NileSat
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 340
- 182
Jamaa yuko correct kiasi fulani japo kashindwa kueleza kiungwana but the truth will remain ..Students wanaotokea Form six wako very well theoretically tofauti na Diploma ambao wako nondo practically zaidi .makundi yote haya tunayahitaji kwani kwa sisi fani za engineering hapo tutagawa Watendaji(Technians) na Academics ..
Technians incase of working with equipments while Academics for the research and suggestions of best ways ..Lakini ukimkuta wa Diploma then degree halafu yupo well theoretically basi ni moto wa kuotea mbali...kinachoniumiza hawa academics hata kutengeneza electronics appliances hawawezi zaidi ya kukomaa na madesa na Lectures wao wanaowakomoa bado tunakazi ktk mfumo wa elimu