usiombee utongozwe na mwalimu hapa jamii forums

Status
Not open for further replies.
Hata RVP alionekana garasa lakini unachek anavyong'aa kule old......
 
Vmark,nitakutafuta mnama,kwa kuwa sherehe ni watu na watu ndio wanaokamilisha mpango mzima.Mchango wako utakuwa muhimu sana kukamilisha ndoa yangu na mwalimu mwenzangu wa humu humu jf.Hao wanaotaka higher levels,waendelee kusubiri miracles.Kwa kuwa wanafikiri mapenzi ni sandakalawe mwenye kupata apate,hata kama ni kipapatio tena cha "kuku" asiyekuwa na mwenyewe,WADUMU WALIMU DAIMA DUMU,AMINA!
 
Ahahaha. Yaani umenifurahisha. Kumbe ukitongozwa unahisi unatongozwa na atm? Afu ukimegwa kisela ukaachwa unakuja kulia lia hapa. Tongozeka banaa acha uduwanzi
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Mleta mada yamekukuta Loh!! Pole sana kwa kweli, ila tambua kuwa humu JF kuna mchanganyiko wa kila aina ya watu kuna mpk fundi baiskeli kwa hiyo usishangae walimu maana humu hawajaweka mipaka ya watu wanaotakiwa kutumia hapa ni akina nani, na ukikutana na mwanaume humu akakutongoza na hukuridhika naye basi nyamaza usije mtangaza humu .ngojea unayemtaka.Gfsonwin na kongosho nasema hivi mwanangu akifeli jiografia na historia mtanieleza pesa zangu za soda nilizokuwa nawapa mlikuwa mnamfundisha nani. Ila mleta mada anatafuta ugomvi na walimu.
 

hehehehe watu na UALIM WETU tunasakamwa humu,ila mwisho wa siku maisha yanaenda,tuna TSD NAMBA,TUNA CHEKI NAMBA,TUNA BIMA YA AFYA,NA MSHAHARA UNA FLOW,,,,,,,
 

hahahahhaa, mwalim kp hawa viumbe wa kike nadhan kuna bolt zimewalegea vichwani
 
Last edited by a moderator:
umeonaa eeh kitu cha ukweli inaweza ujihonge mzima mzima ..ila ndo hivo utakuta ni nanihii kongowe eti ...ze wallet is ziro balance

Teh ! teh ! teh ! Eti ujihonge mazima!
 
Bila Mwalimu huko UN utafikaje? Ningekua Raisi wa nchi hii mishahara ya wabunge ningewapa waalimu na ile ya waalimu ningewapa wabunge.
 
Bila Mwalimu huko UN utafikaje? Ningekua Raisi wa nchi hii mishahara ya wabunge ningewapa waalimu na ile ya waalimu ningewapa wabunge.

hehehehe BRO. B usinichekeshe,waalim tunaambiwa hatuna matumizi MAKUBWA
 
Last edited by a moderator:
mie sipendi uongo..bora mtu aniumize kwa kunambia ukweli kuliko kunifariji kwa mauongoungo
n..ivi kuna tatizo mwanaume kua ticha?...sikujua hili

eti mwallu, kuwa ticha imekuwa balaa, toba yailai siye walimu! daaamn
 
Last edited by a moderator:
eti mwallu, kuwa ticha imekuwa balaa, toba yailai siye walimu! daaamn

usiwe mnyonge mdau,walim tunawapata mabint wazuri tu,ila sema hatuna sababu ya kujisifia maana haina tija,,,,
 
Last edited by a moderator:

Kwa kupenda vya dezo ndo maana wazungu ''wanawapiganisha'' na wale jamaa wa miguu minne, nya.mba.f
 
Nawachukia sana watu mnaodharau kazi za watu....we ungejua kuandika na kusoma hapa JF kama sio mwalimu.?.then watu kama nyie ndo mnatufanya tudhalilike tu humu ndani....jifunze kuwaheshimu watu na kazi zao...

Kama kuna mwl yoyote aliyekwazika naomba msamaha kwa niaba ya huyu mwenzetu na ninatambua mchango wenu kwetu mpaka nimefikia haya mafanikio niliyonayo..

Mungu awabariki sana na msisikilize maneno ya kipuuzi..just ignore them.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…