Usipohonga yakikukuta usilalamike

Usipohonga yakikukuta usilalamike

My habari ndio hiyo, majukumu yamewashindaje, unakuta mwisho wa mwezi mwanaume macho yamemtoka anakuuliza "mshahara wako tayari umeingia" kha! mwanaume wa kweli anajua majukumu yake, anajua mwanamke kazi yake kuzaa kwa uchungu, hayo mengine tunasaidia tu.

kha kha khaaaaa. nacheka kama mazuri vile sema hili limenigusa tu ndiomana! unakuta mwanaume maskio/macho juu juu anakwambia enhee mshahara umeingia
ushaangalia????? kule saiti bado kabisa nikipata kama laki 2 nimalizie lori la mchanga kheee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi

Wanawake muda mwingine mna akili zilizochanganyikiwa kama kimwilimwili cha kuku aliyetoka kuchinjwa.
 
Kaolewe nae kama alikuwa mume aswaaa! Nina hakika hujaolewa na kama umepata bahati hiyo umeipoteza then unatafuta mahali pa kufutia machozi yako na kupata watakaosupport upimbi wako.

Ni hatari sana mtu akaja kukuomba ushauri wa ndoa yake coz utampa ushauri based on your experience.

Mie nilisema huyu anayejiita MPOLEE ni msimbe. Amekosa bahati ya kuolewa na anawapotosha wenye bahati hiyo ili nao waipoteze! Maneno yote yanayomtoka ni ya mkosaji. Kubali yaoshe Mpolee. Wanaume wachache, hatuwezi kuolewa wote. Pata mahali japo ujiegeshe kama mchepuko wako upunguze hayo mastress yanayokuandama!
 
kha kha khaaaaa. nacheka kama mazuri vile sema hili limenigusa tu ndiomana! unakuta mwanaume maskio/macho juu juu anakwambia enhee mshahara umeingia
ushaangalia????? kule saiti bado kabisa nikipata kama laki 2 nimalizie lori la mchanga kheee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

My bora useme na wew, watu hawataki kukubali ukwel, mim binafsi nawashangaa wanaume ambao hawawajibiki, unakuta anamshahara mkubwa kuliko wew ila yey tar 3 mshahara sijui umeisha au ndio amepanda unaota, mambo yote nyumbani anafanya mama ila kazi kupiga kelele za kufoka ili majirani waone na yeye yupo, usiombe imetokea shida ya ghafla labda mtoto anaumwa utasikia "mama hauna chochote? azima basi kwa rafiki yako tutarudisha" huyu nae eti mwanaume kha!. wanaume wengine ni zaidi ya kansa jaman. Alafu mwambie kuwa umechoka unataka mtengane, mamaweee! atakuganda kama luba "unajua tuna mtoto, unajua tumefika mbali" inahusu!. hapana haitakiwi kuwavumilia, mwanaume anakuwa kupe, wanaume wenye hiyo tabia acheni mara moja.
 
My bora useme na wew, watu hawataki kukubali ukwel, mim binafsi nawashangaa wanaume ambao hawawajibiki, unakuta anamshahara mkubwa kuliko wew ila yey tar 3 mshahara sijui umeisha au ndio amepanda unaota, mambo yote nyumbani anafanya mama ila kazi kupiga kelele za kufoka ili majirani waone na yeye yupo, usiombe imetokea shida ya ghafla labda mtoto anauma utasikia" mama hauna chochote? azima basi kwa rafiki yako tutarudisha" huyu nae eti mwanaume kha!. wanaume wengine ni zaidi ya kansa jaman. Alafu mwambie kuwa umechoka unataka mtengane, mamaweee! atakuganda kama luba "unajua tuna mtoto, unajua tumefika mbali" inahusu!. hapana haitakiwi kuwavumilia, mwanaume anakuwa kupe, wanaume wenye hiyo tabia acheni mara moja.

haaaa nlikuaga nae wahivo mbona nlikoma nakwambia alikua na gubu sijawahi ona..haaaa si akanilazimishaga nimzalie mtoto ili nisimkimbie eti thubutuuuuuu mimi huyoooo!!!! kabisaaaaa!!!!!! naanza tuu??!!!!! khakhaa kajileta vuuuuuuup mpaka kazini nilipo aje anipe mimba..khakhaaaaaaa over my dead body ...... thnx God ule ulikua mkosi kwakweli imebaki history tu........ dume bahiiiiiiiiri lanini mie...yani mshahara ukitoka alikua anapigia mahesabu hela kama zake ukihoji kidogo tu maneno kibao wanawake mliosoma wasumbufu kweli mna dharau jeuri kiburi...mi namuangalia tu
 
Hapana dada naomba nikuambie hii ni jamii forum. Kwa haya maneno yako uliyoandika hapa UNAIPOTOSHA JAMII. Regardless ya umasikini na utajiri mwanamke na mwanaume wanahitajiana kimwili na kimalezi ya watoto watakaozaliwa. Inakupa heshima kama una watoto wanne kwa baba mmoja hata kama ni masikini kuliko watoto wanne na kila mmoja ana baba yake huku wewe ukiwa unalala chumbani peke yako. TUSIDANGANYANE. Kimaadili kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni kosa na ni dhambi inayohitaji TOBA. Hebu tulizana na fanya biashara zako na miradi yako vizuri tu huku UKISUBIRIA muda muafaka wa wewe kuingia kwenye ndoa. Iko siku utauona umuhimu wa lile NENO alilosema MUNGU kuwa SI VYEMA MTU HUYU AWE PEKE YAKE, NITAMFANYIA MSAIDIZI WA KUFANANA NAYE. Nakuomba tulia na usubiri muda ambao utaona ni vyema uwe na mwenzako(hata kama ni masikini)katika maisha. Mimi ninayeandika maneno haya nina umri wa miaka 56. Hivyo najua ninachokushauri kuwa ni sahihi. Na maneno haya uliyoyaandika hapa mwanangu umepotoka, unakoelekea ni kubaya, tubu na umuombe Mungu msamaha kwa kujipotosha na kuipotosha jamii.
 
haaaa nlikuaga nae wahivo mbona nlikoma nakwambia alikua na gubu sijawahi ona..haaaa si akanilazimishaga nimzalie mtoto ili nisimkimbie eti thubutuuuuuu mimi huyoooo!!!! kabisaaaaa!!!!!! naanza tuu??!!!!! khakhaa kajileta vuuuuuuup mpaka kazini nilipo aje anipe mimba..khakhaaaaaaa over my dead body ...... thnx God ule ulikua mkosi kwakweli imebaki history tu........ dume bahiiiiiiiiri lanini mie...yani mshahara ukitoka alikua anapigia mahesabu hela kama zake ukihoji kidogo tu maneno kibao wanawake mliosoma wasumbufu kweli mna dharau jeuri kiburi...mi namuangalia tu

My ukifanikiwa kuukwepa huu ujinga kwanza Toa sadaka ya shukran kanisani/ msikitin. ni matatizo haya atiii!, Tena unakuta halipendi hata uwasaidie ndugu yako, akiona unamsaidia ndugu yako utasikia " humu ndani tuna matatizo, hela hamna wew unatoa tu" kha! hapo mtu umemtumia mdogo wako yuko shule bording kwa kwel ni tabu. mim niliwahi kumtolea uviv mjinga mmoja nikamwambia "Nuna pasuka ila wadogo zangu nitawasaidia kwasababu wazazi wao ndio wamenikuza na kunisomesha hadi nikafika hapa uliponikuta", akawa mdogo kama piriton, nikawa namuhesabia siku, siku ilipotimia aliona dunia inamwangukia mbonaa.
 
Kwa akili yako sahau ndoa kwako.ndoa si kama ufikiriavyo.mawazo yako yanakutuma kuwa mtu ananyenyekewa akiwa na kitu.ovyo kabisa

Ndo kashaolewa na mzungu wake hana habarii..ila mange anajua sana kupotosha watoto za watu! Tumsamehe bure maana ana stress za ndoa huko ulaya
 
niliwaambia jamani hawa siku hizi wanauza mkaniona mshamba, hawa ndio wale mjini msingi kiuno.

Kweli mkuu ulisema kitu cha maana sana....naomba radhi kwa kuwa nilikupinga sana...lakini kwa uzi huu nakubali moja kwa moja kuwa wanawake wa siku hizi wote wanajiuza kwa namna moja au nyingine......kwa hiyo vijana wenzangu kuanzia leo unapotongoza mwanamke ujue unatongoza changudoa bila kujijua......take care
 
Kama wewe ni mtoto wa kiume basi sio riziki kabisaa

Mie sio mtoto wa kiume mie ni mwanaume.....
Ukikutana na mtu kama mtoa mada inabidi umjibu kutokana na uwezo wake wa kufikiria ulipoishia.
Wewe umezoea mipasho na vigodoro....Ure out of my league.... Ni PM nkuonyeshe uo unaoita uriziki
 
Kuliko kuoa wanawake dizaini hii ni bora mtu upige punyeto maisha yako yote.......hawakawii kukuwekea sumu hawa wanawake wa aina hii....
 
My ukifanikiwa kuukwepa huu ujinga kwanza Toa sadaka ya shukran kanisani/ msikitin. ni matatizo haya atiii!, Tena unakuta halipendi hata uwasaidie ndugu yako, akiona unamsaidia ndugu yako utasikia " humu ndani tuna matatizo, hela hamna wew unatoa tu" kha! hapo mtu umemtumia mdogo wako yuko shule bording kwa kwel ni tabu. mim niliwahi kumtolea uviv mjinga mmoja nikamwambia "Nuna pasuka ila wadogo zangu nitawasaidia kwasababu wazazi wao ndio wamenikuza na kunisomesha hadi nikafika hapa uliponikuta", akawa mdogo kama piriton, nikawa namuhesabia siku, siku ilipotimia aliona dunia inamwangukia mbonaa.

Nyie ni dhaifu tu...uyo aliyeona dunia inamuangukia ni mshamba...ure always crying.
 
Nyie ni dhaifu tu...uyo aliyeona dunia inamuangukia ni mshamba...ure always crying.
Tungekuwa dhaifu mngetutegemea? tungekuwa dhaifu ungezaliwa wew? ungehudumiwa hadi ulifikia kujitegemea? wew ni aina ya wanaume mnaoendekeza mfumo dume. jiangaliee

Haya kalale basi, punguza kelele
 
Hata siku moja kipofu hawezi kumuongoza njia kipofu mwenzake lazima watatumbukia shimoni....

peleka ujinga wako huko, uwe mwanaume tegemezi alafu uchekewe tu, wanaume wote tegemezi hii mada imewanyima usingizi. tumien nguvu kutafuta pesa na kuhudumia familia, sio kutumia nguvu kuja kubishana na ke hapa.
 
Kwanza nyie wanawake wa leo hamna cha aibu hata mtu angekupikia kama hufai hufai tu...tabia haina dawa...mnasema haki sawa ukisikia kibaka hutoki nje sasa usawa upi..nyie mkubali mliumbwa kuongozwa na ndio ukweli na mtaendelea kuongozwa lakini nikikuoa unipe mbunye kwa mafungu unakula tifu...ndoa sio pesa...ndoa ni heshima na kutambua ww ni mke wa mtu baasi...kusaka wanaume wenye hela utafanywa sana mana sisi wanaume tuna sanaa nyingi ntakuhonga laki na magari kibao niazime kwa jamaa kila nikija na gari tofauti nkishakusaula baaaasii hunioni...be careful wanwake huyu hawashauri anawapotosha...
 
wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.

Huelewi maana ya ndoa.

Unachoongelea hapa ni mahusiano kati ya kahaba na mteja wake

Sio mahusiano ya mume na mke
 
Back
Top Bottom