usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.
NIMERUDI!
-hiv ulishawahi kufikiria kwenda popote kwenye hizo embassy na diplomats ofice ukaweka tangazo la kutaka kutongozwa?
-kwa akili zako zilivyo juu ya karatasi inayoitwa hela ungefanya hiv hebu jaribu kuweka mic kwenye hiyo noti af iambie ikutongoze
-lakini pia unaweza kufanya hili,unaonaje ukianza kusimama kwenye kiooo nafkir ukifanya ukiwa huna nguo ndo itakuwa poa zaidi,fanya kusimama mbele ya kioo cha chumbani kwako!jipige maksi aseee!halafu utaamua mwenywe unaweza kutongozwa na watu wa aina gani!
NTARUDI TENA!
 
Mtoa mada umenikumbusha ngoja na mimi nitongoze kidogo hapa JF yaaani miaka yote hii sijawahi hata tongoza. Wadada mkae tayari sintakuwa mwongo nitasema ukweli mtupu sasa ole wako we unidanganye.
 

yeah...wengi wanamix Avatar na uhalisia wa mtu.....ukiona hako ka pic unahua HOE ndo niko

hivyo sa ukikuta tofauti unaanzisha na thread kabisaa....haya mambo haya....
 
Wewe na mihemko yako ndio ulikufanya usikilize hzo swaga za mwalimu,then unatuonesha wazi kwamba wewe ni m.al.aya usiejiheshimu mbele za watu..kama shida pesa mi ninazo ebu ni pm picha yako
 

vuta pumzi uedit kidogo post yako hii bibie..............

hata mimi nimechefukwa ila tunajitahidi kupunguza mhemko.............
 
aisee una bif na walimu wa kata kiac hicho? wanalipwa mshahara mdogo ila cwezi dharau walimu, bila hiyo civics na history mkuu nadhani wewe hata vocha ya jamii forums sasa hivi ungekua huna.. Afu dont speak as if u r a millionaire, mwenye mshiko hua haongelei waliochini kwa design hii, hua wanawaminya kidizaini... u r probably a student ambaye hajagraduate so u never know what comes next...
 
yeah...wengi wanamix Avatar na uhalisia wa mtu.....ukiona hako ka pic unahua HOE ndo niko

hivyo sa ukikuta tofauti unaanzisha na thread kabisaa....haya mambo haya....

ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!

mtu akiangalia hiyo ngozi , pua , lips na nyusi zilivyo hapa
anajua Heaven on earth halijui jua la bongo...........
 
Last edited by a moderator:
vuta pumzi uedit kidogo post yako hii bibie..............

hata mimi nimechefukwa ila tunajitahidi kupunguza mhemko.............
si wanijua lakini huwa siandiki hv bila sababu?
nisamehe kwa leo!
ehhehehhe tena unswameh' sana maana nilichoandika baada ya kurudi..... pole bana
 
aiseee mtaje basi!!tatzo kenu mnaangalia material
 
You can be in a wealth couple but totally unhappy bse you may miss other factors to make you happy, one day you may realise this.
 

Uko vizuri! Nakupenda bure!!
 
Uko vizuri! Nakupenda bure!!

AHHAHHHAHAHHAH!
nna hamu sana na mtoa mada!
yani raha ya uzuri huu ungeuona angekuwa hapa jukwaaani mida hii!
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu zake!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…