Usipohonga yakikukuta usilalamike

Usipohonga yakikukuta usilalamike

AKILI, KIASI NA UCHAJI ndo hututofautisha na wanyama wengine. UTU wako uko wap? Usnambie unayataman maisha ya kuku. Udandie utie mimba usepe, matunzo atajua mama watoto. haaaahaaa ur ryl smthn else.

Sasa Tumia AKILI,KIASI NA UCHAJI katika kupambanua.....
Tell me,what mostly do you really need in this fu__cken life? tell me if not happiness.
Naturally feeding is not our responsibility.....Ndio maana mama alipewa manyonyo wanaume tunajipendekeza tu kulea kutokana na AKILI,KIASI NA UCHAJI..
Sie kazi yetu ni kumwaga manii tu ndio maana aliweka uroda ili tushawishike tu...
Ndio natamani kuwa kuku coz wako na furaha sana...
Life is too short na tunakufa with nothing katika coffin.
 
Sijamaliza kusoma, ila ukiolewa nna mchango wako wa gharama za fungate please..
 
Utasuguliwa papuchi hadi ukome mwisho wa siku unamwaka ukija kujitambua umri unakua umekwacha
 
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi

Believe me, wewe lazima ni msimbe na unatuonea wivu wenye waume zetu ili tuharibikiwe ndoa zetu tufanane! Kama huna bahati ya kuolewa kubali yaishe na kiuhalisia, kwa mtazamo huo ulionao hutakuja kupata mume kamwe. Waume wanahitaji mwenza anayejali na anayejua wajibu na mipaka ya majukumu yake, si wa kujilinganisha na mumewe ati kwa sababu ya kushiriki kuleta pato katika familia. Pole weee....!
 
Mchaluko, some desperate delinquent gold digger! That is not women power! It's women ♀ lame! Ndio mnaolewa na vibabu, where is dignity???
 
Haya yoooote mtoa mada ndiyo na Freemason wanafagilia!!
Utashi huu WA jeuri na ujuaji wa kibinadamu ndiyo unayumbisha mahusiano na ndoa kizazi cha digitali!!!
Sababu kubwa ni moja tuu tumechepuka kwenye maandiko matakatifu ya Mungu ambae ndiye asili yake!!!
Tumejiinua na kujipa ujuaji juu ya ndoa na mahusiano!!!

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Believe me, wewe lazima ni msimbe na unatuonea wivu wenye waume zetu ili tuharibikiwe ndoa zetu tufanane! Kama huna bahati ya kuolewa kubali yaishe na kiuhalisia, kwa mtazamo huo ulionao hutakuja kupata mume kamwe. Waume wanahitaji mwenza anayejali na anayejua wajibu na mipaka ya majukumu yake, si wa kujilinganisha na mumewe ati kwa sababu ya kushiriki kuleta pato katika familia. Pole weee....!

mama tuliza mshono, nikuonee wivu NAKUJUA! Reading ur sentences u look very desparate. Pole na majukumu mazito ya kifamilia ndo mume ulomchagua huyo, ushalikoroga so usiwatolee watu povu bse of ur family stresses. Mama aliyeolewa kama ww, ambaye yuko very happy with her marriage hana roho mbaya kaamua kuwapa wadogo zake ushauri wasijeangukia kama yalokupata wewe, mi nmefanya kunukuu tu, wala ckujua ka litakugusa kiasi hiki.
 
Tushawazoea sana nyinyi mkipata vifweza mnakuwa wanyanyasaji sana isitoshe ndoa ni kuvumiliana kwa shida na raha kama uliweza kumvumilia mwanzo iweje leo unamzingua kuwa na heshima wew mwanaume ni mwanaume tu na wewe utabaki kuwa mwanamke ata kama una miliki bahari
 
Ndoa ni zaidi ya pesa ila hupendeza mwanaume unapojituma na kuhudumia full , 100%.

en dat's where happines comes from, unaanzaje kufurahia ndoa na huku una mwenza mzigo? Waache unafiki.
Sasa Tumia AKILI,KIASI NA UCHAJI katika kupambanua.....
Tell me,what mostly do you really need in this fu__cken life? tell me if not happiness.
Naturally feeding is not our responsibility.....Ndio maana mama alipewa manyonyo wanaume tunajipendekeza tu kulea kutokana na AKILI,KIASI NA UCHAJI..
Sie kazi yetu ni kumwaga manii tu ndio maana aliweka uroda ili tushawishike tu...
Ndio natamani kuwa kuku coz wako na furaha sana...
Life is too short na tunakufa with nothing katika coffin.

Yes life z too short en dat gives us a very strong reason to live happily...!
 
Uwiiiii,if u gat a gal like this rubbish Mpolee ir suffering,she might be prostute of highest degreeeee
 
Hivi mwanamke anapobaki kuwa goli keeper haioni aibu,kuna wale ambao inajulikana no way maana hana kazi ,sasa mwenye uwezo wa kupata kazi naye anakaa tu?kodi ya nyumba Mme,bili za umeme Mme,ada za watoto Mme,vyakula na misosi nyumbani Mme,we umekaa tu halafu bado unanuna sometimes hata kupiga umbea kwamba Mme wangu mvivu,hamna hata aibu?
 
hakulagani 23:09 Today
Uwiiiii,if u gat a gal like this rubbish Mpolee ur suffering,she might be prostute of highest degreeeee
 
Mtu tunaamka wote 6am tunapambana wote na mafoleni bills za nyumbani tunalipa half and half alafu eti unataka heshima ya mume,im soleeeeee chief unataka heshima ya mume embu kuwa mume kwanza take care of me and our kids uone kama sijakupigia na goti wakati nakupa chakula,,,,hahahahhahahhahahaha...! Nachosema ni kwamba kama wanaume siku hizi wanataka wanawake ambao wana hela zao pia wakubali kuwa benefits zao flani flani lazma zipoteeee, for example, kujifanya ndo kichwa cha nyumba, kujifanya una sauti kwenye maisha ya mkeo, kupewa unyumba unapojiskia, chief hata tendo la ndoa linanoga pale unapokuwa na mtu anaejua ku take care mwanamke...! mtu unanilipisha kila kitu half half alafu kila siku wataka nigeuzakama za kwenye movie za X hapana aiseeee, hapo tendo itabidi lifanyike wakati wa kutafuta mtoto basi...! hahahahh na nyie wanawake acheni uzuzu sio lazma uwe na mume jamani ili uwe kamili. Bora uwe mwenyewe kuliko kuwa na jitu hata shingi kumi halikusaidiiii..! eeeh women power ndo hiiiiii...! Wengi wenu mnakuwa desparate hamtaki kuwa single mnaona kuliko kuwa single bora uwe na anyone. mwingine anaona bora atoke tu na yoyote for now then Mr. right akitokea atasepa atamwacha huyo apache...! Hapo ndo mnapokosea ukishaingia kwenye relationship na hawa wasio na kitu kutoka ni shidaaaaaaaaaaaa hakuachiii ngooo...! na huwezi pata anybody else coz ana monitor kila kitu chako. Yani anakuwa na wivu wa balaaaa maana anajua kabisa he doesnt deserve you basi anabana kona zoooooote.hupati mtu ngoo¡-! mpaka utajikuta unaolewa nae, ahhahahahahhahahahah. Dont settle for less that what you deserve, bora ukae single mpaka Mr. right aje..!! Mwisho wa kunukuu, by Mange Kimambi

Hiyo inaweza kuwa sawa kwako,lakin si kwa wanawake wote cdhan kama kuna mke wa mtu aliye serious na mfano graduate ambae atataka kuish maisha hayo yaan nyumba na kila kitu kilichomo kaghariamia mwanaume isipokuwa labda vyombo vya kitchen party, gari likiwemo lako kama lipo mwanaume, nguo hadi vocha mwanaume na kaz unafanya nyumban kuna house girl na house boy kila kitu mwanaume unajua mtu wa kawaida hawez kufeel okay halaf ni risk hata kwako ukizingua utaambiwa chukua vijiko vyako vya kitchen party upotee,ni mtazamo tu lakn.
 
Uwiiiii,if u gat a gal like this rubbish Mpolee ir suffering,she might be prostute of highest degreeeee

oouuh so u mean a human being can b rubbish sometimes, i really ddnt know. From wat I know even the DEAD human being body z very much RESPECTED.
 
Hivi mwanamke anapobaki kuwa goli keeper haioni aibu,kuna wale ambao inajulikana no way maana hana kazi ,sasa mwenye uwezo wa kupata kazi naye anakaa tu?kodi ya nyumba Mme,bili za umeme Mme,ada za watoto Mme,vyakula na misosi nyumbani Mme,we umekaa tu halafu bado unanuna sometimes hata kupiga umbea kwamba Mme wangu mvivu,hamna hata aibu?

Mwanaume ni kichwa, mke msaidizi. Kama uwezo unaruhusu hutoona shida, mwanamke atafanya kazi na bado utamwongezea kumbuka ni pambo la nyumba anapaswa apendeze akuvutie sio kumhangaisha mdada wa watu had akili ikakaa kikutafuta. Akakosa hata muda wa kukuhudumia kama mke na kama mama wa familia akabak kua ur bussines partner kila mwisho wa mwezi mnapiga mahesabu...hela zake unashiriki kula humtunz anajitunza. Mlivyo wanafik hamkawii kujichepukia.
 
100% agreed, the only way to stop a thousand women being prostitutes is to create a thousand well paid, low skilled job. But for this thread, she's more than shetanii..!!

Well paid for low skilled? From which economic class dear? En who told you women r not skilled, mayb before but now NO thank you. U onl need some uptodates...! Changing lyf changing COMMUNITY.
 
Back
Top Bottom