Kakore kajiru
Member
- Mar 19, 2021
- 20
- 7
Ni mapito tuu,.kuna siku unakosa hata sh.10 unabaki unajicheka tuu lakini ndio maana halisi ya maisha yenyewe,.kupata na kukosa.🔧
Ni mapito tuu,.kuna siku unakosa hata sh.10 unabaki unajicheka tuu lakini ndio maana halisi ya maisha yenyewe,.kupata na kukosa.🔧
Kuna kitu umekiongea ndo knanitokeaga everytime....kuna jirani yangu ni mhitaji...mhitaji kweli...akija kulia shida mm nakua sina kitu..mayb nakua na 20k ...bas last tym kaja mida kama hii anasema mdg wangu ww nichoke tu .sijala na wadogo zako toka jana .nikamwambia mama why unakuja late .akanihadithia magumu anayopitia😭😭😭..mwanaye wa kiume kampa mimba binti wa jiran so amepata mjukuu hana hata nguo za kumvik mjukuuu uwiiianadai hata mama mtoto anamchemshia tembele..mhh maisha haya...nikampa hela niliyokua nayo ila nashangaa kila akija mie nakua sinaga hela ya maana...naishiabkumpa misosi na mkaa akapikeMaisha haya jamani, enzi hizo kuna siku nimeamka nina buku 3 tu halafu naona kila kitu kimeisha ndani. Kichwa kinawaka moto kwamba hiyo buku 3 naibajeti vipi inisogeze sogeze. Natoka home nakutana na mama ananililia shida yuko na katoto kadogo hawajala kitu tangu jana yake. Ikabidi tu nimpe ile buku3 nipambane na hali yangu. Kama bahati jioni inaingia msg ya mpesa ndio ikawa afadhali yangu.
Tabu zote ulizopitia ila ufahari wake Ni kudinya wanawake wenye hadhi, hivi mkoje nyie,Kaka acha tu. Kwenye maisha kila mtu ana yake Moyoni aliyopitia. Nimepitia Magumu. Nishatokaga Kariakoo mpaka Kinondoni A kwa Miguu. Kariakoo nilifuata Mchongo wa kazi lakini sikumkuta alieniahidi. Nikaunga Kinondoni nako nikapewa Kisomo tu.
Nikarudi home Magomeni nipo hoi.
Niliacha Vitumbua Geto nikachemsha Chai na Vitumbua nikanywa nikalala.
Kuna muda huwa nikimfikiria Mungu we acha tu. Nipo First World, eti na mimi sasa hivi nikija Africa Nadinya wanawake wenye hadhi zao, wenye kazi nzuri, wenye kipato, Dah!! Maisha yana siri nyingi sana Kwa sisi Maskini.
Yote Kwa yote kwenye maisha ni marufuku kukata tamaa.
Tabu zote ulizopitia ila ufahari wake Ni kudinya wanawake wenye hadhi, hivi mkoje nyie,
Wanawake tuko tofauti Sana kadri tunavyosimama kimaisha na sex drive yetu inapungua, yani ukiona hakika ya maisha mi asset imesimama biashara zinasonga au kazi iko vizuri ile Raha tu unakojoa hata bila ya kuguswa

Mkuu acha watu wakulaneMzee wa kimasihara,, sawa wakuleni mkifulia ndo mtajua hamjui
Kuropoka tu hivi ni vitu vya kawaida natamani ungejua nina uvumilivuSs hata kufunga hii ramadhan utaweza kweli?
Kumbe eeh...sasa mbona mnatuleteaga ungese wa kutaka kukula mihela yetu ata hela ndogo ya salon?Tabu zote ulizopitia ila ufahari wake Ni kudinya wanawake wenye hadhi, hivi mkoje nyie,
Wanawake tuko tofauti Sana kadri tunavyosimama kimaisha na sex drive yetu inapungua, yani ukiona hakika ya maisha mi asset imesimama biashara zinasonga au kazi iko vizuri ile Raha tu unakojoa hata bila ya kuguswa
Ndio tunatakiwa tupambane tukiwa vijana ili uzeeni tuwe tunasasambua mbusus za mid twenties ladies bwana.Hivo vizee vipo na mara nyingi kwao kuhonga laki 2/3 au kodi ya nyumba sio issue sasa wewe mtoto akikwambia nina birthday kesho unatoa elfu 10 tena kwa mawazo sana
Duh magunzi mkuu? Sasa yanasagika kweli huko mashineni au ndiyo inabidi yarudiwe rudiwe ? Aisee maisha haya🙌KUMBE HII MBINU YA KUSAGIA MAGUNZI KWENYE DONNA UNAIJUA?KWELI WEWE NI WA MITIKASI MINGI AT NO LONGER MAGUNZI HAYATATUPWA TENA KWANI YAMEGEUKA NI DONA SAFI SANA.
Nacheka kama mazuri vile😀Mie koote sijawah umia kama kukosa shilingi 100 niongezee 200 nikanunue chumvi mwaka 2010!na hapo nna mgeni shemej yangu kaja kututembelea nimechinja kuku sina chumv na ndo kwanza nna siku kadhaa tu toka nitoke hom kuja kuishi na mshikaji nna katoto kachangaaa nililiaaa alafu mbya zaidi sina mazoea kabs na majirani ..kwanza nilikua sitoki toki nje enzi hizo mtoto wa kishua balaaa shenzi zangu..mshikaj anarud usk namwambia mimi nataka kurudi hom nimemmis baba🤣! Sitak tena yale maisha mm...ya kusubiri upewe!! Yaishie hukooo!nyoko kbs
Ile hali naifeel nikishika vihela huwa ni utulivu mtupu, na hapo unakuta hela yenyewe ya kupewa, Sasa pata picha Ni yangu ya jasho langu, kwa mwaka nitaliwa kwa single digit na ukitaka kunila uandae mazingira mazuri yenye hadhi, vinginevyo naghairi na cha kunifanya huna😁Kumbe eeh...sasa mbona mnatuleteaga ungese wa kutaka kukula mihela yetu ata hela ndogo ya salon?
Alafu nimejua kwa nini sasa wanawake wenye mafanikio kimaisha ndoa inakuwa shida.
Shenzi kweli wewe, yani mtu kagongwa na shifa kushoto na kulia mwanzo mwisho alafu unapata unafuu kwako unasahau hata njaa zilivuokugonga we unawaza kudinya tu 😂 hii nchi hiiKaka acha tu. Kwenye maisha kila mtu ana yake Moyoni aliyopitia. Nimepitia Magumu. Nishatokaga Kariakoo mpaka Kinondoni A kwa Miguu. Kariakoo nilifuata Mchongo wa kazi lakini sikumkuta alieniahidi. Nikaunga Kinondoni nako nikapewa Kisomo tu.
Nikarudi home Magomeni nipo hoi.
Niliacha Vitumbua Geto nikachemsha Chai na Vitumbua nikanywa nikalala.
Kuna muda huwa nikimfikiria Mungu we acha tu. Nipo First World, eti na mimi sasa hivi nikija Africa Nadinya wanawake wenye hadhi zao, wenye kazi nzuri, wenye kipato, Dah!! Maisha yana siri nyingi sana Kwa sisi Maskini.
Yote Kwa yote kwenye maisha ni marufuku kukata tamaa.
Tabu zote ulizopitia ila ufahari wake Ni kudinya wanawake wenye hadhi, hivi mkoje nyie,
Wanawake tuko tofauti Sana kadri tunavyosimama kimaisha na sex drive yetu inapungua, yani ukiona hakika ya maisha mi asset imesimama biashara zinasonga au kazi iko vizuri ile Raha tu unakojoa hata bila ya kuguswa
Shenzi kweli wewe, yani mtu kagongwa na shifa kushoto na kulia mwanzo mwisho alafu unapata unafuu kwako unasahau hata njaa zilivuokugonga we unawaza kudinya tuhii nchi hii