😊Hauwezi kumpata ndo ilivyo ,hakuna cha soulmate cha muhimu kama mwanaume ujifunze kumpenda pia huyo msichana ..Mkuu inabidi uendelee kutafuta mpaka umpate
Chai yenye lengo jema la kufunza Acha tu atupee tena atuongezee na vikombeHauwezi kuniaminisha umekariri full convo hii ni chai
Kwani kupenda mtu unaamua au kunakuja kwenyewe?Iliandikwa wapi hiyo sheria mke ampende mume??
Ndoa ni mme ampende mke na mke anawajibu kumheshimu na kumtii mme wake
Tofauti na hilo hakunaga ndoa yenye amani wala mahusiano yenye furaha.
Mwanamke akipenda anakua msumbufu na kero
Mkuu ni heri umpate akupendae mkuu ...haya mambo hatujaribu ni hatari😊Hauwezi kumpata ndo ilivyo ,hakuna cha soulmate cha muhimu kama mwanaume ujifunze kumpenda pia huyo msichana ..
Kama mtu anaoa ahakikishe kabisa kwenye ule upendo yeye ni 25% mwenzie 75% utaipata pepo duniani😅
Mkuu ila lazima upate dira kidogoHayanaga muongozo...
Kabisa mkuuMzee yuko sahihi 100%,kila siku naimba usioe mwanamke ambae kwake hujiwezi, bila ya yeye mambo hayaendi, oa mwanamke ambae kwako hajiwezi bila ya wewe, yeye si kitu, hata kama humpendi jilazimishe upende sababu ndio kwenye salama na afya ya moyo wako.
Raha ni kupendwa kisha upende,sio kukurupuka kupenda tu, mwishowe wenye mioyo miepesi wanajitundika kamba.
Kunakuja kwenyewe mala nyingi ila kuoa unaamua mkuuKwani kupenda mtu unaamua au kunakuja kwenyewe?
Hahahaha wabongo hata wakipendwa hawapendeki mkuu msamehe huyoChai yenye lengo jema la kufunza Acha tu atupee tena atuongezee na vikombe
Hapana mkuu , mimi naitwa mwakyoma ndio nilikua nae huyo mzee akinipa sad facts izo hapo nimejaribu kuandika niliyo yakumbuka mengine ni mazito sana mkuuKWANI HUYO MWAKYOMA ndiyo authority kwenye mambo ya mapenzi?
Iliandikwa wapi hiyo sheria mke ampende mume??
Ndoa ni mme ampende mke na mke anawajibu kumheshimu na kumtii mme wake
Tofauti na hilo hakunaga ndoa yenye amani wala mahusiano yenye furaha.
Mwanamke akipenda anakua msumbufu na kero
Tafuta hela, utapendwa na mama yako na ndugu zako, chakata papuchi, huyo mzee wa boda asikushushie confidenceHapana mkuu , mimi naitwa mwakyoma ndio nilikua nae huyo mzee akinipa sad facts izo hapo nimejaribu kuandika niliyo yakumbuka mengine ni mazito sana mkuu
Mkuu pana goals za kuwa na familia imara wengine mipango yetu , tulivyo iweka inahitaji kuoa zaidi pia ndio mtihani ulipoTafuta hela, utapendwa na mama yako na ndugu zako, chakata papuchi, huyo mzee wa boda asikushushie confidence
Hayo ni matokeo, ndoa nzuri haipangwi inatokea tu dogoMkuu pana goals za kuwa na familia imara wengine mipango yetu , tulivyo iweka inahitaji kuoa zaidi pia ndio mtihani ulipo
Haha naloli malafyaleMaparachichi ya Ushirika-Tukuyu yamekufanya uwe na memory nzuri