Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Tatizo sio F6 au F4.
Tatizo ni IQ yako ww.
Uwez ukaingia chuo certificate,diploma adi degree .ulalamike lecturer yuko fasta.
Kama uelewi achana nayo fanya mengine.
wangapi chuoni na F6 zao wanakimbizwa ile ile tu.
Au kk chuoni kwenu walikwambia uende na living certificate tu.
 
Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.


Acha uongo kama hao ulionao hapo walioanzia diploma wanatatizwa na masomo ni wao tu ila tatizo sio kutopitia advance,mimi nina rafiki zangu kibao ambao hawakutokea form six bali diploma walikuwa na mwanga wa mengi sana kuliko sie fresh from form six na wakawa msaada mkubwa sana kwetu.

Labda hao wenzio wametokea hizi Polytechnic Collage zetu ambazo kulipa ada ni graduation guarantee.
 
ukilaza ni tatizo aisee... wot da heck r u tokin about
 
Ukikua utaacha hiv ww unaenza degree umetoka form six na anaenza degree alietoka diploma na form 4 yake Nan walau ana idea ya hyo degree... Afu mwenzio unawezakuta baadhi ya masomo hasomi mwaka kwanza... Alishoma akiwa diploma..
Kwa sayansi bila A-level utalia lia sana, labda kama ulisoma additional mathematics kidooogo inaweza saidia
 
Kwa sayansi bila A-level utalia lia sana, labda kama ulisoma additional mathematics kidooogo inaweza saidia
Unazungumzia sayansi ipi
Maana technical colleges zote diploma anasoma advance mathematics
 
Unazungumzia sayansi ipi
Maana technical colleges zote diploma anasoma advance mathematics
Kuna vyuo kozi zingine watu wakitoka certificate wakiwa na distinction wanarushwa degree bila A level wanapata shida sio wote wanaijua hiyo diploma.
 
Acha kutisha watu topic gani ya form four inaingia kwa topic ya form six? Ukiwa na form six ni advantage kubwa sana hasa kwa walio soma phy/maths
Wenzako wamesoma Engineering Science Oleve ambapo kuna topic za Form Four lakini kwa shule zingine wanazikuta Form Five. Kwa mfano topic ya Angular Motion na Projectile Motion tulizisoma Form Four Engineering Science. Baada ya hapo ni Technical College kama Mbeya, DIT na Arusha unakula zako FTC(Diploma kwa sasa)

Kiuhalisia, kwa mtu ambae atakuambia Engineering ikoje, huyu wa Tech School kuja College na baadae College/University ni hodari. Ila kama mtoa mada anakusudia watu mahiri wa kukariri na kudesa, nakubaliana nae kuwa F6 wako vizuri kukariri na kudesa, ila wengi wao ni weupe kwenye kujenga hoja za kitaalam bobezi( professional Competence).

Hivyo mleta mada kama ni masomo ya kukariri na ungwini bila Logical Thinking and Reasoning, naweza kukubaliana nae. Lakini kwa masomo ambayo ni ya Professional Competence, thorough judgement, F6 atasubiri sana.

Na ndiyo maana kwa maeneo kama DIT, F6 atasoma degree miaka4 wakati yule wa Diploma ataka zake miaka3, kwani mambo mengi ya kizushi kama Worshop Technology et al atakua alishayasoma, na mara nyingi ni masomo ya kawaida sana husomwa na Fisrt Year kwa upande wa wale wanaokaa miaka4!
 
Kuna vyuo kozi zingine watu wakitoka certificate wakiwa na distinction wanarushwa degree bila A level wanapata shida sio wote wanaijua hiyo diploma.
Chuo gani kwa mfano
 
Sis kwenye shirika letu kuanzia CEO, wengi wa wakurugenzi, Managers, wakuu wa idara, Engineers wengi walitoka form IV technical schools, then chuo FTC/Diploma then University na hapa wengi vichwan ni bright tofauti na waliosoma form V&VI
Acha kudanganya watu wewe mimi nimesoma na watu wenye diploma walikua wanapata shida sana aliebahatika kumaliza ni 1 wengine walidisco 1st yr na 2nd yr
 
Acha kudanganya watu wewe mimi nimesoma na watu wenye diploma walikua wanapata shida sana aliebahatika kumaliza ni 1 wengine walidisco 1st yr na 2nd yr
Kwan diploma na A lvl zinatumika kama vigezo vya kuingilia chuoni.
Ivo vingine ni mtu mwny
 
A.LEVEL inamfaa zaizi mtu anaesomea education ili aje kua tr secondary but kwa kada zingine hamna haja ya a level kwanza ni kurefusha njia.

walimu wa secondary ambao hawajapitia a level kwao hua ni changamoto kufundisha sec japo akikomaa inawezekana
 
aisee kwel usizungumzie kitu usichokijua me nimemaliza diploma ya Civil engineering na sasa nasoma Degree na ninawakimbiza mbaya na wala cjui hiyo advance sasa sijui huyo jamaa anazungumzia kitu gan
 
Diploma in civil engineering..electronics and telecom atusue afu degree iwe shida...kivipi...??
Nyie six mnavitabia vya kitoto mkifika chuo kikuu...wakati wenzenu wanauzoefu na kazi husika..
 
Hahahahaha!
Utajuta Nan Alieku2ma Kuanzisha Hiyo Maada Maana Chuo Chenyewe Ulichopo Ni SAUT Tawi La Bukoba Na Ufaulu Wako Ni Credt Ya 2.4 Kwahiyo Endelea Kupokea Dawa Yako Maana Umeyakoroga Mwenywe!
 
Back
Top Bottom