Usipohonga yakikukuta usilalamike

Usipohonga yakikukuta usilalamike

Watu wanalishwa "kauli mbiu" na watu ambao hatq wao hawako tayari kuaishi wanayoyatamka.

Tuanze na hii "Mwanaume utakula kwa jasho, mwanamke utazaa kwa uchungu" unaiishi kwa asilimia ngap, au ndo mnang'ang'ania kusaidiwa majukumu. Dhihirishen uanaume wenu, Alha.
 
Tatizo letu sisi binadam hatutaki kuonyesha madhifu yetu ili tukapata ushauri na msada. Ni kweli mtoa mada kwa kiasi fulani ameshakata tamaa ya kuolewa au kumpata mtu alie kua akimfikilia katika maisha yake anachokifanya ni kuwaposha wanawake wenzie ili waharibu kama yeye alivyo jiharibia maisha yake ya mahusiano amani ya moyo huwa ni zaidi ya pesa. Tuwe makini na makundi yetu makundi mengi huwa niya kutiana ujinga "Mungu kaumba wanaume na wanawake waoane ili wapate utulivu , wapendane na waoneane huruma” Tatizo ngono tumeilarisha tumechukulia kama sifa mtu kua malaya mtaani ila tusubiri adhabu za kaburini na siku ya mwisho penda usipenda lazima utakumbana nayo tuwe makini na Dunia hii. Duniani tunapita tu
 
Kama baba yako angekuwa alifanyiwa hvyo na mama yako leo hii baba ako angekuwa omba ombaa pale postaa
 
en dat's where happines comes from, unaanzaje kufurahia ndoa na huku una mwenza mzigo? Waache unafiki.

Mwanaume kuhudumia familia yake 100% ni unafiki?
Acha umburula , kuulizia hela ya wife huwa najishtukia sana mkuu japo bado sijajaaliwa uwezo mkubwa sana kifedha.
 
Ungejua hujanukuu ningekupa jibu. Hii ni Simu ambayo haionjwi. Jaribu uone.

Mwanaume ni Mwanaume tu.
 
Tatizo ngono tumeilarisha tumechukulia kama sifa mtu kua malaya mtaani

Nani kahalalisha ngono, na umalaya? Usipindshe ukwel hili kulazmisha kueleweka. Hoja ni heshima ya kichwa cha familia kisichotimiza wajbu wake. Yaani ukiwa mwanaume mzigo, ukubali tu kua respect na uanaume wako ndan ya familia vinapungua. Nadhan umeshayashuhudia haya yalosemwa hapa, ktk familia nying, sema hutak kukubal UKWELI huu. (mayb ur 1 f them very sorrie)
 
Mwanaume kuhudumia familia yake 100% ni unafiki?
Acha umburula , kuulizia hela ya wife huwa najishtukia sana mkuu japo bado sijajaaliwa uwezo mkubwa sana kifedha.

Niliunga mkono, na nkasema waache unafiki. Naona hatukuelewana hapo. Ukihudumia mo dan 50% z more dan enough na furaha inaanzia hapo.
 
Mkuu nime-comment kabla sijaisoma hii ya kwako nikagundua kuwa ulichokigundua kwa huyo dada ni kile ambacho nimekigundua. Hivyo nakubali kuwa huyu dada amepoteza mwelekeo wa maisha ya ndoa kwa kukosa alichodhani atakipata.
Naomba msimshambulie maana mtamuongezea matatizo ya nafsi yake bali apatiwe ushauri utakaomuweka sawa, Dada ana uchungu.

Kabla ya ku-comment nimekutana na comment yako ambayo ni kama umecopy kutoka kichwani kwangu. Maneno ya mtu aliyepoteza muelekeo utayajua tu.
 
wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.

Kaolewe nae kama alikuwa mume aswaaa! Nina hakika hujaolewa na kama umepata bahati hiyo umeipoteza then unatafuta mahali pa kufutia machozi yako na kupata watakaosupport upimbi wako.

Ni hatari sana mtu akaja kukuomba ushauri wa ndoa yake coz utampa ushauri based on your experience.
 
we mwanamke kuwa mvumilivu kama mama yako
BABA YAKO ALIVYOMUOA HAKUA HATA NA KITANDA LEO HII UNATAKA MWANAMME MWENYE LAMBORGIN????

utapigwa p sana utaachwa
poleee

sema ubatafuta mwanaume Mwenye MALENGO
PESA ZINAISHA NA ZINATAFUTWA VILE VILE

they fades away my dear

alafu inashangaza watu wanaotafutaga wanaume wenye hela wanapigwaga sana na kuachwa kipuuzi na watoto na mambo kama hayo
wale wanaomuomba Mungu wanapata mwenye kila kitu

WHO IS MR RIGHT???????najua unawaza mwenye pesa
unajidanganya sana my dada.
tafakari moyo wako unataka nini


masai dada, natumia simu, sina kitufe cha LIKE! Nimekupenda bure
 
Last edited by a moderator:
she z havn a very happy family wth three kids. So she is actually speaking from xperience sio nyie wa kukariri ndoa ndoa ndoa. Mwenzio katoka kucelebrate her 5th annivesary ya ndoa upo? Narudia tafuta HELA.

Very happy family???? lol!!! Ndo nimfuate huyo mtu anipe ushauri wa ndoa yangu, to hell!!!

Wakati unashauri mumeo atafute hela na wewe fanya mazoezi ya kuwa mke mwema. Tena ushauri wa Bure kabisa, usifuate ushauri wa ndoa especially kwa mtu ambaye ndoa yake ina majeraha kama ya huyo muandishi.

NOTE: Changamoto Katika ndoa siyo universal. Tatizo la aina moja huweza kutatuliwa kwa njia zaidi ya moja kwa ndoa tofauti. So ndoa yako siyo ndoa ya Mange and ya Mange can't be yours. JIONGEZE
 
My habari ndio hiyo, majukumu yamewashindaje, unakuta mwisho wa mwezi mwanaume macho yamemtoka anakuuliza "mshahara wako tayari umeingia" kha! mwanaume wa kweli anajua majukumu yake, anajua mwanamke kazi yake kuzaa kwa uchungu, hayo mengine tunasaidia tu.

Naomba mungu nisikutane na balaa hili hata barabarani tu.
 
Naona nawe umeamua kutoa ushauri, based on ur EXPERIENCE. Haaahaah! (usloweza kufanya usimshaur mwenzio afanye unless ka ulwah kulfanya.)

Mkuu samahani, we si umenukuu tu??? Au ndiyo weye mwenyewe muke ya mzungu???
 
Back
Top Bottom