Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 867
- 1,216
- Thread starter
- #41
Mkuu kwakweli kazi ninayoHayo ni matokeo, ndoa nzuri haipangwi inatokea tu dogo
Mkuu kwakweli kazi ninayoHayo ni matokeo, ndoa nzuri haipangwi inatokea tu dogo
Ndagha nkamu ghwanguHaha naloli malafyale
Hela zikiisha kama mzee wa Boda ndio Utajua Hujui.!Tafuta hela, utapendwa na mama yako na ndugu zako, chakata papuchi, huyo mzee wa boda asikushushie confidence
utajua hujui najua, mzee wa boda hajawahi kuchokaHela zikiisha kama mzee wa Boda ndio Utajua Hujui.!
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Kwani kupenda mtu unaamua au kunakuja kwenyewe?
Mpango wa Mungu ni ule ule na kanuni zake hazibadilika kaa na tembea katika hizo uone kama utakua wakulalamika kila siku kama mzee wa bodaMadam dunia imebadilika sana siku hizi
Kwamba jamaa ana kreming capacity ya ajabu au alikuwa na sound recorder. Au ni shigongo tu.Una kichwa kizuri cha kutunza mambo asee
Hela zikiisha kama mzee wa Boda ndio Utajua Hujui.!
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Ukweli mtupu
huyu anafaa awe karani wa mahakamaKwamba jamaa ana kreming capacity ya ajabu au alikuwa na sound recorder. Au ni shigongo tu.
Kuweni makini na Maandiko ...Iliandikwa wapi hiyo sheria mke ampende mume??
Ndoa ni mme ampende mke na mke anawajibu kumheshimu na kumtii mme wake
Tofauti na hilo hakunaga ndoa yenye amani wala mahusiano yenye furaha.
Mwanamke akipenda anakua msumbufu na kero
SawaKuweni makini na Maandiko ...
Jf wapigie mstariShida anayekupenda humpendi
Hii kitu nakubali Mzee...Mwanamke anayekupenda hatumiagi akili yake hata kwa 1% anaitegemea yako by 100% vile uonavyo sahihi na kwake ni sahihi pia. Anausikiliza moyo wake kuliko chochote.
Ukiona mwanamke anaweka criteria's tu mbele yako ama conditions flani ziwe met ndio akupende jua sio wako huyo! Utatumia nguvu kumshawishi ila ataishia kukutumia tu.
Mwanamke anayekupenda hatumiagi akili yake hata kwa 1% anaitegemea yako by 100% vile uonavyo sahihi na kwake ni sahihi pia. Anausikiliza moyo wake kuliko chochote.
Ukiona mwanamke anaweka criteria's tu mbele yako ama conditions flani ziwe met ndio akupende jua sio wako huyo! Utatumia nguvu kumshawishi ila ataishia kukutumia tu.
Sema unakuta demu anaye kukubali ni mbovu



na ndo wenye mapenzi ya dhati!!