usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.
Unamtafta wa kumuuzia k.so umeona walimu hawawezi bei ya k yako. Nenda kawauzie hao mapedeshee.
 

Unatuaribia.....:frusty: ......... pia ujue unaatarisha usalama wa mabint wenu huku.
 
umeonaa eeh kitu cha ukweli inaweza ujihonge mzima mzima ..ila ndo hivo utakuta ni nanihii kongowe eti ...ze wallet is ziro balance
Smile utaja butuliwa cku moja! Nimechekaaaaaa, sabal kheri humu ndani!
 
Last edited by a moderator:
mie sipendi uongo..bora mtu aniumize kwa kunambia ukweli kuliko kunifariji kwa mauongoungo
n..ivi kuna tatizo mwanaume kua ticha?...sikujua hili
 
Sema tu kama unatafuta Soko maana walimu naona kwako dau dogo.
 
ha ha ha......shosti pole......jamii forum kuna senema za kutosha wallah...........ila kuna watu kizunguzungu jamani........full mashauzi.....njoo muone sasa.......mweeeee........

hata ninyi mpo hivyohivyo kumwona msichana kumbe kibibi!
 
hee! bestito yamekutokea nini pole sana
ila kumbuka kuwa ualimu nao ni kazi kama kazi zingine
kwani pasipo mwa mwalimu wewe ungejua kubofya jf?
wasingekuwepo walimu ungejua kusoma na kuandika wewe?
wasingekuwepo walimu ungejua hata ramani ya home kwenu?
ACHA KUDHARAU KAZI ZA WENZIO SIO UTU HUO


 

kumbe ndio mlivyo!! Mnaacha kutafuta maisha kazi kutafuta wanaume wenye pesa, ndio maana wanawake wanazaraurika sana. Kila la heri utalipata lifanyakazi la embasy lenye ukimwi. By the way mimi sio mwalimu ila nimeguswa na hii kitu.
 

Kwa namna ulivyoandika ni rahisi mno mtu kusoma uwezo mdogo uliona nao katika kupambanua na ndio maana umejikuta unaangukia pua.

Kwa hiyo wewe moja kwa moja unaamini kuwa mwanaume ambaye anaongea Kiingereza kwa ufasaha na madaha huyo moja kwa moja ni 'bonge la bwana'.

Halafu kwa bahati mbaya unaonekana ni a sort of money money monger ndio maana ulipokutana na Umombo ukajua umepata mwanaume mfanyakazi wa hayo mashirika uloyataja kumbe umepatikana.

The joke is on you...
 
Utoto unakusumbua..

ha ha ha kweli utoto maana wengi hudhan ualimu ni upiga debe hata kisomo kiwe kikubwa mshahara ni lak 1 hawajui tunakwenda kwa ma tgts yaan utoto mbaya sn
 

hajawahi kanyaga kwenye darasa hata moja
 
kumbe tunaruhusiwa kutongoza humu...teh teh
 
ahahhahahhahahhahahha
-kwani uliwahi kuamini kuwa walimu hawajui kiingereza?
-ulishawahi kufikiri mtihani wako wa kidato cha nne bila somo la civics na history ungekuwa na alama gani?
-ulipokuwa unatonginzwa na kukubali uliamini upo kwenye interview panel so ulikuwa unaangalia amefanyaazi gani kabla ya kukutongoza wewe?
-una hadhi gana saaaaaana mnoooooooo ya kufanya usitongozwe?kwa kiiiiipi?
NTARUDI!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…