simhuhitaji kivile na hawezi kunimudu mie hivyo hainisumbui akili hiyo ila kinachoniboa kwako ni kutaja taja huyo nduguyo utadhani hakuwa weingine wakuwataja hapa unaniboa
Kasinde anayajua haya?
 
Last edited by a moderator:
My swty ladyfurahia nmekumiss sn ujue? Ebu njoo kwa pm nikupe ile hati ya Moyo wangu!

Unajua nakupenda sn mpnz?

sina shida naye ninaye wangu anayenijali kuzidi yeye hivyo aendelee kimpango wake
na wala simshobokei kwani hana jipya nduguyo ana mambo kale utafikiri tuko kahama hapa
yaani wewe na yeye mko jiko moja, wewe mchana kweupe unavaa raba na pekosi,
halafu umeshikilia redio mkulima na eyephone kubwaa za kurekodia studio
wewe wazivaa mchana kweupe, kama si ushamba ninini? hamna jipya nyie
au naongopa my cousin Mr Rocky ?
 
Last edited by a moderator:
hivi huyu nduguyo muuza ubuyu sijui karanga vinza ana niini namm maana kila kukicha
iwe majogoo, ya alfajiri, mchana, adhuhuri na hata jioni yeye anakuita wewe pindi mm nitiapo mguu
humu mjengoni tena anacoment kwenye kile ninachokipost hapa?

naomba umtahadhalishe mapema asiwe anakutaja taja wewe wakati nasiye tupo humu mjengoni.

nakuja huko pm bestito
My swty ladyfurahia nmekumiss sn ujue? Ebu njoo kwa pm nikupe ile hati ya Moyo wangu!

Unajua nakupenda sn mpnz?
 
Last edited by a moderator:
hivi ulikuwa hujui kuwa mm ndo mkewe wa ndoa hao wengine ni
wapambe wa nje tu wanajikaanga kisha wanajichemsha
mpaka wanatokota kuiva hawaivi wanabaki makapi tu bestito

hahahahahahhaaaaaaaaaaaa watajijuuu ndo nshampendwa mie
na Ntuzu waache walie kimpango wao kwiwkiwiiiiiiiii
aiseee Khantwe ivi kwenye list Ladyfuraha nae yupo.....
unapenda wangapi??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ladyfurahia
kumbe wewe ndo mke wa ndoa....hongera inaonekana jamaa ana mbegu bora michepuko miiingi

wera wera kizuri wale na wengi besisto
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia
Hahahahaaaaaa, usinifurahishe mie! Mtu mwenyewe bado unavaa viatu vya Roso, gauni la redimedi ukiwa umefunga na mkanda wa kipepeo kiunoni! Ushamba mwingi nywele umeseti kwa kuzichoma na kipande cha chungu kilichopashwa joto!
Ukijipakaa lipstick/shine na Joti ana unafuuu! Pole dada, make bado upo zama za mwaka 47! Ama kweli ndo maana jamaa alikuacha, hongera zake Tized walau amekusitiri!
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi uuupsi niandae katiba na time table za penzi
uzuri ang watoka kwa huby wangu Mokoyo mbegu yake ina rutuba nzurii
naogopa hii list kubwaaaaaa
Kasinde ICHANA miss chagga Honey Faith mwallu Wote hawa wangu! Ah ah! Nimekosea mwallu na Honey Faith ni dada zangu! Tatizo na wewe Mpnz wangu ICHANA mzuri sn mpk unanichanganya akili mpk nawakumba na dada ZANGU!

Cc: Mokoyo
i love Mokoyo soo much moyo wangu upo kwake sijui ntakubeba wewe kwenye kikapu au vip
 
Last edited by a moderator:
mhm ndo mie bestito kama ulikuwa hujui ndo ujue hao wengine wanajipendekeza mume wangu Ntuzu
nabaki nawashangaa na kuwaangalia wanavyojisogeza hawajui nimetoka wapi na laaziz wangu

watabaki kujisarandia kwa nje lakini hawatajimilikisha kwani yeye mahabuba kajitwalia toto la kinyamwezi bichi hahaheheheheieieeiyaaa watashaaa
kumbe wewe ndo mke wa ndoa....hongera inaonekana jamaa ana mbegu bora michepuko miiingi

wera wera kizuri wale na wengi besisto
 
Last edited by a moderator:
hivi ulikuwa hujui kuwa mm ndo mkewe wa ndoa hao wengine ni
wapambe wa nje tu wanajikaanga kisha wanajichemsha
mpaka wanatokota kuiva hawaivi wanabaki makapi tu bestito

hahahahahahhaaaaaaaaaaaa watajijuuu ndo nshampendwa mie
na Ntuzu waache walie kimpango wao kwiwkiwiiiiiiiii

Aiseee...kumbee bas sawa
 
Last edited by a moderator:
huwa nakushangaa sana mrembo kama mie hapo juu ninavyotakata ukanifananisha na wale wa kwenu bariadi
utajiju

wewe mwambie nduguyo Ntuzu kanipendea ninii mpaka hataki kuniacha, anakwenda nje lakini akifika ndani anatulia kama barafu la mtungini likilowekwa maji, mtoto ninajituma kunako shwari, mtoto najiweka sawia hahahahahahhaaaaaa sitaki nikupe stimu bure hapa ukajigonga kwangu bure mke wa mtu mie atiiiii

utabaki unashaaaaa macho yamekutoka kama pima la michelini utaniweza mie hahahahayheheyeiya
utaishia kunusa wala kulamba huwezi hebu jisogeze kule utaniweza mwali wa pwani mie

Back
Top Bottom