Usipohonga yakikukuta usilalamike

Usipohonga yakikukuta usilalamike

she z havn a very happy family wth three kids. So she is actually speaking from xperience sio nyie wa kukariri ndoa ndoa ndoa. Mwenzio katoka kucelebrate her 5th annivesary ya ndoa upo? Narudia tafuta HELA.

Sasa si atoke akatafute wa Kumcare na kumpa hela ya nn kelele !!! Wakati wanakutana na kutongozana mbn hakuja hapa na kelele Kama hizi anakuja now yako shingoni
 
Hahahaa eti kuvumilia umaskini ndio mdudu gani huyoo, nasema hivi ni bora niwe singoooo, pumbaf

Sasa wasubiri nn c uwe singo......wala usingeleta haya makelele Kama ungeweza hayo ungekuwa kimya huko singo
 
Wanawake bwana kila siku kulalamika...wasipofanya kazi wanalalmika ....wakifanya pia wanalalamika....yaani ni kulalamika huku hao hao wakililia haki sawa ....wakiambiwa haya haki sawa basis pasu kwa pasu wanalalamika pia......sasa mnatakaje....kaeni wenyewe au oaneni na wanawake wenzenu uone Kama hamjalalamika pia
 
hii yote inatokana na kubadilisha maisha tuliyoumbiwa na mwenyezi Mungu, nikiwaambia kuhonga ni nature ya mwanaume mnataka kunitoa roho

eti wa wanaume wa siku hizi wanataka kupendwa, hivi hamjui Mungu aliagiza mume ndo ampende mke halafu mke amheshimu mume full stop. Ila ujue huwezi kuheshimiwa kama hutimizi majukumu yako ya kumpenda mke
 
Sasa wasubiri nn c uwe singo......wala usingeleta haya makelele Kama ungeweza hayo ungekuwa kimya huko singo

Hivi kuna sehemu yoyote nimekuquote wewe jifunze kuheshimu mawazo ya wengine ndio nishasema ni heri niwe singo na sitobadili elewa hivyo
Pili bahati mbaya mimi sipo singo kwasababu mwanaume nilienae anaelewa wajibu wake tusichoshane usitake kuurgue kuhusu mtazamo wangu stick to your opinion so should I
 
I know my principles and I will stand by them kama kila ninachofanya kwenye ndoa hata nikiwa single naweza fanya mwenyew am soleee ndoa si lazima,am better off myself

Hayo ndio maisha uliyoyachagua na hakuna mtu aliyesema ndoa ni lazima......
But pole sana dada inaonekana ure desperate.... Its always happening in real life.
 
Hongera wee mwenye MAHABA NIUWEE, MAHABA NIVURUGEE..., MAHABA NIPOTEZE KULIKO NDEGE YA MALASIA, MAHABA NICHANGANYE KAMA RASMU YA KATIBA YETUUU.... nk

Eti kaonewa uwivu ukimcheki majukumu yamemjaa mpaka kwenye kope kisa kusaidiana........ Hahahaa if I bring 50% same as my hubby hio ndoa hatutafika five years itakuwa ishakufa otherwise a tolerate yatakayotokea humo ndani
 
My bora useme na wew, watu hawataki kukubali ukwel, mim binafsi nawashangaa wanaume ambao hawawajibiki, unakuta anamshahara mkubwa kuliko wew ila yey tar 3 mshahara sijui umeisha au ndio amepanda unaota, mambo yote nyumbani anafanya mama ila kazi kupiga kelele za kufoka ili majirani waone na yeye yupo, usiombe imetokea shida ya ghafla labda mtoto anaumwa utasikia "mama hauna chochote? azima basi kwa rafiki yako tutarudisha" huyu nae eti mwanaume kha!. wanaume wengine ni zaidi ya kansa jaman. Alafu mwambie kuwa umechoka unataka mtengane, mamaweee! atakuganda kama luba "unajua tuna mtoto, unajua tumefika mbali" inahusu!. hapana haitakiwi kuwavumilia, mwanaume anakuwa kupe, wanaume wenye hiyo tabia acheni mara moja.

Sema mama, tena MUNGU niepushe na mume wa hivi, ni bora niwe mwenyewe
 
Kuliko kuoa wanawake dizaini hii ni bora mtu upige punyeto maisha yako yote.......hawakawii kukuwekea sumu hawa wanawake wa aina hii....

Kwa ujinga huu wa 50% pasu kwa pasu ni bora nikuwekee sumu utangulie kidg ulichokiacha ntajiongeza ntasonga mbele na watoto maisha yanasonga
 
peleka ujinga wako huko, uwe mwanaume tegemezi alafu uchekewe tu, wanaume wote tegemezi hii mada imewanyima usingizi. tumien nguvu kutafuta pesa na kuhudumia familia, sio kutumia nguvu kuja kubishana na ke hapa.

Jiwe ilo limerushwa wahusika ndio wanatapatapa hapa, I really appreciate kuna wanaume wanajielewa wakiona huu uzi hawawezi kuupinga
 
Hayo ndio maisha uliyoyachagua na hakuna mtu aliyesema ndoa ni lazima......
But pole sana dada inaonekana ure desperate.... Its always happening in real life.

Hahahaa niko very calm kwa wanaonijua wangekusaidia kukujuza, desperate na nini kaka yangu??? Bado sijafika mda wa kuwa desperate na haitokuja kutokea, Binadamu mnajitahidi sana kujipa stress,I only scratch where it itches the rest Mungu ndio anajua, mnavyoongea utadhani bila ndoa maisha ndio basi
Hio mentality ndio inawafanya wanawake wawe desperate
 
Mijitu mitegemez ndio ilivyo, inaroho ya ubinafsi sana. unakuta limekaa linabadili chanel mwanamke ndio unaingia labda umejibeba vizawadi vya mtoto nalo linakwambia alafu mama soski zangu zimeisha, yaani unatamin umtukane 'mngese nini',

Hahahaa Hahahaa asante umemaliza jioni yangu vizuri
 
Back
Top Bottom