SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,036
- 8,942
Kweli mkuu.Bila kusahau, mafuta na sukari.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu.Bila kusahau, mafuta na sukari.
Ikifika kuuza kizazi nistue "piyemu"India wameanza kuuza Figo moja kwa ukosefu wa fedha
Huo utaratibu uruhusiwe hapa ili tujue kuwa tunatembea na ATM viunoni
Ikifika kuuza kizazi nistue "piyemu"

Ishu sio lazima awe tajiri au vip...mfano zamani mwanamke hata kushika milion hajawah akianza kushika tu anakua hana tym hizo ...hao wa crdb huenda wanapenda show tu...
Namueleww jamaa,Kuna muda ktk kumbukumbu zako ushawakopa na kuwaomba watu wote,na wengi washakuterm Kama msumbufu maana washakusaidia Sana na ww unaona noma kuomba zaidi!mkuu si ungewapigia watu wote uliokuwa nao kwenye simu angetokea mtu tu akutumie hata elfu 5
Nasikia pale Libya limekuwa Duka la spea wananyofolewa Waafrika weusi bure bila hata ya malipo.Ikifika kuuza kizazi nistue "piyemu"
Hivi bro unafikiri biashara Ni rahisi kiivyo??unaweza ukaenda nazo stendi ukaishia kuzila mwenyewe,nakumbuka tulipigika na jamaa yangu akaenda kwenye network marketing akapewa azungushw sabuni za unga,alizunguka siku nzima akaishia kuuza moja tu,Happ nauli Hana,ile hela ya sabuni akaja nayo gheto na sabuni tukawa tunazitumia tu,Mkuu Kuna hela ya songesha 16,500 voda kopa alaf tupa laini yao.
3,500 nunua karanga kilo, alaf buku nununua mkaa, buku jero nunua ile mifuko ya plastic ya kufungia karanga, mia mbili nunua mshumaa, kaanga karanga alaf zifunge ukauze stand
mfukon utabaki na 10,300 hapo buni biashara nyingine inayo endana na karanga hapo weka hata fegi
Sitak mimi aiseNasikia pale Libya limekuwa Duka la spea wananyofolewa Waafrika weusi bure bila hata ya malipo.
Figo bure Moyo bure mboni ya jicho bure maini bure
Halaf unahisi Kama Mungu naye anakucheka hiviDaaah, mzee umegusa mule mule. Mm hapa tangu juzi nimefagia nyumba nimefua nguo ila nimejikuta nimeambulia 250tsh. Hapa naviazi nimechemsha vinasiku tano nakula kimoja kimoja. Daaah, hii hatari. Nakula wali bila mboga nikimaliza nashushia maji ya moto sio chai tena. Unapigika hadi unamwita Mungu alafu unacheka hata kuomba unashindwa. Yani hiki kindoo cha mchele kikiisha kabla ya tarehe 25 nitaumbuka kabisa


Biashara ni kujitoa muhanga bro usiogope hasara jaribu tuHivi bro unafikiri biashara Ni rahisi kiivyo??unaweza ukaenda nazo stendi ukaishia kuzila mwenyewe,nakumbuka tulipigika na jamaa yangu akaenda kwenye network marketing akapewa azungushw sabuni za unga,alizunguka siku nzima akaishia kuuza moja tu,Happ nauli Hana,ile hela ya sabuni akaja nayo gheto na sabuni tukawa tunazitumia tu,
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Achana nao Hawa mademu weny hela kina kim Kardashian wagongwa fresh tu,Haya bana. Mi wacha nijipigie Show na Kwangu nawaona wana hela. Mwanamke wa Kawaida tu kuwa na Nyumba ya karibu Mill 300 na Usafiri wa karibu Mill 70 huyo ukisema hana Pesa utakuwa una kijiba cha nafsi. All in All mi napiga Show clearly na michone yao. Kilalu wanacho na show inapigika.
Ila maisha...ni zaidi ya shule aiseeeUmenichekesha sana mkuu, mpaka mama ntilie unaona kakuzidi maarifa




Unasikia mbaya sn Katika family kama hauna kitu unadharaulika sana unaonekana kama mtu ambaye hujielewi hauna Akili hata kwenye maamuzi ya kifamily hushilikishwi unaona tu kimefanyika, nnakumbuka nilimaliza chuo nilikaa miaka mingi bila kazi nikipata kazi mshahara wa kawaida Sanaa ambao unaishia kwenye nauli tu mpk kuna mdogo wangu aliyekua nyuma yangu kimadarasa akamaliza chuo riziki anapanga mungu akapata kazi nzur Mimi bado nnahangaika na wahindi mshahara 200k nikaona dogo yupo vizuri kanikuta mtaani kanipita ana kwake hajapanga Usafiri MKUBWA wakati kaka mkubwa nimepanga chumba kimoja job naenda kwa mguu Ku save pesa ngoja nimuombe msaada nifanye hata biashara kuongeza kipato dogo ndio akakubali kunipa msaada hila nimuandikie business plan aisome aone kama biashara nnayotaka kufanya inatija ndio anipe hela kwa Kweli roho iliniuma sana hata kama ndio kanipita uwezo dogo niliyempeleka shule kumvusha barabara Leo anataka nimpelekee business plan nikaona nife tu masikini sijapeleka nikaendelea kupambana mpk mungu amesaidia mambo sio kama Zamani hila umasikini mbaya sana usiombee ukukute.
Hii kauli itakuliza siku moja....ukiwa kwenye hali nzuri unaona wasionacho ni kama hawajitambui hawana akili, ipo siku utakosa hela ya kula I promise, utayakumbuka haya.Ukiona unakosa Hadi ela ya kula basi wewe ni masikini Sana.
Ukiwa na hela mtu akisema hajala unamuona mzembe anakosaje hela ya kula ndio huyo jamaaHii kauli itakuliza siku moja....ukiwa kwenye hali nzuri unaona wasionacho ni kama hawajitambui hawana akili, ipo siku utakosa hela ya kula I promise, utayakumbuka haya.
Hayajui....maisha huyo. Subiri dunia itamfunza one dayUkiwa na hela mtu akisema hajala unamuona mzembe anakosaje hela ya kula ndio huyo jamaa
Umasikini ni mbaya unadhalilika Kweli mdogo wako anakwambia andika business plan nione yy alitakiwa niambie kiasi gn kitakusaidia biashara iendelee ningemtajia yy ndio angesema ntakupa kiasi Fulani hyo unayotaka Sina kwa SasaKiukweli inauma umaskini ni mbaya sana.Pole hata kama ni ingekua ni mm yataka moyo ila yote maisha itafika time yako
Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako? Au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? Kweli wanaume tumeumbwa matesooooo, matessooo kuhangaika.
Nina salio la buku (1000) kwenye wallet ndio kwanza jumatatu. Ee Mola ninusuru. Wangapi tunapitia haya? kama unaamini ni mapito tuu na sisi sikumoja tutakuwa na fedha za kutosheleza mahitaji yetu type Amen.
Hela kazikuta huyo mtu una hela mfukoni Huwezi kula Milo miwili inabidi uchague ule mchana au usikuHayajui....maisha huyo. Subiri dunia itamfunza one day
Kaka omba sana Mungu, tena sanaUkiona unakosa Hadi ela ya kula basi wewe ni masikini Sana.
