Labda tuanzishe kampeni: freeTiss
1.TISS iwe taasisi huru isiyofungamana na upande wowote....CCM ama upinzani,
2.Pawepo na sheria kali za kuzuia political institutions ( hadi rais) kuingilia TISS,
3. Wafanyakazi wa TISS wapewe kinga ya kuepuka kuwa persecuted na politicians hasa watawala
4.Pawepo na TUME ya kibunge iliyokula kiapo ya kufuatilia utendaji wa TISS..(Hii itafanyakazi kama tuna bunge la wananchi, sio la sasa)
5.Mkurugenzi mkuu wa TISS ateuliwe na Rais lakini apitishwe na Bunge
6.TISS isiwe idara chini ya ofisi ya Raisi au Ikulu:TISS iwe agency iliyoseparate kabisa..Inapokuwa idara Ikulu ni rahisi sana Rais (Mwanasiasa) kuigeuza ifanyekazi kwa mtazamo wake.
7.TISS ipewe nguvu za kuuma: Kukamata na kuweka maabusu maalumu za kwao zinazojulikana kisheria.
8.TISS isishughurike na kulinda maslahi ya watawala na kuhakikisha wanabaki madarakani, TISS ijikite katika kulinda maslahi ya TAIFA na wananchi wake wote bila kujali itikadi za kidini, kiuchumi n.k.
9.TISS itengeneze ikague na kuhakikisha mihimili mingine ya dola inatenda haki..na wawawajibishe ipasavyo wanaoenda kinyume: Mfano Polisi,Magereza
10.Madawa ya kulevya, Rushwa, Ufisadi viwe vitengo chini ya TISS. Kwa kuwa TISS itakuwa na access ya taarifa sahihi ni rahisi kushughurika na hayo masuala ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi na Taifa.
11.Sheria ipitishwe na iwe kosa kudisclose member wa TISS kwa namna yoyote ile: Kama unamjua kaa kimya tu..tunza kifuani.
12.Members wa TISS wale kiapo kizito sana cha utii kwa Taifa na wananchi na waape kulinda KATIBA ya nchi.. kwa akili zao zote, utashi wao wote, uwezo wao wote etc....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
ni kutaka tu sifa mtaani na kujiweka mazingira watu wajue ni afisa.Una weledi au ujuzi gani muhimu unaohitajika sana katika ujasusi?
Ungepewa kazi usalama ungekuwa mzuri katika kitu gani?
Nitauliza maswali kwa baadhi ya point zako mkuu.Labda tuanzishe kampeni: freeTiss
1.TISS iwe taasisi huru isiyofungamana na upande wowote....CCM ama upinzani,
2.Pawepo na sheria kali za kuzuia political institutions ( hadi rais) kuingilia TISS,
3. Wafanyakazi wa TISS wapewe kinga ya kuepuka kuwa persecuted na politicians hasa watawala
4.Pawepo na TUME ya kibunge iliyokula kiapo ya kufuatilia utendaji wa TISS..(Hii itafanyakazi kama tuna bunge la wananchi, sio la sasa)
5.Mkurugenzi mkuu wa TISS ateuliwe na Rais lakini apitishwe na Bunge
6.TISS isiwe idara chini ya ofisi ya Raisi au Ikulu:TISS iwe agency iliyoseparate kabisa..Inapokuwa idara Ikulu ni rahisi sana Rais (Mwanasiasa) kuigeuza ifanyekazi kwa mtazamo wake.
7.TISS ipewe nguvu za kuuma: Kukamata na kuweka maabusu maalumu za kwao zinazojulikana kisheria.
8.TISS isishughurike na kulinda maslahi ya watawala na kuhakikisha wanabaki madarakani, TISS ijikite katika kulinda maslahi ya TAIFA na wananchi wake wote bila kujali itikadi za kidini, kiuchumi n.k.
9.TISS itengeneze ikague na kuhakikisha mihimili mingine ya dola inatenda haki..na wawawajibishe ipasavyo wanaoenda kinyume: Mfano Polisi,Magereza
10.Madawa ya kulevya, Rushwa, Ufisadi viwe vitengo chini ya TISS. Kwa kuwa TISS itakuwa na access ya taarifa sahihi ni rahisi kushughurika na hayo masuala ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi na Taifa.
11.Sheria ipitishwe na iwe kosa kudisclose member wa TISS kwa namna yoyote ile: Kama unamjua kaa kimya tu..tunza kifuani.
12.Members wa TISS wale kiapo kizito sana cha utii kwa Taifa na wananchi na waape kulinda KATIBA ya nchi.. kwa akili zao zote, utashi wao wote, uwezo wao wote etc....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sina uhakika..na kama ipo basi ni butu au ipo kwenye vitabu tu.....Hakuna kamati ya bunge inayofuatlia utendaji/inayofanya oversight TISS?
Labda sio Tanzania hii.Labda tuanzishe kampeni: freeTiss
1.TISS iwe taasisi huru isiyofungamana na upande wowote....CCM ama upinzani,
2.Pawepo na sheria kali za kuzuia political institutions ( hadi rais) kuingilia TISS,
3. Wafanyakazi wa TISS wapewe kinga ya kuepuka kuwa persecuted na politicians hasa watawala
4.Pawepo na TUME ya kibunge iliyokula kiapo ya kufuatilia utendaji wa TISS..(Hii itafanyakazi kama tuna bunge la wananchi, sio la sasa)
5.Mkurugenzi mkuu wa TISS ateuliwe na Rais lakini apitishwe na Bunge
6.TISS isiwe idara chini ya ofisi ya Raisi au Ikulu:TISS iwe agency iliyoseparate kabisa..Inapokuwa idara Ikulu ni rahisi sana Rais (Mwanasiasa) kuigeuza ifanyekazi kwa mtazamo wake.
7.TISS ipewe nguvu za kuuma: Kukamata na kuweka maabusu maalumu za kwao zinazojulikana kisheria.
8.TISS isishughurike na kulinda maslahi ya watawala na kuhakikisha wanabaki madarakani, TISS ijikite katika kulinda maslahi ya TAIFA na wananchi wake wote bila kujali itikadi za kidini, kiuchumi n.k.
9.TISS itengeneze ikague na kuhakikisha mihimili mingine ya dola inatenda haki..na wawawajibishe ipasavyo wanaoenda kinyume: Mfano Polisi,Magereza
10.Madawa ya kulevya, Rushwa, Ufisadi viwe vitengo chini ya TISS. Kwa kuwa TISS itakuwa na access ya taarifa sahihi ni rahisi kushughurika na hayo masuala ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi na Taifa.
11.Sheria ipitishwe na iwe kosa kudisclose member wa TISS kwa namna yoyote ile: Kama unamjua kaa kimya tu..tunza kifuani.
12.Members wa TISS wale kiapo kizito sana cha utii kwa Taifa na wananchi na waape kulinda KATIBA ya nchi.. kwa akili zao zote, utashi wao wote, uwezo wao wote etc....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Amini kwamba.Hii tabia watu wengi sana hata vilaza kabisa huwa wanayo, hiki sio kigezo au skill muhimu na ya kipekee kupewa kazi ya ujasusi.
Kuwa extrovert sio tiketi ya kazi/ajira ya ujasusi.
Kuna maisha marefu sana katika ujasusi baada ya kupata hizo taarifa je una uhakika unazo sifa za kuyaishi maisha hayo.?Mkuu mimi huwa nina tabia ya kujichanganya sana na watu tofautitofauti na napata taarifa nyingi sana, kwani nina iwezo mkubwa sana wa kusikiliza na kupata taarifa nyingi hasa nikiwa nakula bia zangu
We hujui?hasira zao husababisha mpaka kujidhuru dalili ya woga mkubwa.Kwamba wahehe waoga aiseeeh afu wana kaushamba ila wabongo
Nimefafanua hapo juu wanapewa malipo lakini ile siyo mishahara hata kama unaona ni mikubwa.Ajira ya kuchimba madini watu wako tayari kufa. Jeshi ni ajira na wanalipwa mishahara mizuri sana hasa Maafisa.
Asa we endelea kukaririWe hujui?hasira zao husababisha mpaka kujidhuru dalili ya woga mkubwa.
Hata hivyo dunia imebadilika, hata kuwaangusa mpaka watake.Kumbuka nimeulizwa zama za nyerere.Asa we endelea kukariri
Ndiyo mkuu.Kuna maisha marefu sana katika ujasusi baada ya kupata hizo taarifa je una uhakika unazo sifa za kuyaishi maisha hayo.?
Mkuu mbona unanikatisha tamaa sana.Hii tabia watu wengi sana hata vilaza kabisa huwa wanayo, hiki sio kigezo au skill muhimu na ya kipekee kupewa kazi ya ujasusi.
Kuwa extrovert sio tiketi ya kazi/ajira ya ujasusi.
AliingiajeRafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko.
Huwa nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe.
Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
TULIKOPI NCHI ZA COMMUNIST hata CHINA system ni kama kwetuKuna vitu vinafanywa usiri wakati hajikutakiwa kuwa vya siri, na usiri huu unaofanywa unakuta ni terget tu ya kuweka watu wao wanaowataka, na ndo maana tunapata watu wasio na weledi na wenye IQ ndogo sana kiutendaji yawezekana ni mkakati tu wa mtu. Kinachotakiwa watangaze nafasi za kazi watu waombe lakini mchakato wa kuwachukua waliokidhi vigezo ndo ufanyike kwa siri.
Tuelezee scenarioHahaha daah hawa wa tz huku juzi wameniibia pafyum yangu.nimewashusha hadhi sana!hawana tofauti na askari magereza.