Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,462
Mimi tunakoelekea nadhani faza house ataweka mlango wa pili ili usku nikose pa kupita .........
mzee si juzi tu ulikuwa unakula bia na dingi yako na ukasema hamna njaa za hovyo?Mimi tunakoelekea nadhani faza house ataweka mlango wa pili ili usku nikose pa kupita .........
Ndio umuumbue mwenzio 😩😩mzee si juzi tu ulikuwa unakula bia na dingi yako na ukasema hamna njaa za hovyo?
Ndio mkuu na Sasa nko nakunywa ka biamzee si juzi tu ulikuwa unakula bia na dingi yako na ukasema hamna njaa za hovyo?
Ilikuwa 2019 way back. But since 2020 April nilikataa hiyo hali.Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako?? au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? Kweli wanaume tumeumbwa matesooooo, matessooo kuhangaika. Nina salio la buku (1000) kwenye wallet ndio kwanza jumatatu. Ee Mola ninusuru.
Wangapi tunapitia haya?? kama unaamini ni mapito tuu na sisi sikumoja tutakuwa na fedha za kutosheleza mahitaji yetu type Amen.
lipa deni mkuuAfadhali yako huna familia
Mm dogo amerudushwa school kisa nimeshidwa kulipa 8000 ya uji
Na mvua ndio zinanyesha hatar,dogo viatu vimechanika maji yanaingia mpaka ndan
,
Nkaenda kukopa vibuti vya kavaa dogo awe anavaa aende navyo shule,yule mama ananidai utazan amenikopesha moyo daily hodi haziishi
Naelewa mkuu,,nilikuwa nachagiza mkuu,nothing serious.Ndio mkuu na Sasa nko nakunywa ka bia
Upside down Kama hzi zipo tu au nasema uongo?
Nimekuelewa kakaNaelewa mkuu,,nilikuwa nachagiza mkuu,nothing serious.
Tunaamani siku njema/nzuri ziko karibu kuja.Haya maisha acheni tuu isee...
Inatokea huna hata mia,hujui unaishije mchana kutwa..asubuhi unakunywa maji.
Mimi huwa nalala masaa yanaenda tuu.
Mchana ukifika ilikuwa nakula tuu sukari maisha yaende...kwa sabbu ndo kitu kinacho kuwa kimebaki ndani,na huwa inadaiwa kuwa ni kituliza njaa
MAISHA HAYA
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mkuu siku ingine ni bora uombe msaada kushinda njaa kunaweza sababisha utoboke utumbo!haya maisha haya, kuna wakati mate yalinidondoka kwa kutamani chakula alichokuwa anakula mtoto wa jirani yangu, baada ya kushinda njaa takribani siku nne,yaani sikuwa na hata mia mbovu.
namwomba Mungu nisirudi nilipotoka.
Ameen InshallahHivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako?? au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? Kweli wanaume tumeumbwa matesooooo, matessooo kuhangaika. Nina salio la buku (1000) kwenye wallet ndio kwanza jumatatu. Ee Mola ninusuru.
Wangapi tunapitia haya?? kama unaamini ni mapito tuu na sisi sikumoja tutakuwa na fedha za kutosheleza mahitaji yetu type Amen.
Acha uongo bhna siku 4 unazijua ww au unafurahisha kijiwe?haya maisha haya, kuna wakati mate yalinidondoka kwa kutamani chakula alichokuwa anakula mtoto wa jirani yangu, baada ya kushinda njaa takribani siku nne,yaani sikuwa na hata mia mbovu.
namwomba Mungu nisirudi nilipotoka.
mkuu si ungewapigia watu wote uliokuwa nao kwenye simu angetokea mtu tu akutumie hata elfu 5Haya maisha acheni tuu isee...
Inatokea huna hata mia,hujui unaishije mchana kutwa..asubuhi unakunywa maji.
Mimi huwa nalala masaa yanaenda tuu.
Mchana ukifika ilikuwa nakula tuu sukari maisha yaende...kwa sabbu ndo kitu kinacho kuwa kimebaki ndani,na huwa inadaiwa kuwa ni kituliza njaa
MAISHA HAYA
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
wanaume tukipata hela tuwen na akil na heshima ya pesa pia shida zipo na zikimaliza kukufundsha na zkaona somo limeeleweka ua zinaondoka sasa