Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Kwa dunia ya sasa tunaokotana ni ngumu kujua tabia ya mtu.Zamani binti anafanyiwa vetting ya kutosha, kuanzia kwa wazazi wake mpaka kizazi kimoja kilichopita cha wazazi wake.

Sasa hivi hatuna time hiyo,mwanamke ataangalia hela,mwanaume ataangalia muonekano na uzuri wa binti.
Incestor DNA Test
 
Is this a rhetorical question? Maana kama sivyo you don’t expect me nikutajie jina. If yes please kaa pembeni tusije tukaanza kubishana na experience uliyonayo wewe against reality ninazokutana mimi.

🤝
Hata ukijibu ndio bila kutaja jina ni sawa
 
Mimi I'm living and not surviving

Unaweza kutuambia tangu ume-apply hiyo mbinu ya jino kwa jino umepata nini?
Wanawake wote wanahitaji rough treatment,if you play smart you end up told hajui kitu Mwamba mshamba
 
Wanawake wote wanahitaji rough treatment,if you play smart you end up told hajui kitu Mwamba mshamba
Muache na mentality yake ya kuona mwanamke ni innocent creature who deserve man's time, efforts and money. Anachokitafuta atakipata
 
Hili nalo ni Jambo zurii japo ni Ngumu.. Kuna sister angu flani aliolewa ukoo wenyewe ulijua hatadumuu kwenye ndoaa yani hata miezi 2 haikupita baada ya harusiii ndoa chalii.. Kuna tabia za mwanamke akiwa nazo ukitoa ishu ya maisha ya past kamwe hawezi dumu kwenye Ndoaa.
 
Mimi nimekuelewa cha ajabu Kuna wanaume wamekaza shingo tu sababu ukute washayavagaa madudu washa. Ewe mwanaume oa bikra upunguze drama na upate amani ya moyo, usioe mwanamke asiye na bikra ni mke wa mwanaume mwenzako huyo.
 
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.

This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto zikianza zitaenda sambamba gharama za matibabu ya hormone imbalance kumbe demu ashaalibu kizazi kwa abortions na P-2.

As always as i said in relationship marketing nice guys are losers, they always end-up purchasing demaged items. Dont be nice guy.

Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.
Bado unatafuta ajira mkuu ???
 
Unajichanganya mzee.
Usithubutu ukadai kutafutiwa mke,zama hizi waweza kujuta.
Pia soma maelezo yangu vizuri huwenda hujanielewa,ama ngojea nikueleweshe kinagaubaga.

Waweza ukamsihi mzee akutafutie mke,mzee akaenda katika familia anayoifahamu kiundani ambayo inafahamika familia nzuri yenye maadili,ila mtoto asiwe vile familia ilivyo.
Hawa mabinti wanapotoa miguu majumbani huko nje hufanya mengi ambayo familia hawajui mzee.
Sasa jichanganye mzee akutaftie mke yeye atumie reference ya kujua wazee ile familia uingie chaka.
Sasa hivi ni kumuomba Mungu tu akupe mke mwema,ila wewe kama wewe kumgundua mtu ndiye ama siye ni ngumu.
Hizi zama zimechafukwa sana,haijalishi binti wachuo ama wanyumbani ila hizi zama aisee za kuomba sana Mungu akupe jicho la tatu.
Kamanda familia zinazojielewa zipo nyingi tu! ikiwa wewe unatokea kwenye familia zinazoamiliana na familia safi wanawake wa kuoa wapo wengi tu. Na mimi sikuambii hii kama porojo nakuambia with experience!

Ngoja nikufahamishe kitu komoja. Kweli kuoa kutoka katika familia safi sio guarantee ya kupata mke bora, nakubaliana na wewe lakini ikiwa kweli hiyo familia ilikuwa na maadili then ni nadra huyo binti kuwa amekengeuka moja kwa moja. Hii ndio maana katika comment yangu hapo awali nilisema lenga kupata mwanamke bikra sio hakikisha umepata mwanamke bikra! ... wengi micharuko iliyopo mitaani ni mabinti waliolelewa bila misingi mizuri ya kifamilia, mathalan unakuta binti amelelewa na single mother ambae anaishi katika maingiliano na wanaume mbali mbali kwa sababu tofauti tofati! Ni nadra huyu kumkuta amelea mtoto mwenye maadili kwa kuwa ngao ya kwanza ya mwanamke ni Haya yake, hii ikivunjika kinachobakia kwake ni "Sky is the limit" katika interaction zake na wanaume, na hapo ndo unakuwa umeoa kungwi mtoto.

With an extra maturity and stable husband binti aliyekengeuka kutoka katika familia yenye maadili ni rahisi kurudi katika mstari, kimbembe ni yule mwengine ... mstari wenyewe haujui upo wapi kwanza, anarudije kirahisi?
 
Nahisi umekubaliana na nachokizungumza,japo wewe umeenda deep sana.
Hakuna jambo uliloongea ambalo sio la kweli,yote ya kweli.
Ila ukweli utabaki palepale tumuombe sana Mungu kwenye kuchagua hawa viumbe.
Maana siku hizi unaweza ukamlaumu mzazi kumbe mzazi alikua very keen kwenye malezi,ila binti/mtoto aliharibiwa na utandawazi na mazingira ya nje.
 
Back
Top Bottom