Usiombee kukosa hela

Usiombee kukosa hela

Alipoingia Hayati wa Africa ike sekeseke la vyeti bas mume wangu akasimamishwa kazi...ikaonekama cheti cha form 4 jina la kati kati likawa tofaut na cheti cha chuo...wakamsimamisha bila payment kwa 3mths..alidata..mie skudata...bas nikajikuta naenda mawenzi nikanunua matunda meengi embe ng'ong'o zile nilinunua kama za 9000.nikazitengeneza juic...asbh nikaenda nayo juic job...bas haikukaa hata masaa ikaisha..bas ikawa ndo kaz yangu jaman Mungu alinishika mkono niliuza juic bila aibu..yaan nikawa napata shiling kwa shiling ..yaan hom narudi na faida nene...wakawa wanaishobokea balaa! Lakin mwenzang alijikunyataaa....nilimtoa balaa....ila nyir mna aibuu..sijui tu

NAKUPA MWONGOZO!!!

HII TABIA YA KUJA KUNITANGAZA MUMEO HUKU-
MARUFUKU!!!
 
Mie shoga kuna mkaka aliwah nitongozwaga enzi za jk...jaman huyu kaka alikua analkuja chuoni kunisalimia ananichangamkia huyo! Mnyaki...bas alikua anakuja amevaa visuruali vimebanaaa.. then vifupi..bas tukawa tunamchekaaaa....hata hela ya kukaa canteen nadhan hakua nayo maskini....bas nimeolewa mwaka kama 2011 namskia Jk Anamtaja kama mkuu wa wilaya fulani!.bas ghafla sisy ananipgia ananiambia kuna jina limetajwa sio yule kaka alokua anakupenda? Uwiii! Kifupi umaskini unawakosesha sana raha...tulikua tunamuenjoy had aibu naona mm!mpk leo ni mkuu wa wilaya fulani ..
Ungekuwa mama muheshimiwa sasa hivi, dharau zako zimekuponza
 
Kuna mtu nimemtumia amenijibu hela ndogo hata asante sijapata, japo sisaidii kupata shukrani, bora ningekupa mwenye uhitaji ningepata baraka
Ningeomba na kufunga hata siku 1 kwa ajili yako Mungu akuzidishie heri na baraka
Elf 10 ni kama laki 1 kwangu
 
Ungekuwa mama muheshimiwa sasa hivi, dharau zako zimekuponza
Hahahahahahaa...utoto uliniponza demi😭😭..ningekua navaa mavitenge nafunga na malemba kichwani🤣🤣🤣! Na ingebidi niwe CCM kilazima...heehehee ningefanya figisu had angetoa mifaili home dadek....mm nisingehimili jamani kuolewa na mccm
 
Hahahahahahaa...utoto uliniponza demi..ningekua navaa mavitenge nafunga na malemba kichwani! Na ingebidi niwe CCM kilazima...heehehee ningefanya figisu had angetoa mifaili home dadek....mm nisingehimili jamani kuolewa na mccm
Ungekuwa mwana CCM damdam tena mwenyekiti wa UWT
 
Kuna mtu nimemtumia amenijibu hela ndogo hata asante sijapata, japo sisaidii kupata shukrani, bora ningekupa mwenye uhitaji ningepata baraka
Aiseeee wakati sisi tukipata hiyo tunatoa shukrani hadi unakinai, anyway ubinadamu kazi sana mkuu
 
Mkuu nimesoma huo Uzi wako ulio share hakika ww ni mtu mmoja wa kipekee sana, upo real sana hau fake maisha, haugopi kujaribu na hauogopi kusema kama umekwama.. Watu wa hivi huwa hawaishi na umaskini kwa mda mrefu, naamini haya ni mapito ya mda mfupi sana, na Mungu hawezi kukuacha.
Nimehamasika sana
Ahsante sana kaka, maisha haya ukikaa na vitu moyoni wakati kuomba sio dhambi unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo hata kujiuaa, maisha magumu sana tena sanaa ila kikubwa tuishi vizuri kwa uaminifu na watu maana uwezi kujua nani atakushika mkono, na tusihau kuomba pia Mungu yupo sijafanikiwa kurudi kwenye mstari bado naangaika lakini nafarijika nimepata marafiki wapya n.k tunashauriana na kupeana moyo...
 
Unasikia mbaya sn Katika family kama hauna kitu unadharaulika sana unaonekana kama mtu ambaye hujielewi hauna Akili hata kwenye maamuzi ya kifamily hushilikishwi unaona tu kimefanyika, nnakumbuka nilimaliza chuo nilikaa miaka mingi bila kazi nikipata kazi mshahara wa kawaida Sanaa ambao unaishia kwenye nauli tu mpk kuna mdogo wangu aliyekua nyuma yangu kimadarasa akamaliza chuo riziki anapanga mungu akapata kazi nzur Mimi bado nnahangaika na wahindi mshahara 200k nikaona dogo yupo vizuri kanikuta mtaani kanipita ana kwake hajapanga Usafiri MKUBWA wakati kaka mkubwa nimepanga chumba kimoja job naenda kwa mguu Ku save pesa ngoja nimuombe msaada nifanye hata biashara kuongeza kipato dogo ndio akakubali kunipa msaada hila nimuandikie business plan aisome aone kama biashara nnayotaka kufanya inatija ndio anipe hela kwa Kweli roho iliniuma sana hata kama ndio kanipita uwezo dogo niliyempeleka shule kumvusha barabara Leo anataka nimpelekee business plan nikaona nife tu masikini sijapeleka nikaendelea kupambana mpk mungu amesaidia mambo sio kama Zamani hila umasikini mbaya sana usiombee ukukute.
 
kwa iyo bro ukaona Bora ufe ila usiandike alichokuambia ili akupe msaada dah madogo wengne sjui sa iv anajckiaje
 
Back
Top Bottom