The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
hii thread sijamuona BADILI TABIA .....
Last edited by a moderator:
wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.
Mkuu samahani, we si umenukuu tu??? Au ndiyo weye mwenyewe muke ya mzungu???
Mwisho wa kunukuu
Mama aliyeolewa kama ww, ambaye yuko very happy with her marriage hana roho mbaya kaamua kuwapa wadogo zake ushauri mi nmefanya kunukuu tu.
Aseee,ungali mchanga mkuu.Yaani umeolewa na unataka uhongwe na mumeo.Such a freak!Naamini wenzio "wengi" wanakucheka tu.
Mtoa mada ameamua kuwa kahaba full stop..
Mungu akukosea alipoumba watu na jinsia zao sema tumekengeuka tu.
Wanyama ambao wanaishi kwa silika KE ndio mtafutaji...
Anza na Kuku jogoo akishampanda mtetea ajui watoto wanakula nini...
Wanyama jamii ya paka...majike ndio wawindaji dume ye kula na kuzalisha tu..
Ukiangalia wanyama wote wapo ivo tokea bustani ya EDEN...
Mwanamke ndio halialibu kila kitu pale alipo mpa penzi nyoka kutokana na tamaa ....
Sasa pale ndio tukaanza kutoa huduma kama adhabu lakini kuchunga familia sio responsible ya ME tokea EDEN....
mama tuliza mshono, nikuonee wivu NAKUJUA! Reading ur sentences u look very desparate. Pole na majukumu mazito ya kifamilia ndo mume ulomchagua huyo, ushalikoroga so usiwatolee watu povu bse of ur family stresses. Mama aliyeolewa kama ww, ambaye yuko very happy with her marriage hana roho mbaya kaamua kuwapa wadogo zake ushauri wasijeangukia kama yalokupata wewe, mi nmefanya kunukuu tu, wala ckujua ka litakugusa kiasi hiki.
Sasa Tumia AKILI,KIASI NA UCHAJI katika kupambanua.....
Tell me,what mostly do you really need in this fu__cken life? tell me if not happiness.
Naturally feeding is not our responsibility.....Ndio maana mama alipewa manyonyo wanaume tunajipendekeza tu kulea kutokana na AKILI,KIASI NA UCHAJI..
Sie kazi yetu ni kumwaga manii tu ndio maana aliweka uroda ili tushawishike tu...
Ndio natamani kuwa kuku coz wako na furaha sana...
Life is too short na tunakufa with nothing katika coffin.
Tushawazoea sana nyinyi mkipata vifweza mnakuwa wanyanyasaji sana isitoshe ndoa ni kuvumiliana kwa shida na raha kama uliweza kumvumilia mwanzo iweje leo unamzingua kuwa na heshima wew mwanaume ni mwanaume tu na wewe utabaki kuwa mwanamke ata kama una miliki bahari
100% agreed, the only way to stop a thousand women being prostitutes is to create a thousand well paid, low skilled job. But for this thread, she's more than shetanii..!!
Hapo hukupaona au jeur?
Hapo hukupaona au jeur?
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi
Believe me, wewe lazima ni msimbe na unatuonea wivu wenye waume zetu ili tuharibikiwe ndoa zetu tufanane! Kama huna bahati ya kuolewa kubali yaishe na kiuhalisia, kwa mtazamo huo ulionao hutakuja kupata mume kamwe. Waume wanahitaji mwenza anayejali na anayejua wajibu na mipaka ya majukumu yake, si wa kujilinganisha na mumewe ati kwa sababu ya kushiriki kuleta pato katika familia. Pole weee....!
Naomba mungu nisikutane na balaa hili hata barabarani tu.
Ndoa ni kuheshimiana, kusaidiana wala haina mkubwa!
Ukiingia na mtazamo kama huu wako, ni dalili ya kushindwa.
Stay calm women!
^^