malipo ni hapahapa dunuani watu walimsifia sana mwendazake , sasa ndio tunaona reality, kila mtu analia hata wabunge na posho zote bado wanalia, walimu ndio kabisaaa, wafanyakazi choka mbaya mikopo kibaaao kuna jamaa alinionyeshaga nakala yake ya mshahara (salary slip) yaani mtu ana mke na watoto anapokea 72,000/= na bado anaishi hajafa, hapo mshahara wake ni zaidi ya laki7 ni mtumishi wa umma , mikopo sijui nini sijui nini balaa tupu, na mtu kama huyo unakuta anaenda kabisa kupiga kura
Bora kutupa tu mtandao wa voda gharama zake ziko juu kwa kila kituKwanini utupa line? Ina maana hutahitaji tena msaada wa songesha? Utatupa line ngapi?
Bora sisi wanaume. Wanawake wanakuwa mara mbili yetu.Ngoja waje kusimulia yao.
Kuna kipindi Unakuta mwanamke mzuri hatongozwi wala kupewa salamu miezi.Hapo unakuta kila kitu ndani kwake kimeisha nywele zimeoteana tumbo la period linamsumbua.Hana hata mia madeni kibao.

hatariUkishatupa hutahitaji tena kukopa? Maisha yatanyooka kuanzia hapo?Bora kutupa tu mtandao wa voda gharama zake ziko juu kwa kila kitu
Nirushie bas 5000 ya kula leoUkiona unakosa Hadi ela ya kula basi wewe ni masikini Sana.
Mkopo mwngne si had ulipe den na riba juu Sasa hiyo hela ya kulipa den bora aongezee mtaj kwenye hiyo biashara siku mambo yakinyookaa ataenda kusajili line mpyaUkishatupa hutahitaji tena kukopa? Maisha yatanyooka kuanzia hapo?
Mmh hayaMkopo mwngne si had ulipe den na riba juu Sasa hiyo hela ya kulipa den bora aongezee mtaj kwenye hiyo biashara siku mambo yakinyookaa ataenda kusajili line mpya
Nisamehe nimejikuta nacheka kama mazuri vileAfadhali yako huna familia
Mimi dogo amerudishwa school kisa nimeshidwa kulipa 8000 ya uji
Na mvua ndio zinanyesha hatari, dogo viatu vimechanika maji yanaingia mpaka ndani
,
Nikaenda kukopa vibuti vya kavaa dogo awe anavaa aende navyo shule, yule mama ananidai utazan amenikopesha moyo daily hodi haziishi

Kesho utakula nnNirushie bas 5000 ya kula leo
Kesho mambo yatakuwa sawa, hii situation sio permanent huwa inatokea mara chacheKesho utakula nn
Zinatutia moyo..."maybe" unajifuliaje mke wa kigogo na ww😏Acha tufarijiane tuliofulia![]()
Mie koote sijawah umia kama kukosa shilingi 100 niongezee 200 nikanunue chumvi mwaka 2010!na hapo nna mgeni shemej yangu kaja kututembelea nimechinja kuku sina chumv na ndo kwanza nna siku kadhaa tu toka nitoke hom kuja kuishi na mshikaji nna katoto kachangaaa nililiaaa alafu mbya zaidi sina mazoea kabs na majirani ..kwanza nilikua sitoki toki nje enzi hizo mtoto wa kishua balaaa shenzi zangu..mshikaj anarud usk namwambia mimi nataka kurudi hom nimemmis baba🤣! Sitak tena yale maisha mm...ya kusubiri upewe!! Yaishie hukooo!nyoko kbsIshanitokea sana hiyo,kuna siku mwaka juzi nimeamka asubuhi sina hata 50 mtoto njaa inauma na ndani ya nyumba tuna maharage,unga lakini hatuna hela ya mkaa. Nishakopa kwa jirani mkaa wa karibia huku 7 na siwezi kwenda kopa tena. Maisha ni safari
Mwanaume ukikosa pesa hata nguvu za kiume unapoteza, utapandisha tu ule mzuka wa mwanzo ikasimama ila huwezi kuimaintainNgoja nitulie nitaleta visa vitatu vilivyonikuta. Huwezi tongoza akikuangalia unakwepesha macho
Duh..ila sisi wanawake wakipata hela hamu za kunyanduana hua zinakata...sijajua sasa!yaani nnapotaka mimi sio ww unapotakaMwanaume ukikosa pesa hata nguvu za kiume unapoteza, utapandisha tu ule mzuka wa mwanzo ikasimama ila huwezi kuimaintain
Acha tu best...tarahe mbaya sana hiziZinatutia moyo..."maybe" unajifuliaje mke wa kigogo na ww![]()

Lakini umetoka huko🥰😋Acha tu best...tarahe mbaya sana hizi![]()