Lazaroj
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,451
- 1,051
Kusema wanaosoma diploma hawakupata alama nzuri za kuwapeleka adv hapo mi nitakukatalia labda kama hujui mambo ya techcal college hasa Dit,Must na Atc,ila kwa kesi ya udsm hilo liko wazi linajulikana toka zamanKwaiyo unahisi kutusua diploma inakupa guarantee ya kutusua degree jua wengi wanaotokea diploma huko ni uwezo mdogo failures walioshindwa kua admitted a level so wakienda vyuo vyenye mishe mishe hawatusui iyo degree unayoongelea wewe , nimesoma civil engineering udsm na hao wenye diploma aliefanikiwa kufika 4th yr ni mmoja nae kagemua kwa shida, UDSM sio friendly kabisa kwa diploma holders na inservice kutusua always inawawia vigumu sana