Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,508
- 94,625
Dah ukija upande wa pesa, ila asbh ningekuwa ccm usk chadema
![]()


Dah ukija upande wa pesa, ila asbh ningekuwa ccm usk chadema
![]()


Dogo wala hakukoseaUnasikia mbaya sn Katika family kama hauna kitu unadharaulika sana unaonekana kama mtu ambaye hujielewi hauna Akili hata kwenye maamuzi ya kifamily hushilikishwi unaona tu kimefanyika, nnakumbuka nilimaliza chuo nilikaa miaka mingi bila kazi nikipata kazi mshahara wa kawaida Sanaa ambao unaishia kwenye nauli tu mpk kuna mdogo wangu aliyekua nyuma yangu kimadarasa akamaliza chuo riziki anapanga mungu akapata kazi nzur Mimi bado nnahangaika na wahindi mshahara 200k nikaona dogo yupo vizuri kanikuta mtaani kanipita ana kwake hajapanga Usafiri MKUBWA wakati kaka mkubwa nimepanga chumba kimoja job naenda kwa mguu Ku save pesa ngoja nimuombe msaada nifanye hata biashara kuongeza kipato dogo ndio akakubali kunipa msaada hila nimuandikie business plan aisome aone kama biashara nnayotaka kufanya inatija ndio anipe hela kwa Kweli roho iliniuma sana hata kama ndio kanipita uwezo dogo niliyempeleka shule kumvusha barabara Leo anataka nimpelekee business plan nikaona nife tu masikini sijapeleka nikaendelea kupambana mpk mungu amesaidia mambo sio kama Zamani hila umasikini mbaya sana usiombee ukukute.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako? Au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? Kweli wanaume tumeumbwa matesooooo, matessooo kuhangaika.
Nina salio la buku (1000) kwenye wallet ndio kwanza jumatatu. Ee Mola ninusuru. Wangapi tunapitia haya? kama unaamini ni mapito tuu na sisi sikumoja tutakuwa na fedha za kutosheleza mahitaji yetu type Amen.
Mwamba ukaona dogo asikuletee utani....true definition ya masikini jeuriUnasikia mbaya sn Katika family kama hauna kitu unadharaulika sana unaonekana kama mtu ambaye hujielewi hauna Akili hata kwenye maamuzi ya kifamily hushilikishwi unaona tu kimefanyika, nnakumbuka nilimaliza chuo nilikaa miaka mingi bila kazi nikipata kazi mshahara wa kawaida Sanaa ambao unaishia kwenye nauli tu mpk kuna mdogo wangu aliyekua nyuma yangu kimadarasa akamaliza chuo riziki anapanga mungu akapata kazi nzur Mimi bado nnahangaika na wahindi mshahara 200k nikaona dogo yupo vizuri kanikuta mtaani kanipita ana kwake hajapanga Usafiri MKUBWA wakati kaka mkubwa nimepanga chumba kimoja job naenda kwa mguu Ku save pesa ngoja nimuombe msaada nifanye hata biashara kuongeza kipato dogo ndio akakubali kunipa msaada hila nimuandikie business plan aisome aone kama biashara nnayotaka kufanya inatija ndio anipe hela kwa Kweli roho iliniuma sana hata kama ndio kanipita uwezo dogo niliyempeleka shule kumvusha barabara Leo anataka nimpelekee business plan nikaona nife tu masikini sijapeleka nikaendelea kupambana mpk mungu amesaidia mambo sio kama Zamani hila umasikini mbaya sana usiombee ukukute.



Mimi nina hii pia ila iko kwa mtindo tofauti kidogo, sometimes bora uonekane kiburi tu kuliko kufanyiwa hivyo na ndugu zako tena wa damu.. mimi nimegundua sometimes ndugu sio option nzuri kabisa katika kuomba msaada, siku nitaleta kisa!Unasikia mbaya sn Katika family kama hauna kitu unadharaulika sana unaonekana kama mtu ambaye hujielewi hauna Akili hata kwenye maamuzi ya kifamily hushilikishwi unaona tu kimefanyika, nnakumbuka nilimaliza chuo nilikaa miaka mingi bila kazi nikipata kazi mshahara wa kawaida Sanaa ambao unaishia kwenye nauli tu mpk kuna mdogo wangu aliyekua nyuma yangu kimadarasa akamaliza chuo riziki anapanga mungu akapata kazi nzur Mimi bado nnahangaika na wahindi mshahara 200k nikaona dogo yupo vizuri kanikuta mtaani kanipita ana kwake hajapanga Usafiri MKUBWA wakati kaka mkubwa nimepanga chumba kimoja job naenda kwa mguu Ku save pesa ngoja nimuombe msaada nifanye hata biashara kuongeza kipato dogo ndio akakubali kunipa msaada hila nimuandikie business plan aisome aone kama biashara nnayotaka kufanya inatija ndio anipe hela kwa Kweli roho iliniuma sana hata kama ndio kanipita uwezo dogo niliyempeleka shule kumvusha barabara Leo anataka nimpelekee business plan nikaona nife tu masikini sijapeleka nikaendelea kupambana mpk mungu amesaidia mambo sio kama Zamani hila umasikini mbaya sana usiombee ukukute.
AmenEverything is going to hurt you, the best you can do is being-Staying Strong and faithful.
Poleni sana, Ukipanda mlima mrefu jua kwamba mbele kuna mteremko.
Halafu mateso hayawezi ondoka maishani mwako bila kukamilisha funzo unalotakiwa upate kutokana na mateso hayo.
I assure you siku moja mtegeuka na kuangalia mlipo leo hii na kugonga Cheers![]()

Jinsia gani?Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako? Au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? Kweli wanaume tumeumbwa matesooooo, matessooo kuhangaika.
Nina salio la buku (1000) kwenye wallet ndio kwanza jumatatu. Ee Mola ninusuru. Wangapi tunapitia haya? kama unaamini ni mapito tuu na sisi sikumoja tutakuwa na fedha za kutosheleza mahitaji yetu type Amen.
Aiseeee nilidhani nateseka peke yangu katika maisha kumbe tuko wengi, mimi kuna kipindi nilipitia wakati mgumu sana tena sana yaani kila nachokifanya kinagoma, sio shambani sio mtaani hadi nikahisi mwezi wa 3 mwaka huu sitatoboa, maana kila unaemuambia shida zako nae anakupa matatizo yake hali ni mbaya, unakataa tamaa nakumbuka last time nikawaza niuze hii simu, godoro na vitu vya gheto nirudi home ila nikawaza home nitaenda kufanya nini na nilishakacha tangu 2016, kuna manzi yangu alikuwa anafanya kazi Tanga alikuwa ananipiga company maana anajua hali yangu yeye kasoma afya so alivyoua chuo tu akapata pa kushika, mimi nikawa kitaaa naganga njaa mwaka jana nikachoma hela kama milioni 2 hivi katika biashara bado kidogo nijiuehuyu manzi akashtuka nimi sijui nikashangaa kanitumia 50k kaniambia njoo Ta upumzike kwanza ujipange upya, to cut the story mwaka huu mwezi wa tatu ndio nilichoka nadaiwa kodi, mara shamba nililomaga limenishinda n.k nakumbuka siku hiyo nimebaki na mb 200 nikaandika uzi nikautupia kule kwenye Jukwaa la tenda na ajira baada ya hapo bundle likakata wadau wakaanza kunicheki nikapata msaada japo bado napambana maana sina kazi ila haya maisha ukiwa lele mama unaweza ukakimbia dunia hii au unaweza ufanye mambo ya ajabu ili usurvive hali inatisha, ila nimegiundua kwamba Mungu anatupa mitihani kutupima imani yetu juu yake na anatupa mitihani ambayo tunaweza kuikabili.. pia tuishi na watu vizuri haswa watu baki maana wao ndio wanaweza kukusaidia kuliko ndugu zako talking from the experience..
Marufuku kukataa tamaa
uzi ulinisave huu hapa
![]()
Nimekata tamaa ya maisha nahitaji msaada
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25, muhitimu wa shahada ya ugavi na usafirishaji mwaka 2019 (Bachelor of Logistics and Transport Management) mimi ni moja kati ya vijana ambao tumemaliza chuo na kuingia mtaani kupambana na maisha bila kurudi nyumbani na hii ni mwendelezo tu wa...www.jamiiforums.com
Yeah tukaze butiNa hilo ndilo la msingi mkuu, unaweza usipate hela lakini ukapata mtu ambaye atakua msaada sana kwako kimawazo na kimbinu katika maisha, na rafiki wa kudumu, mana katika matatizo ndipo tunajua yupi ni REAL na yupi ni FAKE kwako
hongera mkuu, sisi bado tunapambana hata nauli ya kutoka Moro hadi dar nichangamoto ila tunakomaa, ni dhambi kukata tamaaDah!!...nimeipenda Msg ya mwisho “Marufuku kukataa”. Ni kweli kwenye maisha ni marufuku kukata tamaa. Nipo first world huku hivi sasa. Lakini maisha niliyopitia Africa mpaka kufikia kupanda Ndege kuja kuishi huku acha tu.
Alhamdulillah kila sifa njema kwake muumba. Marufuku kukata tamaa aisee.
AchaBasi ndio hivyo mkuu, tunatofautiana sana, ila nmeshangaa sana, kungekua na uwezo wa ku refund hela ningefanya.


Well said!Achana na mtu anaeyeitwa NDUGU! ndugu yako ni wale mnaokutana katika matatizo na mihangaiko ya kimaisha na kusaidiana huku mkiwa hamjuani, hao ndio NDUGU.
Ahsante boss mkubwa. Hizo ni changamoto za maisha mdogo wangu. Pambana sana kila kitu kitakaa sawa.Naona haya ni vichekesho kwako..hongera boss.
Mimi siyo mnafiki mkuu. Sema kupitia malalamiko yako umenikumbusha nilivyopigwa tukio na demu wangu wa zamani so nikawa sina hela hata kidogo kwa mwezi huo niliishi maisha ya taabu sana mpaka nakuja kuwa stable nilipitia changamoto kubwa sana.Watu wa aina yako ni wanafiki sana, kumshauri mtu unaanza kumcheka kwanza ndio unamshauri
Nilijua kabisa yule demu jinsi alivyo akija mjini sitaweza kumuoa maana unajua hata sisi wanaume tunajipima kwenu nyinyi mademu kwamba huyu nitawezana na huyu sitawezana. Yule nilitaka kumtaime kabla hajajanjaruka nimtafune ili akianza kupaka poda baadae niwaachie madoni.Tatizo Ni sente mkuu😂😂 demu alihisi hauko serious kumbe hukuwa na hata hela ya kununulia juice tu kwenye outing yenu ya kwanza
Ulizubaa Sana na wewe, mbona huwa hatutegeki kwa mahela meeengi, na vile alikuwa kuku wa kienyeji ungemmiliki vizuri tu, ulikosa kujiaminiNilijua kabisa yule demu jinsi alivyo akija mjini sitaweza kumuoa maana unajua hata sisi wanaume tunajipima kwenu nyinyi mademu kwamba huyu nitawezana na huyu sitawezana. Yule nilitaka kumtaime kabla hajajanjaruka nimtafune ili akianza kupaka poda baadae niwaachie madoni.
Lakini kilichotokea hadi leo siamini.
Hela pumbavu sana