Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Mkuu ulichosema sahihi,ila pia ukihangaika kujua past ya wanawake wa siku hizi hutooa ng'ooo.
Laa sivyo katafute kiteenager 17-19 mpk 21 hivi ndio ukioe.
Hako hakanaga past kubwa sana maana bado hakajapitia mambo mengi sana.
Hiyo age uliyotaja mbona wana visa mno....unakuta kademu ka mika 17 mpaka 24 mjuzi wa mambo balaa na ndiyo wanao ongoza kwa ngoma hapa nchini according to takwimu za Serikali.
 
Hiyo age uliyotaja mbona wana visa mno....unakuta kademu ka mika 17 mpaka 24 mjuzi wa mambo balaa na ndiyo wanao ongoza kwa ngoma hapa nchini according to takwimu za Serikali.
Nisome kwa umakini mkuu.
Au wacha nifafanue zaidi,ukimpata binti wa umri chini ya miaka 21 ambaye kakulia jamii nzuri na familia ya maadili angalau unaweza kumshape jinsi unavyotaka wewe mkuu.
Mie nilimuoa mkewangu akiwa na 17 years of age bado akili changa,nilimshape kiasi yupo navyotaka mimi.
Huyo wa kuanzia 22 kwenda juu washapitia mambo mengi sana.
According to wewe umesema kuanzia 17 wajuzi wa mambo balaa,sasa imagine huyo mtu akaendelea na kufikisha miaka 23+,atakua kakomaa kiasi gani!?
Ila ukimkamata katika umri huo ni rahisi kumuongoza,maana umri huo ni ule umri wa ukuaji kumrekebisha mtu rahisi.
Ila 22+ hapo akili ishakomaa UTMWAMBIA NINI MWANAMKE AKUELEWE KAKA KWA UMRI HUO KWENDA JUU!?
 
Huwezi amini malaya wanaolewa sana kuliko hao unaowasema ww wastaarabu.
Hii dunia bwana maisha ni bahati kikubwa kila mtu afanye yake
Hao wanaojiolea malaya pole yao wauziwa mbuzi kwa gunia.
Na sidhani kama ndoa hizo huwa na utulivu,ukikuta ni chache mnooo.
 
Umeeleweka ila wacha kuongea Kiingereza kwani unaharibu lugha ya watu, unaonekana kabisa ni muhitimu wa chuo Kikuu cha Dar. Kiingereza kingi Iła broken.
Sawa mkuu si unajua lugha yenyewe tumekutana nayo ukubwani kuchapia kupo. Nitashukuru ukinisahihisha nilipokosea.
 
Niliwahi kuskia pia kwamba kama mwanaume ni malaya sana na anatoka sana nje ya ndoa anauwezekano wa kumletea shida ya kizazi mwenza wake, hormonal
Imbalance na magonjwa mengineyo yahusuyo kizazi. Wakaendelea kusema inaweza pia kupelekea ectopic pregnancy ambayo imeua wanawake wengi sana.

Wataalamu wa haya mambo watujuze.

Wanaume kama ni kweli basi mnaua sana wake zenu kwa tamaa ya mda mfupi
 
Kubeba magonjwa nje na kuyaleta ndani ilo ni suala ambalo halina jinsia hata mwanamke pia akiwa mchepukaji holela anaweza kuleta magonjwa kwa mumewe. Hapa tunaongelea umuhimu qa kujua past ya mtu unaetarajia kumuoa
 
Vipi pia kujua past ya muoaji? Wengine kila mke wanaeoa anakufa. Au hapa tunaongelea wanawake pekee
 
Nmeutoa mtaani kwetu
Kuna watu ni malaya wengine hao so-called single mother wameolewa 90% na wana tabia mbaya kuna rafiki angu na kupika hajui na kaolewa mwaka jana

Ndo hapo nnaposhangaa mnazungumzia nini?
Marafiki zqngu single mother wote wana ndoa! Mimi sijazaa na sijaolewa 😄
Vp naweza kuja Pm? Maana mimi na wewe ni kama tunaendana
 
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.

This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto zikianza zitaenda sambamba gharama za matibabu ya hormone imbalance kumbe demu ashaalibu kizazi kwa abortions na P-2.

As always as i said in relationship marketing nice guys are losers, they always end-up purchasing demaged items. Dont be nice guy.

Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.
Yani mkuu hayo mambo ni muhimu kufuatilia sana, nina ushaidi wa dada moja hivi aliolewa , mdogo wake ni friend yangu,

Alivyoolewa aliangaika sana kutafuta mtoto kama miaka 5 hivi kuna kipindi akaanza kushika mimba ikawa inatoka zilitoka kama 4 na ya tano ikafika mpka miezi 7 lkn wapi ikaaribika.

Wakaamua kuadapt mtoto moja yeye na mume wake. Waliangaika sana yule dada na mama yake.

Siku moja nilimsikia sister wangu anaongea na mama, kuwa yeye aliambiwa na sister yake mkubwa.

Sister alimwambia mama kuwa yule dada hakutulia na alikuwa anatumia dawa za uzazi wa mpango. Past yake ilikuwa mbaya sana.

Ila kwa sasa alifanikiwa kuzaa baadae baada ya miaka kama 7 hivi.
 
Back
Top Bottom