Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,243
- 40,253
- Thread starter
- #81
Acha kujipa moyo. utafiti wako umeufanyia wapi? Hao wanawaoa hao malaya wanajua past zao au wanauziwa mbuzi kwenye gunia?Huwezi amini malaya wanaolewa sana kuliko hao unaowasema ww wastaarabu.
Hii dunia bwana maisha ni bahati kikubwa kila mtu afanye yake