Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,506
Lazma uwe na mashaka mashaka hivi hio ni red flagUnaishi kwa mashaka.......
Lazma uwe na mashaka mashaka hivi hio ni red flagUnaishi kwa mashaka.......
Moyo kaka tatizo moyoHao ndio wake wa kuishi nao sasa hata km sio wazuri
Moyo kaka tatizo moyo
Tatizo moyo eeehMoyo kaka tatizo moyo
Daah we acha tu huko kujitoa mhanga kunataka moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ndo wenye mapenzi ya dhati!!
NdioTatizo moyo eeeh
Umenena vyema kabisa hata Mwanaume akimpenda Mwanamke inakuwa hivyo hivyo.mwanamke anayekupenda atakuonesha upendo bila sababu, uwe mlemavu, uwe fukara, uwe mfupi, uwe huna mvuto yeye hasikii haambiliki😅 anakupenda tu na atakuzalia bila kujali huna hata 100!