"baba anaonekana DON sana eeh au ulipata huu ushauri kutoka kwa mama baada ya kuachana na baba yako."
Mh!mimi ndo sijaelewa amaaa???mimi naona amenukuu.yani maneno si yake.ila kashambuliwa kavile yeye ndo kaitengeneza hyo article.japo amejitetea ila mmemcharukia kama vile yeye ndo mtunzi.
wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.
we mwanamke kuwa mvumilivu kama mama yako
BABA YAKO ALIVYOMUOA HAKUA HATA NA KITANDA LEO HII UNATAKA MWANAMME MWENYE LAMBORGIN????
utapigwa p sana utaachwa
poleee
sema ubatafuta mwanaume Mwenye MALENGO
PESA ZINAISHA NA ZINATAFUTWA VILE VILE
they fades away my dear
alafu inashangaza watu wanaotafutaga wanaume wenye hela wanapigwaga sana na kuachwa kipuuzi na watoto na mambo kama hayo
wale wanaomuomba Mungu wanapata mwenye kila kitu
WHO IS MR RIGHT???????najua unawaza mwenye pesa
unajidanganya sana my dada.
tafakari moyo wako unataka nini
we mwanamke kuwa mvumilivu kama mama yako
BABA YAKO ALIVYOMUOA HAKUA HATA NA KITANDA LEO HII UNATAKA MWANAMME MWENYE LAMBORGIN????
utapigwa p sana utaachwa
poleee
sema ubatafuta mwanaume Mwenye MALENGO
PESA ZINAISHA NA ZINATAFUTWA VILE VILE
they fades away my dear
alafu inashangaza watu wanaotafutaga wanaume wenye hela wanapigwaga sana na kuachwa kipuuzi na watoto na mambo kama hayo
wale wanaomuomba Mungu wanapata mwenye kila kitu
WHO IS MR RIGHT???????najua unawaza mwenye pesa
unajidanganya sana my dada.
tafakari moyo wako unataka nini
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi
Sio dalili huyu kesha shindwa anatafuta justification ya kushindwa kwake
Aseee,ungali mchanga mkuu.Yaani umeolewa na unataka uhongwe na mumeo.Such a freak!Naamini wenzio "wengi" wanakucheka tu.
Napenda kuhongwa mie.
Watu wanalishwa "kauli mbiu" na watu ambao hatq wao hawako tayari kuaishi wanayoyatamka.Kwa kiasi kikubwa elimu inawatia ujinga sana wanawake wa nyakati hizi badala ya kuwapanua mawazo wanakuwa wajinga.....ile dhana ya kuwa ukimwelimisha mwanamke utakuwa umeelimisha jamii nzima, imeshapoteza maana....ikiwa wanawake wasomi ndio dizaini ya mtoa mada....