usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.
Poleni wanaume walimu, ila wadada zenu walimu wanakimbiza maana wana soko sana kwa ma Dr, Lawyers, Engineers, Managers etc.
Na ukiangalia shule za msingi walimu wenye magari asilimia kubwa ni wa mama.
Ushauri wangu tafuteni wamama 35+ hao wana maisha yao hawatawapendea pesa na wanaweza kuwatoa vile vile. LOL
 

Utoto unakusumbua..
 

Kama alifanikiwa kukulima then he has nothing to loose, too bad if he didn't.

By the way ewe mwalimu kama upo humu tupe detalis za huyu mdada tumuweke kwenye spyglass.
najua saikoloji yako ipo poa tu-PM mapungufu yake tuingie kazini!
 
kuna usemi kwamba kumpata mwanamke lazima 'umdanganye kidogo' ukiwa mkweli 100% humpati (sijawahi kuuijaribu hii mi huwa niko wazi sana sipendi kudanganya)....na nadhani hii inasababishwa na expectations kubwa sana za wadada kwa wanaume..dreams ,....kama mleta sredi anavothibitisha kwamba 'utadhani ni mudiplomati, wa UN, embassy, "......kwani siye waalimu sio wanaume jamani?

cc mwallu gfsonwin Baba V Kongosho and all teachers up there big up saana
 
Last edited by a moderator:
kwani Mwalimu sio binadamu,kuongea kiingereza kunahusiana vp na hali ya mtu..................acha u-bush star!
 

Ila yote maisha bana.
 
umeonaa eeh kitu cha ukweli inaweza ujihonge mzima mzima ..ila ndo hivo utakuta ni nanihii kongowe eti ...ze wallet is ziro balance
Tetetetet wadada wa siku hizi bana!!! mapenzi yameenda wapi..hapo kwenye red??:A S-confused1:
 
Du!! Poleni shemeji zangu walimu kwa manyanyaso na kashfa, utadhani walimu sio kazi wakati ndio msingi wa kila kitu kinachoendelea hapa duniani.
 
ahahaaa mbavu zangu mie...hao walimu wanatufundishia watoto wetu lakini jamani
serikali angalieni walimu pls..watu watakataa hii fani sasa


Waalimu, waalimu! Majanga! Me nawashauri Muombeni sana Mungu ktk kila jambo mlifanyalo nanyi mtafanikiwa.
 

expectations zilikua kubwa eeeh...! Hahah..polee! Lakini walimu nao ni watu pia jamani with mapenzi tele,tele!!!
 

hahahahahahah!!!!!!!!!!!!!!!! Nimecheka sana swtlo manake ualimu ni the leading field kwa kuwa na nidham hapa dunian,

watuwache miaka mia tupumue...............

Leo nina hangover sijalala jana kisa uchaguzi wa tff na nimefurah sana malinzi kashinda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…