ANNA SAMORA NKEWA
Member
- Jan 6, 2014
- 54
- 9
bt jua kua asili inabaki palepale,familia inapozorota kiuchum anayeangaliwa ndani n baba,ila sio wale wanaoikimbia nyumb
The fact is ulijisifia kuzaa et ndo uwezo wenu that is y nkasema hata wanyama wanazaa..... alfu usijisifu kukimbia sana bila ya kuanza kumsifu anayekukimbiza.... umeelewa mmwagie sifa yule anaekugalausa kwa bed had tumbo likavimba..... kwanza ww hata kuzaa cjui kama umezaa na hata kama umezaa bac baba wa mtt hautamjua
Hahaaa hahaaa, inabidi nicheke kwa nguvu. ..wewe ni mvulana suruali tuuu hata ujiteteeje ptyuuu...eti mwanamke ndo mtafutaji haya weeee
heeee shost mbona yote unayosema yananigusa best..hapo kwenye ndugu ndio ilikua balaa sasa hata wanafunzi tu hataki hata niwasapoti japo kidogo ukizingatia sio mimi ninaewasomesha ni ile tu madogo wanaomba tuhela tu kumi kumi au 20,,,, au unaeza kuta ndugu yangu asie na mbele wala nyuma kaniomba kahela kadogo tu mwanaume atasema mpaka basi utasikia " tena hao waliokataaga shule sio wa kuwasikiliza kabisa kipindi wanakataa walitegemea nini waache wayaone maisha,,,, yani wewe hao ndugu zako hao....haaaa hapo mimi nilisomeshwa na ndugu hapo walijinyima nyima mpaka nikafanikiwa leo hii eti nisiwasikilize ndugu puuuuuuuuuuuuuu!!!!!
My habari ndio hiyo, majukumu yamewashindaje, unakuta mwisho wa mwezi mwanaume macho yamemtoka anakuuliza "mshahara wako tayari umeingia" kha! mwanaume wa kweli anajua majukumu yake, anajua mwanamke kazi yake kuzaa kwa uchungu, hayo mengine tunasaidia tu.
Mijitu mitegemez ndio ilivyo, inaroho ya ubinafsi sana. unakuta limekaa linabadili chanel mwanamke ndio unaingia labda umejibeba vizawadi vya mtoto nalo linakwambia alafu mama soski zangu zimeisha, yaani unatamin umtukane 'mngese nini',
pole shost...mimi huyo tulipishanaga sana halafu ilikua hazipiti siku 2 ugomvi siku 2 ugomvi...haaa babu eeeeee shida yanini kila mtu akasambaa kivyake sijui lipo wapi nowadays!
My bora useme na wew, watu hawataki kukubali ukwel, mim binafsi nawashangaa wanaume ambao hawawajibiki, unakuta anamshahara mkubwa kuliko wew ila yey tar 3 mshahara sijui umeisha au ndio amepanda unaota, mambo yote nyumbani anafanya mama ila kazi kupiga kelele za kufoka ili majirani waone na yeye yupo, usiombe imetokea shida ya ghafla labda mtoto anaumwa utasikia "mama hauna chochote? azima basi kwa rafiki yako tutarudisha" huyu nae eti mwanaume kha!. wanaume wengine ni zaidi ya kansa jaman. Alafu mwambie kuwa umechoka unataka mtengane, mamaweee! atakuganda kama luba "unajua tuna mtoto, unajua tumefika mbali" inahusu!. hapana haitakiwi kuwavumilia, mwanaume anakuwa kupe, wanaume wenye hiyo tabia acheni mara moja.
pole shost...mimi huyo tulipishanaga sana halafu ilikua hazipiti siku 2 ugomvi siku 2 ugomvi...haaa babu eeeeee shida yanini kila mtu akasambaa kivyake sijui lipo wapi nowadays!
Hapana dada naomba nikuambie hii ni jamii forum. Kwa haya maneno yako uliyoandika hapa UNAIPOTOSHA JAMII. Regardless ya umasikini na utajiri mwanamke na mwanaume wanahitajiana kimwili na kimalezi ya watoto watakaozaliwa. Inakupa heshima kama una watoto wanne kwa baba mmoja hata kama ni masikini kuliko watoto wanne na kila mmoja ana baba yake huku wewe ukiwa unalala chumbani peke yako. TUSIDANGANYANE. Kimaadili kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni kosa na ni dhambi inayohitaji TOBA. Hebu tulizana na fanya biashara zako na miradi yako vizuri tu huku UKISUBIRIA muda muafaka wa wewe kuingia kwenye ndoa. Iko siku utauona umuhimu wa lile NENO alilosema MUNGU kuwa SI VYEMA MTU HUYU AWE PEKE YAKE, NITAMFANYIA MSAIDIZI WA KUFANANA NAYE. Nakuomba tulia na usubiri muda ambao utaona ni vyema uwe na mwenzako(hata kama ni masikini)katika maisha. Mimi ninayeandika maneno haya nina umri wa miaka 56. Hivyo najua ninachokushauri kuwa ni sahihi. Na maneno haya uliyoyaandika hapa mwanangu umepotoka, unakoelekea ni kubaya, tubu na umuombe Mungu msamaha kwa kujipotosha na kuipotosha jamii.
Ninyi ndio mnahongwa hadi na baba zenu waliowazaa. Pumbavu sana.
That is personal.... Usitafute huruma hapa kama Flora Mbasa...kama unataka mlete na huyo mwanaume aongee yake.
Umemaliza? Au tusi jingne liko njiani....namuonea huruma atakaye/aliyepewa majukuma ya kukuvumilia 4 da rest f her lyf. Pole yake, learn 2 behave boy, walopevuka hawatukan ovyo.
wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.
Thamani ya mtu haionekani kwa macho wala huwezi kuigusa kwa mkono; premise mbaya, conclusion mbayaMtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half halafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa.
Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipotee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke.
Mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache.
Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yaani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.
Hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi