Usipohonga yakikukuta usilalamike

Usipohonga yakikukuta usilalamike

Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi
Mungu aliumba dunia siku sita ya saba akapumzika.baada ya kumuona mwanadamu(Mwanaume) ana mtu wa kufanana naye ndio akamuumba mwanamke.yaani adamu angempenda tembo au twiga leo hii tusingekuwa na hawa wanuka damu
 
Mungu aliumba dunia siku sita ya saba akapumzika.baada ya kumuona mwanadamu(Mwanaume) ana mtu wa kufanana naye ndio akamuumba mwanamke.yaani adamu angempenda tembo au twiga leo hii tusingekuwa na hawa wanuka damu

Mkuu unaposema wanuka damu unamaamisha nini....?
 
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi[/QUOTE ....hakika Mungu Mkubwa sana,ameweka wanawake wawe wengi kuliko wanaume duniani,kama wewe uko hivyo,endelea tu
 
duuhh, we noma. Unataka kutoa penzi kwa mumeo hadi atakapokuhudumia full?
Sasa mume anakupa ruhusa ya kufanya kazi ili hizo hela uziangalie tu kwenye account yako au?
Raha ya kuwa na hela ni kutumia na familia yako my dia.
Na love making haisababishwi na kupewa hela au ndio wale wale wa 'akiona hela basi pichu inaloa?'
ndoa ina misingi yake mamie, kikubwa ni heshma na mapenzi ya dhati.
Iwe wewe unakipato kikubwa au kidogo hautojali sababu happinesa yako ni kuwa na yeye sababu unampenda.
Ila kama umefata hela lazma utaisoma

Msiumize vichwa huyo ameshaonja pesa za uchangudoa
 
Hivi huyu mtoa mada hao wanaume anaowazungumzia huwaokota wapi?She can't be serious,for sure!So so greedy with ego.
 
Mtoa mada ameamua kuwa kahaba full stop..
Mungu akukosea alipoumba watu na jinsia zao sema tumekengeuka tu.
Wanyama ambao wanaishi kwa silika KE ndio mtafutaji...
Anza na Kuku jogoo akishampanda mtetea ajui watoto wanakula nini...
Wanyama jamii ya paka...majike ndio wawindaji dume ye kula na kuzalisha tu..
Ukiangalia wanyama wote wapo ivo tokea bustani ya EDEN...
Mwanamke ndio halialibu kila kitu pale alipo mpa penzi nyoka kutokana na tamaa ....
Sasa pale ndio tukaanza kutoa huduma kama adhabu lakini kuchunga familia sio responsible ya ME tokea EDEN....

Hahaaa hahaaa, inabidi nicheke kwa nguvu. ..wewe ni mvulana suruali tuuu hata ujiteteeje ptyuuu...eti mwanamke ndo mtafutaji haya weeee
 
Kuzaa hata mbuzi anazaa na pia analea na bado akili hana. Hahahahahah cna maana hyo ya sheikh khalifa

Nilie mwambia ni binadam na amezaliwa na mwanamke binadam sio mbuzi ndio maana nikamrejesha akumbuke mama yake alivyohangaika kumzaa na kumlea pamoja na udhaifu wa mwanamke , sasa sielew umekurupukia wapi, labda kama wew umezaliwa na mbuzi poa.
 
Mtu
tunaamka wote 6am
tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half
alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya
mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama
sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...!
Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana
hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for
example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye
maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa
linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu
unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za
kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa
kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio
lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa
na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo
hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona
kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na
yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...!
Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na
kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata
anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa
balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona
zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae,
ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora
ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange
Kimambi

ahaaaa umenipata hapo mwisho. ni kweli wadada wenzangu jithamini
uthaminiwe ishi utakavyo si mara flan ana mtu na mm nataka utaishia
kuzoazoa typeless.
 
Ficha upumbavu wako upate maarifa...
Hivi jamii za makabila ya kaskazini mtu ana wake watatu wote anawapa mashamba na mifugo ili walime na wamletee chakula..jamii nyingi za kiafrica mwanamke ndo analima kwa ajili ya chakula na watoto wa kiume wanachunga,unataka kuniambia nao ni sio riziki according to ure stupidity post...
Mara nyingi wanaume ni kudumisha ulinzi na management ya hiyo familia na jamii kwa ujumla
Huu ni mjadala utajifunza mengi.

Kalia hayo mjumbe Mungu alimpa Adam jukumu la kulima bustani ya Edeni na kuitunza hilo ndilo jukumu la mwanaume toka zamani hivi sasa ni vurugu tupu mwanaume anamgoja mwanamke atoke ofisini hadi saa tatu usiku ama saa nne usiku lini atampikia atamfulia nguo atamfariji mume atahudumia watoto kwa ukaribu ataangalia mambo ya nyumbani?. Mfano umeoa mbunge, pilot, ama hata polisi ama mwanajeshi ama nurse imekula kwako mjumbe. Wanaume tufikilie tuache ubushoke ati mwanamke kaacha familia kaenda kusoma India stupid ujingaa mtupu mwanaume ugonge nyani?. Ati inajisifia wewe mwanaume. Mwanamke mfungulie miradi utakayomweka karibu na familia mfano jamaa mmoja kamfungulia mkewe mradi wa kufuga kuku wa mayai home ana supply hivi sasa viwandani ukienda unamkuta home anasimamia vijana wa kazi ati unaoa mhudumu wa benki alafu unataka kumfanya ka mtoa mada anavyosema. Umeshindwa kabisa oa mwalimu tena wa shule ya kataa. Kuna jamaa kaoa standard seven ila yeye kaenda Shule balaa na tokea akiwa Shule aliapa kutokuoa mwanamke aliyesoma. Jamaa full raha hadi anabrashiwa viatu . Natamani sana kamnunulia gari uwezi amini ni standard seven ukimkuta akiendesha mkoko. Wanaume tutafute pesa tuache kulia lia.
 
Kalia hayo mjumbe Mungu alimpa Adam jukumu la kulima bustani ya Edeni na kuitunza hilo ndilo jukumu la mwanaume toka zamani hivi sasa ni vurugu tupu mwanaume anamgoja mwanamke atoke ofisini hadi saa tatu usiku ama saa nne usiku lini atampikia atamfulia nguo atamfariji mume atahudumia watoto kwa ukaribu ataangalia mambo ya nyumbani?. Mfano umeoa mbunge, pilot, ama hata polisi ama mwanajeshi ama nurse imekula kwako mjumbe. Wanaume tufikilie tuache ubushoke ati mwanamke kaacha familia kaenda kusoma India stupid ujingaa mtupu mwanaume ugonge nyani?. Ati inajisifia wewe mwanaume. Mwanamke mfungulie miradi utakayomweka karibu na familia mfano jamaa mmoja kamfungulia mkewe mradi wa kufuga kuku wa mayai home ana supply hivi sasa viwandani ukienda unamkuta home anasimamia vijana wa kazi ati unaoa mhudumu wa benki alafu unataka kumfanya ka mtoa mada anavyosema. Umeshindwa kabisa oa mwalimu tena wa shule ya kataa. Kuna jamaa kaoa standard seven ila yeye kaenda Shule balaa na tokea akiwa Shule aliapa kutokuoa mwanamke aliyesoma. Jamaa full raha hadi anabrashiwa viatu . Natamani sana kamnunulia gari uwezi amini ni standard seven ukimkuta akiendesha mkoko. Wanaume tutafute pesa tuache kulia lia.

Kama hawajaelewa na hapa basi wana lao jambo. Mkuu umemaliza yote...! Baba na mama mtaamkaje saa kumi na moja asubuh na mrud saa tatu usiku(afu usiombe kila mtu arud na mastress ya kazn kwake) na pesa ilivongumu kupatkana, migogoro mpaka bas! Wanajua sema hawatak kukubali.
 
Mkuu nime-comment kabla sijaisoma hii ya kwako nikagundua kuwa ulichokigundua kwa huyo dada ni kile ambacho nimekigundua. Hivyo nakubali kuwa huyu dada amepoteza mwelekeo wa maisha ya ndoa kwa kukosa alichodhani atakipata.
Naomba msimshambulie maana mtamuongezea matatizo ya nafsi yake bali apatiwe ushauri utakaomuweka sawa, Dada ana uchungu.

unajua kumshauri mtu ambaye tayari anamajibu ya matatizo yake ni ngumu sana. Halafu kisaikolojia Confrontation sometimes inatumika kama tiba ya mtu mwenye matatizo. Mimi naona hii njia ya kumkabili moja kwa moja bila kupepesa macho itamsaidia badala ya kumpa maneno laini laini yatakayo mfanya ajihisi yupo sahihi
 
[sema ubatafuta mwanaume Mwenye MALENGO
PESA ZINAISHA NA ZINATAFUTWA VILE VILE]

Second to non advise, you are inspirational. Nimekupenda bure.
 
Amini nakuambia vichwa vya wanawake mia moja wenye degree ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza elimu ya msingi.....

Kweli kabisa mkuu mfano lwo star tv kuna mama tena n Dr alikuwa anapigia chapuo katiba pendekezwa kwa sababu tu ya 50/50 kwa wanawake na wanaume yaan mambo mengine yooote hayaoni kama yana impact zaid ya ilo. MWANAMKE AKISOMA ELIMU DUNIA NDIO ANAONGEZA UJINGA WHILE KWA MWANAUME NI VICEVERSA
 
Nilie mwambia ni binadam na amezaliwa na mwanamke binadam sio mbuzi ndio maana nikamrejesha akumbuke mama yake alivyohangaika kumzaa na kumlea pamoja na udhaifu wa mwanamke , sasa sielew umekurupukia wapi, labda kama wew umezaliwa na mbuzi poa.

The fact is ulijisifia kuzaa et ndo uwezo wenu that is y nkasema hata wanyama wanazaa..... alfu usijisifu kukimbia sana bila ya kuanza kumsifu anayekukimbiza.... umeelewa mmwagie sifa yule anaekugalausa kwa bed had tumbo likavimba..... kwanza ww hata kuzaa cjui kama umezaa na hata kama umezaa bac baba wa mtt hautamjua
 
My ukifanikiwa kuukwepa huu ujinga kwanza Toa sadaka ya shukran kanisani/ msikitin. ni matatizo haya atiii!, Tena unakuta halipendi hata uwasaidie ndugu yako, akiona unamsaidia ndugu yako utasikia " humu ndani tuna matatizo, hela hamna wew unatoa tu" kha! hapo mtu umemtumia mdogo wako yuko shule bording kwa kwel ni tabu. mim niliwahi kumtolea uviv mjinga mmoja nikamwambia "Nuna pasuka ila wadogo zangu nitawasaidia kwasababu wazazi wao ndio wamenikuza na kunisomesha hadi nikafika hapa uliponikuta", akawa mdogo kama piriton, nikawa namuhesabia siku, siku ilipotimia aliona dunia inamwangukia mbonaa.

heeee shost mbona yote unayosema yananigusa best..hapo kwenye ndugu ndio ilikua balaa sasa hata wanafunzi tu hataki hata niwasapoti japo kidogo ukizingatia sio mimi ninaewasomesha ni ile tu madogo wanaomba tuhela tu kumi kumi au 20,,,, au unaeza kuta ndugu yangu asie na mbele wala nyuma kaniomba kahela kadogo tu mwanaume atasema mpaka basi utasikia " tena hao waliokataaga shule sio wa kuwasikiliza kabisa kipindi wanakataa walitegemea nini waache wayaone maisha,,,, yani wewe hao ndugu zako hao....haaaa hapo mimi nilisomeshwa na ndugu hapo walijinyima nyima mpaka nikafanikiwa leo hii eti nisiwasikilize ndugu puuuuuuuuuuuuuu!!!!!
 
Fedha ni kama kisu, huokoa au kuua.
Penye upendo mtajadiliana
^^

Bora hata mjadiliane ieleweke sa mtu kufoka foka tu .. mwanamke unajishusha weeee mpaka inafika wakati unachoka ndio mwanaume ni kichwa cha familia na anatakiwa kuheshimiwa na kusikilizwa pia but hata mke ana mchango mkubwa sana kwenye maendeleo yenu so ifike wakati nae asikilizwe na sio kumovercontrol kama mtoto vile ....
 
Back
Top Bottom