Inasikitisha sanamalipo ni hapahapa dunuani watu walimsifia sana mwendazake , sasa ndio tunaona reality, kila mtu analia hata wabunge na posho zote bado wanalia, walimu ndio kabisaaa, wafanyakazi choka mbaya mikopo kibaaao kuna jamaa alinionyeshaga nakala yake ya mshahara (salary slip) yaani mtu ana mke na watoto anapokea 72,000/= na bado anaishi hajafa, hapo mshahara wake ni zaidi ya laki7 ni mtumishi wa umma , mikopo sijui nini sijui nini balaa tupu, na mtu kama huyo unakuta anaenda kabisa kupiga kura
Yupo
Hakika...Mungu amenibariki kwakweliHapo sawa,mkikomaa wawili hasa kipindi Mungu kashawabariki mtoto/watoto neema huwa zinakuja mbeleni. Mimi huwa nahisi Mungu anawapa huo mtihani ili kuwakomaza na kuyaangalia maisha katika three dimension
Kisa kimoja ni hiki.Ukiwa huna hela hata nyege hazipandagi, Kama Ni mwanaume hata ikikatiza pisi kali yenye chura Ni Kama huioni,, njaa mbaya sana, nawaombea wote mnaopitia magumu ya kiuchumi Mungu atufanyie wepesi maisha magumu sana jamani
Pole Sana mkuu ukanyang'anywa tonge mdomoni kudadekiKisa kimoja ni hiki.
Huyu binti nilimkuta morogoro kilombero mimi nikiwa A level nilienda likizo. Nilidondosha mtama lakini sikufanikiwa kula hadi naondoka nikasema poa. Miaka ikapita nikaingia udsm nikamaliza nikahamia kwa sister sinza Africa sana. Sina shilingi mfukoni simu ikaingia kuuliza kumbe ni yule mtoto naye kaanza first year udsm. Siku inayofuata nikaibuka mlimani kwa mguu. Tukapiga story kidogo nikampanga kapangika nikaondoka. Kazi ikabaki kwangu lini aje?
Nilizunguka sinza yote kutafuta guest za bei ndogo wapi. Weekend mtoto kapiga simu anataka kuja kulala kabisa, Mimi sababu kibao. Ilipita miezi miwili hivi jamaa liliibuka likapita nae mazima, muda kidogo pete, mara ndoa na demu simu akabadilisha. Nililaani nikajipiga kifua hii iliniuma sana. Huyu mtoto namjua toka makuzi yake hajapigwa sana labda Mara 1/2 akiwa form four tu. Pia anasifa zote za mwanamke tako la kihaya, mguu wa kisukuma na macho ya kitusi sio mweusi sio mweupe.
Nilimlaani yule jamaa, unawaza wataachana lini lakini wapi mambo yanazidi kunyooka kwao. Yaani jamaa kaoa kuku wa kienyeji pure yule fala.Pole Sana mkuu ukanyang'anywa tonge mdomoni kudadeki
Tatizo Ni sente mkuu😂😂 demu alihisi hauko serious kumbe hukuwa na hata hela ya kununulia juice tu kwenye outing yenu ya kwanzaNilimlaani yule jamaa, unawaza wataachana lini lakini wapi mambo yanazidi kunyooka kwao. Yaani jamaa kaoa kuku wa kienyeji pure yule fala.
Jinga yule
Bora hata nyie mnahongwaNi mapito tuu,.kuna siku unakosa hata sh.10 unabaki unajicheka tuu lakini ndio maana halisi ya maisha yenyewe,.kupata na kukosa..
Samahani mkuu, ina maana hili suala ni kweli na linaishi? Kusagia magunzi kwenye dona?KUMBE HII MBINU YA KUSAGIA MAGUNZI KWENYE DONNA UNAIJUA?KWELI WEWE NI WA MITIKASI MINGI AT NO LONGER MAGUNZI HAYATATUPWA TENA KWANI YAMEGEUKA NI DONA SAFI SANA.
Ah wee jamaa fursa kama hizo ni kwenda kukopa mzee ule mbususu.Kisa kimoja ni hiki.
Huyu binti nilimkuta morogoro kilombero mimi nikiwa A level nilienda likizo. Nilidondosha mtama lakini sikufanikiwa kula hadi naondoka nikasema poa. Miaka ikapita nikaingia udsm nikamaliza nikahamia kwa sister sinza Africa sana. Sina shilingi mfukoni simu ikaingia kuuliza kumbe ni yule mtoto naye kaanza first year udsm. Siku inayofuata nikaibuka mlimani kwa mguu. Tukapiga story kidogo nikampanga kapangika nikaondoka. Kazi ikabaki kwangu lini aje?
Nilizunguka sinza yote kutafuta guest za bei ndogo wapi. Weekend mtoto kapiga simu anataka kuja kulala kabisa, Mimi sababu kibao. Ilipita miezi miwili hivi jamaa liliibuka likapita nae mazima, muda kidogo pete, mara ndoa na demu simu akabadilisha. Nililaani nikajipiga kifua hii iliniuma sana. Huyu mtoto namjua toka makuzi yake hajapigwa sana labda Mara 1/2 akiwa form four tu. Pia anasifa zote za mwanamke tako la kihaya, mguu wa kisukuma na macho ya kitusi sio mweusi sio mweupe.
Ni ukweli kabisa huko manzese ndio kazi zao wanasaga usiku kwa usiku na kupaki tunapata Donna safi sana.chakushukuru magunzi sio sumu.Samahani mkuu, ina maana hili suala ni kweli na linaishi? Kusagia magunzi kwenye dona?
Mkuu daah4 days nakula kalanga mbichi zile za maganda,hadi ikafika time nikienda chooni nakunya karanga tu...
kuna kipindi pia niliwahi kuishiwa kabisa week nzima natembea kwa miguu home hadi kazini kilometa 15 nilikua naponea kazin kwasabab chai na andaz ilikua bure...
Kuna kipindi tena niliwahi kuishiwa njaa inauma siku zaid ya 3 nakunywa chai tu asubuh, sikuhio usiku saa 3 nikaamka nikajiambia ngoja nikazurure, njiani nikawa nina sali kama naongea na Mungu ila sauti inanitoka, tena maombi ya kummaindi Mungu kwanini ananipitisha ktk magumu wakat kuna watu wa hovyo wanakula bata... Kuna eneo lina makaburi mengi sana na ni usiku panatisha hakuna mtu anaepita, kwa hasira nikasema nakatisha katkat ya haya makaburi nikatokee barabara ya rami... Mungu wa ajabu sana ile namalizia kupita makaburi nikajiambia embu ngoja niwashe tochi ya cm yangu... Huwez amini niliona Elfu10 ipo katkat ya njia, niliiokota nikamshukur sana Mungu.
Kuna kipindi kingine pia nimeishiwa sina hata mia nazurura mjini usiku wa saa4 nikaokota Elfu1 tu nikapitiliza moja kwa moja mgahawani nikala nikamshukur Mungu...
Kuna watu hawayajui haya maisha wanaona ni story tu, ila muombe sana Mungu usiyapitie
Namshukur Mungu nimeyasahau hayo maisha, vihela havinipigi chenga tena...
Kisa kimoja ni hiki.
Huyu binti nilimkuta morogoro kilombero mimi nikiwa A level nilienda likizo. Nilidondosha mtama lakini sikufanikiwa kula hadi naondoka nikasema poa. Miaka ikapita nikaingia udsm nikamaliza nikahamia kwa sister sinza Africa sana. Sina shilingi mfukoni simu ikaingia kuuliza kumbe ni yule mtoto naye kaanza first year udsm. Siku inayofuata nikaibuka mlimani kwa mguu. Tukapiga story kidogo nikampanga kapangika nikaondoka. Kazi ikabaki kwangu lini aje?
Nilizunguka sinza yote kutafuta guest za bei ndogo wapi. Weekend mtoto kapiga simu anataka kuja kulala kabisa, Mimi sababu kibao. Ilipita miezi miwili hivi jamaa liliibuka likapita nae mazima, muda kidogo pete, mara ndoa na demu simu akabadilisha. Nililaani nikajipiga kifua hii iliniuma sana. Huyu mtoto namjua toka makuzi yake hajapigwa sana labda Mara 1/2 akiwa form four tu. Pia anasifa zote za mwanamke tako la kihaya, mguu wa kisukuma na macho ya kitusi sio mweusi sio mweupe.
Pambana wa kipekee usikate tamaaKisa changu ni hiki lakini msicheke.. Maisha haya!!!
Nakumubuka 2017 nilikua naishi mbezi mwisho Mimi na rafiki yangu ghetto moja tulikua tukifanya biashara ya kuuza dawa ya mbu. Asubuhi tunafata box kariakoo tunakuja tunalanguza chapu na kupata faida sasa kimbembe kikaja pale jiwe alipoaanza kubomoa nyumba zilizo jirani ili ajenge barabara.! Kisanga kilianzia hapo
Ile nyumba tuliyopanga nayo ililambwa hivo tukatakiwa tuhame na ndo tulikua tumetoka kulipa kodi na pia wale wachuuzi tuliokua tukiwauzia dawa za mbu wakawa taabani maana walitakiwa waondoke kila siku ilikua n vurugu na jamaa wanaojiita tanroads.. Nilipagawa sana aisee
Jamaa yangu akaamua kujiunga na suma jkt akapangiwa kazi kigoma nikabaki mwenyewe mjini hapo nilipata sehemu nikalipa kodi ya miezi mitatu hapo sina hata mia mbovu. Nakumbuka kuna dada mmoja alikua akipika ananipa msosi. Mungu ambariki sana yule dada popote alipo maana ningekufa.. Nakumbuka sometimes unaweza kuta una unga ghetto lakin hauna mboga basi hapo jiandae kula ugali na stori... Ponapona yangu ilikuja pale nilipomtongoza beki tatu wa nyumba jirani.
Huyu beki tatu alinipa ofa ya kuchota maji bure na lile eneo maji yalikua ya shida sana. Sasa nikajiongeza wapangaji walikua wakitaka maji Mimi niliwaletea sasa ile 200 ya kulipa maji nikawa nakula Mimi hapo ndo ikawa ponapona yangu hadi napata nauli kurudi home nilikua hoi bin taabani. Japo hadi sahivi hali n tete kukaa home kijana mkubwa n aibu sana mara utasikia dogo analaumu umekunywa uji wake basi n balaa tupu wadau....
Maisha haya kama huna hela hata mbwa wako anaweza kukung'ata
300m zile umezifanyia masihara..aya kufa na umaskini wako..Watu wakicheka kivyao wewe unajistukia kwamba labda wanakucheka wewe.usiombe kuchalala ndugu ni balaaa
Unatembea unaangalia chini kwa matumaini utaliona walau buku limedondoshwa!! Acha kabisa.