Usiombee kukosa hela

Usiombee kukosa hela

Wanaume tuliowengi nguvu za kiume hua zinapotea kabisa mshedede unalegea kama matembele yaliyopigwa na jua, unabaki kujitetea yaani sijui ni mawazo au ni nini ili kuua sooo ukweli mfuko ukiwa mtupu kazi kwelikweli
🤣🤣🤣🤣🤣!
 
Ngoja nitulie nitaleta visa vitatu vilivyonikuta. Huwezi tongoza akikuangalia unakwepesha macho
😂😂😂😂😂😂😂
Nyieeeee maisha hayaaaa brother kwa sasa sina hizo guts za kutongoza japo walau naingiza mia mbili ndani ya msoto mkaaali, kwakweli mahusiano kubaaafu kabisa yanakufanya ujue ulizaliwa wewe utaishi wewe na hata ukifa ni wewe mwenyewe.
 
hilo wazo unalitekeleza na nini km huna hela unafikiri wasiokuwa na hela hawana mawazo? Mimi hapa nna ideal ya biashara lakini mfukoni hapa nilipo nna buku tu hilo wazo nnalifanyaje.
Ebu tushirikishe wazo lako mkuu
 
Kwakweli haya maisha mungu atusaideie napitia wakati mgumu sana sasa hivi baada ya kusimama kazi kipindi cha korona mwaka jana, kupata kazi nyingine imekuwa ni inshu sana mwenye nuymba wangu nilimweleza tangu mwaka jana mwezi wa 6 hajanidai mpaka leo.. kulala na kushinda bila kula imekuwa ni kawaida nimepungua kilo 15 kutoka nilivyokuwa.... Mungu nisaidie tu
Pole...mwanga unakaribia
 
Niliwahi shinda njaa siku mbili Sina hata Mia ,
Afu nilikuwa nafanya special exam so washikaji wengi wameenda kwao,
ghafla watot wa jirani wakanambia uncle mama alinunua vitumbua asubuhi ,

Dah nilivila kwa uzuni kinoma nikashushia na maji ,
Kesho yake asubuhi kwenye paper,
Cha kusikitisha mbaka saizi hali ni hovyo.

Umasikini ni mazafaka
Pole Mkuu nakuelewa, kuna dogo kamaliza degree 2018 Juzi kati nakutana nae akanambia nimpe sehem ajishikize wakat anasikilizia application zake, nikamwambia panda gari nenda eneo fulan utakuta vijana pale ungana nao, alisema nitaendaje? Nauli 5000/=.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali yako huna familia

Mimi dogo amerudishwa school kisa nimeshidwa kulipa 8000 ya uji

Na mvua ndio zinanyesha hatari, dogo viatu vimechanika maji yanaingia mpaka ndani
,
Nikaenda kukopa vibuti vya kavaa dogo awe anavaa aende navyo shule, yule mama ananidai utazan amenikopesha moyo daily hodi haziishi
Wewe ni mwalimu lakini mkuu,
 
Mkuu Kuna hela ya songesha 16,500 voda kopa alaf tupa laini yao.
3,500 nunua karanga kilo, alaf buku nununua mkaa, buku jero nunua ile mifuko ya plastic ya kufungia karanga, mia mbili nunua mshumaa, kaanga karanga alaf zifunge ukauze stand

mfukon utabaki na 10,300 hapo buni biashara nyingine inayo endana na karanga hapo weka hata fegi
Kwanini utupa line? Ina maana hutahitaji tena msaada wa songesha? Utatupa line ngapi?
 
Wanaume tuliowengi nguvu za kiume hua zinapotea kabisa mshedede unalegea kama matembele yaliyopigwa na jua, unabaki kujitetea yaani sijui ni mawazo au ni nini ili kuua sooo ukweli mfuko ukiwa mtupu kazi kwelikweli
Nashangaa watu wanahangaika na dawa za miti shamba nguvu za kiume. Wee ukiwa na hela mwanaume hupati tabu za nguvu za kiume maana kwanza full confidence
 
Back
Top Bottom