Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

Hadi umepost uzi huu ni wazi kuwa hujajifunza maadili. Siku ukifunzwa hakika huwezi toa maamuzi kwa kujipima wewe na huyo uliyemuona ana mapungufu. Tafuta maana ya maneno haya Fallacy of Hasty generalization.
 
Dogo nina wasiwasi na Trend ya elimu yako hujakutana na changamoto. Please jipange usijerudi home huku ulishafika chuo kikuu. Form 6 is nothing to university. That is only a shortcut. Mtu aliyepitia diploma atakupita vizuri ukiendelea kuleta huko kujiamini kwako. Ushauri tu
 
Hajui kwamba hata hao wenye Diploma kuna ambao walipita A-level pia kuna wengine kama wale waliosoma Diploma miaka ya 2005 kurudi nyuma wengi wao wana vyeti vimeshiba sema those days vyuo vilikuwa vichache ikabidi wakachukue Diploma maana siku hizi mtu ana D E E anaingia chuo kikuu wakati those days kwa marks hizo mtu wala ahangaiki kutafuta chuo kikuu
 
daaa kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.

Kama unasoma afya kakae na clinical officer mfanye MD wote uone moto wake, kama umesoma engineering
 
daaa kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.

Kama unasoma afya kakae na clinical officer mfanye MD wote uone moto wake, kama unasoma civil engineering degree kaa na mwenye diploma aliyesota barabarani miaka 5 uone moto wake! Usiropoke tu usichokijua dogo. Kuanzia chini inakupa knowledge nzuri ya professional yako! Ukitaka kulijua hilo subiri mfike mwaka kuanzia wa pili uone utakavyopelekwa.
 
Ni kweli kipusi, shule ya University kama hujapitia A.Level utatumia msuri sana.

Aagh wapi.. inategemea na kozi bana... we mi nitoke Ifunda technical School then Mbeya technical college halafu faculty of Engineering nipate shida ipi hapo..?? msikariri
 
Last edited by a moderator:
Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.

Hv unafahamu kuwa kuna nchi nyingi tu ambazo hazina utaratibu wa form 6 ?,
 
Kama unasoma afya kakae na clinical officer mfanye MD wote uone moto wake, kama unasoma civil engineering degree kaa na mwenye diploma aliyesota barabarani miaka 5 uone moto wake! Usiropoke tu usichokijua dogo. Kuanzia chini inakupa knowledge nzuri ya professional yako! Ukitaka kulijua hilo subiri mfike mwaka kuanzia wa pili uone utakavyopelekwa.

Bado hajaelimika
 
dah! kijana hiv unaota au?

hay kwa upande wa engineerings & health programmes kamwe ww advance usijilinganishe kabsa na yule wa diploma hata siku moja.Dip yupo competent zaid yako,practically.

ukitaka kujua pia advance siyo ktu disco chuo kikuu afu na mwenzio wa diploma adisco then ujiliganishe Nate
 
Mzee umegusa masilahi ya watu sasa ngoja moto ukuwakie .
 
  1. Nonsense!yani we kweli "Ki-pusi",Angalia usije disco maana naona bado una ideology za kushindana kuandika notes ili teacher asifute ubao!Hao Waliopitia Ordinary Diploma wameanza kufundishwa na huyo huyo lecturer ambaye wewe unamuona yuko fasta(kwa akili ya kawaida nani ambaye haelewi hapo),ukifundishwa na professor si ndo hutorudi darasani kabisa!
  2. Hili ni "Jukwaa la Elimu",hadithi na elfu ela ulela kapost Chit-Chat
 
Five na six hovyo kabisa,natamani ifutwe,we dogo haujielewi kabisa,unaandika upuuzi na kututia aibu kama ni mtoto wa kiume,maana umeandika ki'kike..next time usiwe unakurupuka kuanzisha uzi humu,pumbaf...
 
Mtoa mada umevurugwa... unaanzaje kumfananisha mtoto wa form six na mwanachuo wa diploma anayetafuta degree??? Haupo serious.
Kwani mkifikaga chuo hamuambiwagi muombe ushauri kwa dada na kaka zenu waliotokea diploma??
Hizo mbwembwe zako ni povu la soda utakapoanza kuwafuata wakufundishe hilo povu litashuka lenyew.
 
KWA LAANA HIZI MLIZOMPA HAPA WAKUU,
HUYU FIRST YEAR NI LAZIMA ATA_DISCO TU,
TENA SEMISTA YA KWANZA!

MAANA'KE HAKUNA NAMNA NYINGINE ZAIDI Ya YE' KU_DISCO.
 
Matokeo ya mwisho wa mwaka ya chuo kimoja cha afya mjini 'Darisalama',katika wanafunzi 7 waliodisco,5 walikuwa ni 'inservices'

Anachokizungumzia mleta mada kina ukweli upande mmoja na chenga kwa upande mwingine

Ni ukweli usiopingika kuwa katika basic sciences,wanafunzi waliotokea diploma huwa sio wazuri sana(speaking from my experience).Na hiki ndio kipindi ambacho form six huwa wanatamba

Lakini ikija kwenye applied knowledge,kama clinical practice kwenye afya,diploma huwa wapo vizuri sana
 
Back
Top Bottom