Hahahaa hapana rafiki siwezi kukutusi, nisamehe mimi
Ukisoma hii thread mtoa mada ni mhusika kwenye haya.
1. Kazaliwa masikini.
2. Ameishi maisha ya kimasikini
3. Ni masikini.
4. Ni malaya.
5. Hajielewi.
6. Hatakuja olewa
Ukweli unauma eh? Haaahaah! Povu la nn, tafuta hela kijana.
Hahahaa niko very calm kwa wanaonijua wangekusaidia kukujuza, desperate na nini kaka yangu??? Bado sijafika mda wa kuwa desperate na haitokuja kutokea, Binadamu mnajitahidi sana kujipa stress,I only scratch where it itches the rest Mungu ndio anajua, mnavyoongea utadhani bila ndoa maisha ndio basi
Hio mentality ndio inawafanya wanawake wawe desperate
Nimekusamehe swahiba wangu....pia ningependa kutumia nafasi hii adimu kukutakia heri ya xmass na mwaka mpya...mungu akulinde uweze kuuona mwaka salama.......
Nimechekaje ka namuona vile na kope zake! Huuuhuuh...
Mentality hiyo hatujaidevelop sisi wanaume bali ni mpango wa mungu coz wengi tumezaliwa na kukulia kwenye familia za kidini ingawa sasa wengi wetu tumekengeuka na kuwa atheist bila kujijua wengi tumekuwa liberal.
Sasa Mara nyingi unafanya maamuz kama hayo ya kusema ndoa sio lazima wakati jamii inayokuzunguka inasema lazima.......
Kama we ni dhaifu you have no room in this conservative society.... Only strong survive.
Hahahaa Hahahaa asante umemaliza jioni yangu vizuri
Ni shiiidah my, usiku huu nimepanda noah na mkaka mmoja mtanashati sana, kituo nilichoteremka mim na yey akateremka, kumbe alikuwa anasubiriwa na binti, kitendo cha kutelemka tu dereva anataka buku yake yule jamaa kwa aibu kamwambia binti "mpe buku dereva" kha! binti akamshangaa "akamuuliza wew umekujaje ugenin bila nauli usiku huu" kwa vile mi nilikuwa nasubir chenji , bint akaniambia dada naomba dereva akate na elfu moja ya huyu nitakurudishi , nikamwambia sawa. wakati tunatembea kuelekea tuishipo jamaa kabaki nyuma mita mia 300, binti wawatu anamwita tembea basi we mgen alafu unabaki nyuma, jamaa anajibu nakuja kwa aibu sana. kwa kumaliza nikamwambia bint "hiyo buku nirushia vocha" huku moyoni nasema siwez kumlipia nauli jitu kupe linalomnyonya hadi mwanafunzi. maana bint ni mwanafunzi wa chuo anategemea boom bado kupe nae anang'ang'ana hapo hapo.
samahani utakae kwazika, we pita mbali tu.
Mmmmh brenda18 hata nauli ya buku ni nongwa jamani? What if the guy does more than that? Come to think of it broadly dada, katika mahusiano watu hawahesabu kiasi gani nampa mwenzangu coz eventually you will support each other. Anyways, kila mtu ana sababu za kuwa katika mahusiano, siku hizi huwa watu wanaingia kwa 'sababu', its not coz of nature anymore..sad!!Yani hapa watapita na walengwa utaona wameguswa wanaanza kupata tremor kama wanaepilepsy, hadi nauli nikulipie sasa si bora niwe mwenyewe, hayo mahaba nipige teke la tumbo mie nimo tu ndio siyawezi na ningekua huyo Dada ningejilipia mwenyewe tu,ana utani huyo njemba
Mmmmh brenda18 hata nauli ya buku ni nongwa jamani? What if the guy does more than that? Come to think of it broadly dada, katika mahusiano watu hawahesabu kiasi gani nampa mwenzangu coz eventually you will support each other. Anyways, kila mtu ana sababu za kuwa katika mahusiano, siku hizi huwa watu wanaingia kwa 'sababu', its not coz of nature anymore..sad!!
Brenda, kosa la nani hapo? It's your fault unadate na mtu wa hivyo. Mwanaume anayejielewa hawezi ku initiate mtoko unless ana pesa mfukoni. Labda nikuulize, ni kitu gani unaangalia kwa kidume pindi anarusha nyavu kwako?My brother kuna wanaume wa ajabu sana,pole kama some of the comments zina wageneralize wote ila kuna wakaka wa mjini ni hatarii inabidi uishi nao kwa akili, mtu hujui mshahara wake from January to December,a very smart guy na kazi nzuri tu, mtaenda sehemu after lunch mara kasahau wallet kwenye gari
Again, its simple like ABCD..kama huna kwa nini usimwambie? Kama unayo unampa tu... Lakini pia uko na mahusiano na mtu ambaye unadhani mna future, ukihisi yeye kila siku ni kuomba hela kwako kwa nini usimuulize kuhusu matumizi ya pesa yake ili ujue kwa nini anakuwa mzito kutumia kipato chake na wewe?okei sio mbaya,utapigiwa usiku bebs luku imeisha na sina kitu apa airtelmoney yako inakitu nirushie kdg na mambo kibao nikieleza hapa simalizi
Huwezi kujua, perhaps the guy's going through rough times. Tatizo ninyi mnalaumu kirahisi sana...! Kama unamjali mwenzako utamsapoti kwa vitu vidogo vidogo na wala hutajali, kama upo kulimganisha nani zaidi...utaishi maisha ya kujilaimu kila siku. Life's all about sharing & supporting each other dada.Mtu kama huyu angenioa am sure leo ningekuwa ninakilio, huo utegezi inakuaje mwanaume unapanda bila nauli na akijua mwenzie ni mwanafunzi angalau angemwambia kabla hawajapanda ili dada wa watu ajue, kiukweli binafsi nisingemlipia angejua cha kufanya, utakuta alikuwa na hela basi tu alitaka alipiwe
My brother kuna wanaume wa ajabu sana,pole kama some of the comments zina wageneralize wote ila kuna wakaka wa mjini ni hatarii inabidi uishi nao kwa akili, mtu hujui mshahara wake from January to December,a very smart guy na kazi nzuri tu, mtaenda sehemu after lunch mara kasahau wallet kwenye gari okei sio mbaya,utapigiwa usiku bebs luku imeisha na sina kitu apa airtelmoney yako inakitu nirushie kdg na mambo kibao nikieleza hapa simalizi
Mtu kama huyu angenioa am sure leo ningekuwa ninakilio, huo utegezi inakuaje mwanaume unapanda bila nauli na akijua mwenzie ni mwanafunzi angalau angemwambia kabla hawajapanda ili dada wa watu ajue, kiukweli binafsi nisingemlipia angejua cha kufanya, utakuta alikuwa na hela basi tu alitaka alipiwe