Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Kipimo cha imani nadhaniSijui kwanini maranyingi unakuta mtu anakulilia shida wakati ambao wewe mwenyewe hauko poa.
Kipimo cha imani nadhaniSijui kwanini maranyingi unakuta mtu anakulilia shida wakati ambao wewe mwenyewe hauko poa.
Yaani!!Kipimo cha imani nadhani
Hv ule uzi bado upo?wa bonde la baraka?Mm nimeshawah saidiwa mtaji na mtu anayeitwa Silicon Valley kifup jf inawatu wema bado wapo humu
Barikiwa mkuu bado napambana na mtaj ulionipa
Pumbavu 😀😀Ninayapitia hayo...Ila nilichojifunza na naenda kukitendea kazi ni magunzi kwamba yanashibisha haraka.....kwa io wataalamu niyachemshe au nitafune ...??