Kuna direct entry na mature entry google zaidi kwa ufafanuzi zaidiSijui.
Ebu fafanua huo utaratibu wako
Kwaiyo unahisi kutusua diploma inakupa guarantee ya kutusua degree jua wengi wanaotokea diploma huko ni uwezo mdogo failures walioshindwa kua admitted a level so wakienda vyuo vyenye mishe mishe hawatusui iyo degree unayoongelea wewe , nimesoma civil engineering udsm na hao wenye diploma aliefanikiwa kufika 4th yr ni mmoja nae kagemua kwa shida, UDSM sio friendly kabisa kwa diploma holders na inservice kutusua always inawawia vigumu sanaDiploma in civil engineering..electronics and telecom atusue afu degree iwe shida...kivipi...??
Nyie six mnavitabia vya kitoto mkifika chuo kikuu...wakati wenzenu wanauzoefu na kazi husika..
Je huyo wa diploma dit akienda vyuo vingine anasoma miaka 3??Wenzako wamesoma Engineering Science Oleve ambapo kuna topic za Form Four lakini kwa shule zingine wanazikuta Form Five. Kwa mfano topic ya Angular Motion na Projectile Motion tulizisoma Form Four Engineering Science. Baada ya hapo ni Technical College kama Mbeya, DIT na Arusha unakula zako FTC(Diploma kwa sasa)
Kiuhalisia, kwa mtu ambae atakuambia Engineering ikoje, huyu wa Tech School kuja College na baadae College/University ni hodari. Ila kama mtoa mada anakusudia watu mahiri wa kukariri na kudesa, nakubaliana nae kuwa F6 wako vizuri kukariri na kudesa, ila wengi wao ni weupe kwenye kujenga hoja za kitaalam bobezi( professional Competence).
Hivyo mleta mada kama ni masomo ya kukariri na ungwini bila Logical Thinking and Reasoning, naweza kukubaliana nae. Lakini kwa masomo ambayo ni ya Professional Competence, thorough judgement, F6 atasubiri sana.
Na ndiyo maana kwa maeneo kama DIT, F6 atasoma degree miaka4 wakati yule wa Diploma ataka zake miaka3, kwani mambo mengi ya kizushi kama Worshop Technology et al atakua alishayasoma, na mara nyingi ni masomo ya kawaida sana husomwa na Fisrt Year kwa upande wa wale wanaokaa miaka4!

Ahahahaha Mkuu haya sasa matusi, CBE unatuonaje?njoo na F6 yako DIT uone kama ujaomba kuhamia CBE
- Nonsense!yani we kweli "Ki-pusi",Angalia usije disco maana naona bado una ideology za kushindana kuandika notes ili teacher asifute ubao!Hao Waliopitia Ordinary Diploma wameanza kufundishwa na huyo huyo lecturer ambaye wewe unamuona yuko fasta(kwa akili ya kawaida nani ambaye haelewi hapo),ukifundishwa na professor si ndo hutorudi darasani kabisa!
- Hili ni "Jukwaa la Elimu",hadithi na elfu ela ulela kapost Chit-Chat
Ebu mwambie tena pale diploma ndio huwa best studentnjoo na F6 yako DIT uone kama ujaomba kuhamia CBE
Sio kutisha watu ,jamaa anakwambia ukweli kabisa pale Dit huyo form six huwa anasoma masoma ya diploma mwaka wa kwanza na anasoma miaka 4 wakati wa diploma anasoma mitatu ,pale physics au chemistry haisaidii kitu vichwa vyeupe ni kama unaanza moja labda hesabu,pale ni namna kichwa yako inavyoelewa mambo ila sio form six ulipa daraja ganiAcha kutisha watu topic gani ya form four inaingia kwa topic ya form six? Ukiwa na form six ni advantage kubwa sana hasa kwa walio soma phy/maths
Hahhahahah wanapukutika kama majani nimeipenda hiyoKuna vyuo ndo watatesa Ila sio DIT apa ni mwisho wao wanapukutika kama majani kipindi cha kiangazi !!!
Ukibishana na watoto wa f6 tena BRN utaumia kichwa,nlisoma diploma na sasa nipo BENG 14 apa DIT so najua nachoongea ukimaliza diploma bachelor ni 3yrs badala ya 4 apa DIT,MUST,ATC labda usome diploma course nyingine then BENG usome course tofaut na ya diploma eg. Diploma ukiwa umesoma CIVIL ENGINEERING then bachelor ukasoma ELECTRICAL ENGINEERING Apo utasota miaka 4 but kama ukisoma the same course from OD to BENG then bachelor inakuwa ni miaka 3.
diploma 3yrs + BENG 3 yrs ==6yrs
f6 2yrs + BENG 4Yrs == 6yrs
so hakuna utofauti wa miaka sana sana wa diploma anakuwa na advantage ya kujua vitu vingi na kwa wajanja wanakula kitabu huku wanapiga PESA.
Certficate anasoma degree?Kuna vyuo kozi zingine watu wakitoka certificate wakiwa na distinction wanarushwa degree bila A level wanapata shida sio wote wanaijua hiyo diploma.
Hv unafahamu kuwa kuna nchi nyingi tu ambazo hazina utaratibu wa form 6 ?,
Ndio wanasoma ila kwa kufanya mtihani wa Mature,now una jina lingine akifaulu anatinga degree km kawaCertficate anasoma degree?