inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
Ni lazima uingize mtu unayemjua,Kama ana sifa kuliko asiyejilikana,japo asiyejilikana akionekana ana potential hufuatiliwa Sana kabla hajaingizwaAkiingia mmja hata ndugu yake unamkuta na Kama jamaa wa mabaka na ukurya
Hii ni kweli ndugu?Mbona huwa zinatangazwa kwenye magroup ya uvisisiemu ya watu special tu
Hii kanuni unaiweka wewe. Lakini mwanzisha thread hakuweka kanuni hiyo. Yeye ameshauri tuige jambo zuri. Au umeona popote alipoandika tuige kila kitu? Jaribu kusoma kwa ufahamu.Wabongo nyokko sana
Kwakuwa Wamarekani wanahalalisha ushoga basi inatulazimu nasi tuige
Mkinitukana Chawa wangu hawatawaacha...
JWTZNilichogundua mimi ni kuwa,hakuna taasisi hata moja inayofanya kazi kiufasaha .zote zinapuyanga tu.
Una weledi au ujuzi gani muhimu unaohitajika sana katika ujasusi?Babu yangu aliniambia kuwa usalama wa Taifa ni sisi ambao tukipata taarifa tunapeleka polisi kwa hatua zaidi, maake mi mwenyewe huwa natafuta sana hilo chaka lakin mpaka leo sijafanikiwa, mwishoe umri wangu umezidi 30 sasa naendesha bajaji tu hapa mbezi mwisho.
Labda kutongoza.nafurahisha genge tu isichukuliwe siriazi.Una weledi au ujuzi gani muhimu unaohitajika sana katika ujasusi?
Ungepewa kazi usalama ungekuwa mzuri katika kitu gani?
Najua TISS lazma wafanye recruitment halafu waweke pandikizi sehemu mbalimbali lakini nilikuwa namjibu Davinci alichokisema kuhusu UVCCM kupewa privileges kwenye sekta baadhi na hili lipo wazi kiasiTISS haichukui uvccm Ila TISS ina-recruit vijana Kisha kuwaingiza(baadhi) uvccm..na si kwamba wapo uvccm tu hata upinzani
Ukiona uvccm kapewa privilege,ni aidha TISS au ana mtandao,nilikua Dom kitaaluma 2005, stationary pale jamaa alikua hatoi kopi bila kuisoma document,nikamdhihaki 'au siyo,kila kinachopita tukijue' ..akacheka,yule informer,so Kuna kazi inabidi wapewe wao ili taarifa zisitupiteNajua TISS lazma wafanye recruitment halafu waweke pandikizi sehemu mbalimbali lakini nilikuwa namjibu Davinci alichokisema kuhusu UVCCM kupewa privileges kwenye sekta baadhi na hili lipo wazi kiasi
Niliwahi kusikia kuwa huko wanachukuliwa wenye IQ kubwa, hivyo wanasort watu kimyakimya, hawatangazi nafasi kama ilivyo kada zingine!Kwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149
Unaweza weka sawa mkuu maana najua FBI ni criminal investigation department katika ngazi ya federal government kule marekaniMkuu mbona Kama umechanganya Kati ya FBI na CIA au Mimi ndio sijakuelewa.
Kinachonishangaza tu ni kwa nini Taifa linaibiwa mali na fedha za umma wakati mnasema wako kila mahali sasa usalama wao ni wa namna gani? Rasilimali na fedha za umma kila siku zinaibiwa.-Wenye nchi ni WA Tanzania wote
- TISS ndio engine ya nchi, kasome sheria ya Tiss utaelewa, hao ndio wenye taarifa zote za nchi, na ndio maana Hata CAG huwa hakagui TISS na Ikulu, làkini CAG anakagua hadi Jwtz na kutoa remarks as to whether kuna hati safi,chafu au yenye mashaka.
-
-kazi ya usalama WA taifa ni kukusanya taarifa mbali mbali i.e za aina zote, Kwa njia ya uchunguzi/upelelezi halafu wanashauri tu Wenye mamlaka like president, ministers etc, usalama wa taifa hawana Mamlaka ya utekelezaji wa sheria mfano kukamata mtu au kukamata muhalifu yoyote yule yaani usalama wa taifa hata wakijua Kuna wizi WA nyara na madini hawaruhusiwi kukamata wao kazi Yao ni uchunguzi, upelelezi na kushauri Wenye mamlaka tuKinachonishangaza tu ni kwa nini Taifa linaibiwa mali na fedha za umma wakati mnasema wako kila mahali sasa usalama wao ni wa namna gani? Rasilimali na fedha za umma kila siku zinaibiwa.
Mkuu umesema pia kuwa wao hata CAG hagusi pua kukagua. Inawezekana kutomana na unyeti wake lakini sio kwamna hilo ndio chaka la ulaji wa Rais aliyeko madarakani?🤣🤣
Huoni kama kada unakua unamjua kuliko kuokoteza mtu mtaani. Teknolojia yetu ya kuwamonitor watu iko chini compared to hao CIA. Wakiruhusu watu kuomba kazi na kufanyiwa usaili etc huoni kama usalama wa taifa utaweza kuwa compromised na watu wasio na nia njema. Bora shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua. Anaweza akapandikizwa mtu huko akaja kuwa na influence ya ajabu akavuruga.
Hadi leo marekani wanapambana na wasaliti ndani ya system. Kama hufatilii historia basi angalia angalia hata movie zao tu. Acha waweke hao makada na uvccm sijui watu wanaowajua kwasababu wanawajua uwezo wao, vetting inakua imefanyika haswa. Wanajua hadi kijiji ulichotoka. Cha msingi si nchi iko salama? Mi na wewe tuendelee kubanana kwenye kujitafuta kimaendeleo mengine tusitafute lawama.
Trash Kama kichwa chako
Ni sawa na lile fungu lisilokaguliwa na SII..EI..JII..Sijui kuhusu tiss lakini kwa Tanzania mambo yanayowekwa kuwa siri ujue kuna Upigaji mkubwa ndani yake.
Asante kwa ufafanuzi Mkuu.-kazi ya usalama WA taifa ni kukusanya taarifa mbali mbali i.e za aina zote, Kwa njia ya uchunguzi/upelelezi halafu wanashauri tu Wenye mamlaka like president, ministers etc, usalama wa taifa hawana Mamlaka ya utekelezaji wa sheria mfano kukamata mtu au kukamata muhalifu yoyote yule yaani usalama wa taifa hata wakijua Kuna wizi WA nyara na madini hawaruhusiwi kukamata wao kazi Yao ni uchunguzi, upelelezi na kushauri Wenye mamlaka tu
-Tatizo liko kwenye sheria ya usalama wa taifa na ujasusi
Naweza kukubaliana na wewe kiasi fulaniBabu yangu aliniambia kuwa usalama wa Taifa ni sisi ambao tukipata taarifa tunapeleka polisi kwa hatua zaidi, maake mi mwenyewe huwa natafuta sana hilo chaka lakin mpaka leo sijafanikiwa, mwishoe umri wangu umezidi 30 sasa naendesha bajaji tu hapa mbezi mwisho.